Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #421
Maalim Faiza,Hivi kwanini mpaka leo hii Abdul Rauf Songea halikujulikana jina lake halisi mpaka aje Mohamed Said atujulishe?
Hivi kwanini ulikuwa haujuwi kuwa Mkwawa aliitwa Abdallah mpaka aje Mohamed Said atujulishe?
Hivi kwanini historia hii inawaumiza sana vichwa?
Unaweza kutupa mbadala?
Umeshawahi kumsoma Sivalon? Na Bergen?
Unakubaliana nao? Au kama hujawasoma tukupe vipande vya waliyoyaandika? Halafu utueleze wao nao ni wadini? Au mkuki kwa nguruwe tu?
Sishangai kuona unatishika baada ya kuelewa uliyokuwa umefichwa kuyaelewa.
Hawawezi kuwajadili Bergen hapa wala Sivalon wala Njozi.
Hawa ndugu zetu ni waoga na wala hawako huru katika fikra.
Juu ya jitihada zako za kuwapa, ''Elimu Bila Khiyana,'' wao kwa
hofu kuu waliyonayo na historia ya kweli bado wamejigubika
blanketi zito kwenye jua kali.