Mohamed Said ''Mzungu wa Unga,'' 2007 Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

Kanda za Khomein za nini? kwa nini uje nazo?? wakati wewe sio Mshia!
Mfyatuaji,
Mimi si Mkomunisti lakini nina vitabu vya Karl Max katika maktaba
yangu na hotuba za Fidel Castro na Che Guevara.

Haikajatazwa nchini kwa asiye Shia kusoma au kusikiliza hotuba za
Mashia.

Nikuhitimishe kwa kuniuliza kwa nini.
Mimi ni mtafiti na mwandishi.

Mimi si Mjamaa lakini nina vitabu vingi vya Mwalimu Nyerere vya
wakati wake wa siasa za Ujamaa.

Nasoma na kusikiliza vingi.
 
Kumbe vita ya unga imeanza kitambo,sema ndani ya majeshi yetu na mahakama kuna wala rushwa,kamwe hatuwezi kuokoa kizazi hiki
 
Kenstar,
Haya ulokujanayo kwangu ni mapya na hayamo katika muktadha
wa hayo niliyoandika.

Mimi si mtu wa mabishano.
 
Hivi huwa hamuwaulizi waislam walio madaktari au wanasheria au mawaziri wamefikaje kwenye hizo nafasi!?...inakuaje huu udini unaonekana na wale wenye elimu akhera tu!?
Wise...mbona unaleta yasokuwapo?
 
Leloo...
Nimesema kuwa nitakuwekeeni kidogo maana ni mkasa mrefu.
Sikutaka kuwachosha wasomaji wangu.

Ila ikiwa unataka kujua nini kiliendelea naweza nikakuwekea
kipande cha mwisho In Sha Allah.
[emoji106]
 
Mohamed Said mzee wetu unayeishi kwa kueneza sumu😛. Hiyo sensa ya waislamu wengi zaid imetoka wapi? Kiashiria rahisi ni bungeni ambako wewe umesema kumetawaliwa na kanisa, kama nyie ni wengi kwanini hamjachagua wabunge wengi waislamu? Kwanini kampeni yako isianzie kuhamasisha waislam wachague wenzao badala ya kuwafundisha kuwachukia wakristo?
 
Mzee Mohamed Said nawewe unashutumu mno ukristo. Ukisoma hadithi yako utazani nchi hii iko vitani na waislam wanauwawa. Kuwa na kiasi mzee. Mikasa ya kukamatwa kwa hila inawakuta wengi tu.

Baada ya kusema hayo nakupa pole ni usumbufu mkubwa......ungerusha hata ngumi umtandike asifa mmoja puani waone hutaki mchezo.
 
Mpaka hapo sina haja ya kuendelea kusoma kwsb jamaa limeishaingiza masuala ya udini kwahyo story yake abakie nayo tu
Bafa,
Natafutwa kwa lipi?
Kwa kuuza unga?
 
Ndio maana hii vita ya makonda ya madawa it is a Joke and funny.....lakini tutafika japo kwa kuchelewa
 
Mhhhh pole sana ila pia big up kwa msimamo wako mzuri
 
Ila mkuu nataka niongeze kitu hapa miaka ya 2000 Arabian peninsula ilikua imtulia tuli kwa kiasi chake ila kuna yule cha uroho kafanya figisu matokeo yake hapakaliki kule hakuridhika chauroho yule akaja Libya kafanya figisu leo hapakaliki watu wanahamia huko huko kwa lie chauroho na washirika wake unajua ukimbomolea MTU nyumba umpe na hifadhi sio kumuacha hivi hivi LA si hivyo atalala hats jikoni kwako sasa huwaga najiuliza kwa mini wasivamie korea huko China na kwingine ila nia arabian peninsula pekee any way tuendelee na mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…