Mohamed Said ''Mzungu wa Unga,'' 2007 Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

Maalim Faiza,
Hawawezi kuwajadili Bergen hapa wala Sivalon wala Njozi.
Hawa ndugu zetu ni waoga na wala hawako huru katika fikra.

Juu ya jitihada zako za kuwapa, ''Elimu Bila Khiyana,'' wao kwa
hofu kuu waliyonayo na historia ya kweli bado wamejigubika
blanketi zito kwenye jua kali.
 
Mimi nashangaa kila siku unabishana na hawa watu..Hao utawafahamisha siku nzima bado mwisho wa siku watabakia vile vile..kwani siyo kama ni ukosefu wa elimu ya Historia ya Tanzania ndiyo inayowafanya wawe hivyo bali hiyo historia hawaitaki na wako tayari ku pretend ya kuwa its never existed na ndiyo maana wanakuwa hivyo na zinapelekea arguments zao kuwa personal Zaidi. Kwa hivyo usipate tabu historia hawatoweza kuifuta milele ikawa watakataa wau watakubali sasa kama wameshindwa kubadilisha kila kitu miaka 24 ya mwanzo basi hivi sasa hawatoweza katu...
 
Kizibao,
Ahsante kaka kwa mchango wako.
Kwangu mimi inatosha kuwa wanasoma haya niandikayo.

Hili la kwanza na la lipi na hili ndilo linanipa moyo ni kuwa
kila uchao napata wanafunzi wapya wanakuja kusikiliza darsa.
 
Kaka yeye amewatuhumu watu fulani kwa Udini na akaeleza sababu ya yeye kufanya hivyo. Kwanini unamgeuzia mpira?
Faru...
Katika blog yangu www.mohammedsaid.com ikiwa mtu atapenda
kusoma makala zangu ndani Africa Events kuhusu Tanzania anaweza
kufanya, ''search'' Africa Events na makala hizo zote atazikuta hapo
In Shaa Allah.
 
Mohamed Said Dr. Nakuheshimu sana,nathamini sana Mchango wako katika uandishi wa historia ya Tz. Ila nashindwa kuelewa hivi huwezi kuandika hiatoria ya nchi hii bila kuongelea Udini( Uislam umeonewa)

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
Mnabuduhe hebu niwekee mahali niliposema kuhusu kuonewa. Kuhusu dini hili swali nalijibu mara zote kuwa category ni political history kama ilivyowekwa na Library of Congress. Lakini ikiwa kuna jambo unaona si la kweli katika historia ninayoandika nifahamishe.
 
Kwa maelezo hayo ata kama ni MTU WA aina gani ni lazima achoke akili .nazidi kufatulia Uzi wako
 
Inatosha kama ana nia ya kuelewa hatorudia kuuliza.hhahaha big up saana
 
Sababu ukweli unauma ndio ukaandika haya.aliyosema ni kweli na mfumo kristo ndio unaleta Matatizo mengi kwenye Taifa letu.pole sana
 
Sheikh Mohamed,

Naomba kujuzwa, haya majina ni ya "Kiislam" au ni ya "Kiarabu" bila ya kuathiri hoja ya dini za wenye majina hayo.

Kaka ...
 
Ndio maana hii vita ya makonda ya madawa it is a Joke and funny.....lakini tutafika japo kwa kuchelewa



HIYO VITA YA MAKONDA NA IANZIE NA KUWEKWA TUME HURU YA UCHAGUZI PAMOJA NA KATIBA MPYA YA MUUNGANO WA SERIKALI TATU VYENGINEVYO NI DANGANYA TOTO YA MASKANI
 
wee kama ni mshitakiwa fwata sheria achana na maswala ya udini umekamatwa na polisi udini unatoka wap apo. afu ukitaka kuingia ndani zaid utakuta kati kati ya hawo polisi waisilm wapo.
 

vitabu vya kanisa lako vinaongea , sikiliza

 
Kichengele kama ungefatilia kisa toka mwanzo ungeelewa kuwa tatizo lilianza na mada niliyowasilisha Chuo Kikuu Cha Ibadan. Bahati mbaya ndugu yangu unachangia kutoka hali ya wewe kuwa hukijui kiini cha mjadala. Baya zaidi unaingia na lugha ya kifedhuli.
 
Sababu ukweli unauma ndio ukaandika haya.aliyosema ni kweli na mfumo kristo ndio unaleta Matatizo mengi kwenye Taifa letu.pole sana

Kauli za kibaguzi hizi. Mimi sio Mkristo. Lakini kwa maoni yako haya, acha niongee kikristo kwamba "get used to it, your dreadful attitude won't take you a step further".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…