Mohamed Said ''Mzungu wa Unga,'' 2007 Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

Mhhhh pole sana ila pia big up kwa msimamo wako mzuri
Interface,
Unajua ile paper yangu ilibadili mwelekeo wa ile conference na mimi
nilikuwa kati ya wazungumzaji wa mwisho.

Waamerika ingawa wanajifanya wanajua lakini si kuwa kila kitu kiko
hadhir kwao.

Naamini walishtuka sana nilipowaambia kuwa Waislam wa Tanzania
hawana ugomvi na USA wao wana matatizo yao ya ndani na utawala
ulioko madarakani.

Walishtuka nnilipowaambia kuwa Waislam ndiyo waliopigania uhuru wa
Tanganyika wakianza na kwa kunyanyua silaha dhidi ya Wajerumani.

Walishtuka nilipowaambia kuwa Waislam wa Tanzania wangependa kuwe
na mjadala wa wazi kujadili matatizo haya yote.

Bahati mbaya Sheria ya Ugaidi imesababisha viongozi wao kukamatwa na
taasisi zao kufungwa kwa uonevu tu.

Sasa pale Chuo Kikuu Cha Ibadan kitabu cha Sykes kimekuwa kikisomeshwa
toka 2003.

Wanafunzi na waalimu wakawa wanaijua hali ilivyo Tanzania na hii ndiyo
sababu ya wao kusema Sheria ya Ugaidi haiwezi kupitishwa Nigeria kwani
huko ni kutangaza vita na Waislam.

Waamerika wakawa kwa njia moja nimewavurugia mipango yao.
Yaliyofuatia hapo sasa ni historia.
 
Eti akitoka Vatican akamatwi jaribu uone msipende sana kujifichia kwenye dini ufanyapo makosa,sidhani wanausalama wote huwa ni wa dini Fulani,alichofanya Jamaa apate popularity sababu tayari mtazamo wake ni wa kidini kila kitu.
Bro swala hili mbona umelishupalia me naomba tujaribu jambo dogo tu wewe shika bunduki au kimbilia msituni utaitwa muhasi ila Mimi nivae khanzu na panga language nimelipaka damu tu natamka shahada na viashiria flani hivi vya msimamo mkali obviously nitaitwa gaidi na mifano ipo al shabab na boko haram Mimi binafsi vitendo vyao haviendani na mafundisho ya uislam lakini having tofauti na M 23, IDDFDD , Na wale walikua wanaitwa Lord resistance Army kitu wqnafanya Hamna tofauti na al shabab na boko haram wote wanabaka wanaua watoto na raia wasiokua na hatia non combatant's lakini huku wakikamatwa wananyongwa huku ualifu wa kivita wa huku anaitwa muhasi ila wa huku gaid how
 
Haswaa!!!
Achi...
Hapana tatizo lilipo ni kuwa mimi nafahamika na waliponikamata
walisema wana taarifa zangu kuwa mimi nashughulika na madawa
ya kulevya.

Waliniachia na kuniomba radhi.

Ingelikuwa kweli mimi nahusika na biashara hiyo ningelipelewa
mahakamani kushtakiwa.

Siku ile Dar es Salaam ilipopata habari kuwa nimekamatwa kwa kesi
ya madawa ya kulevya mshangao ulikuwa mkubwa pasi na kiasi kwani
watu wananifahamu toka utoto wangu.
 
Leloo...
Nimesema kuwa nitakuwekeeni kidogo maana ni mkasa mrefu.
Sikutaka kuwachosha wasomaji wangu.

Ila ikiwa unataka kujua nini kiliendelea naweza nikakuwekea
kipande cha mwisho In Sha Allah.
Naam Sheiikh, tunausubiri huo kipande bakaa cha huo mkasa kwa hamu manake vijiweni vyote vimetekwa na hadithi ya miharadati na mazungu ya unga
 
Kwezisho,

Hiki ndicho nilichofanya: Wakati huo sasa ni usiku wa manane na nishapeleka SMS kwa sahib yangu mmoja bingwa wa mambo ya mtandao wa kompyuta kumjulisha kuwa nimekamatwa uwanja wa ndege kwa tuhuma za uongo za kuvusha mihadarati na yeye ile kuipata tu ule ujumbe wangu akaifahamisha dunia kuwa nimekamatwa uwanja wa ndege nikitokea mkutanoni Iran na nimebambikiziwa tuhuma za kuingiza nchini mihadarati. Waliponitia mbaroni tu walinionya kuhusu kutumia simu yangu ya mkononi lakini bahati nzuri hawakuninya’ganya. Aliyenipa onyo hili alikuwa mkuu wa kituo cha polisi cha uwanja wa ndege. Huyu rafiki yangu akawa kanisaidia sana maana hadi kumekucha wapenzi wangu wote ndani na nje ya nchi pamoja na vyombo vya habari vinavyonifahamu walikuwa na taarifa za kukamatwa kwangu. (Kwa kipindi takriban miaka ishirini nyuma kwa nyakati fofauti nimekuwa nifanya mahojiano na radio zote muhimu kama, BBC, VOA, Sauti ya Ujerumani, Sauti ya Iran nk.).
 
Achi...
Hapana tatizo lilipo ni kuwa mimi nafahamika na waliponikamata
walisema wana taarifa zangu kuwa mimi nashughulika na madawa
ya kulevya.

Waliniachia na kuniomba radhi.

Ingelikuwa kweli mimi nahusika na biashara hiyo ningelipelewa
mahakamanni kushtakiwa.

Siku ile Dar es Salaam ilipopata habari kuwa nimekamatwa kwa kesi
ya madawa ya kulevya mshangao ulikuwa mkubwa pasi na kiasi kwani
watu wananifahamu toka utoto wangu.
Nia yako kubwa ni kuleta chuki ya kidini tu. Awe mkristo au mwisilamu anaweza kutuhumiwa. Tuhuma zikithibitishwa hatua za kisheria zitachukuliwa, zisipothibitishwa unaachiwa huru. Acha kuwaaminisha watu visivyo, UDINI haufai mkuu.
 
Nauliza tena.

Inawezekana wewe unatoka Roma kwenye mkutano na makabrasha
ya kanisa ukakamatwa na ukaulizwa kwa nini unaleta vitu hivyo nchini?

Inawezekana maaskofu wakakamatwa kisha wakalawitiwa na isiwe
chochote?

Inawezekana suala hilo likaletwa Bungeni na Waziri mwenye dhamana
akajibu kwa kejeli kuwa uchunguzi utafanyika lakini wanataka kuthibitisha
kuwa maaskofu hao hawakuwa wanafanya hayo kabla?
 
Kwezisho,

Hiki ndicho nilichofanya: Wakati huo sasa ni usiku wa manane na nishapeleka SMS kwa sahib yangu mmoja bingwa wa mambo ya mtandao wa kompyuta kumjulisha kuwa nimekamatwa uwanja wa ndege kwa tuhuma za uongo za kuvusha mihadarati na yeye ile kuipata tu ule ujumbe wangu akaifahamisha dunia kuwa nimekamatwa uwanja wa ndege nikitokea mkutanoni Iran na nimebambikiziwa tuhuma za kuingiza nchini mihadarati. Waliponitia mbaroni tu walinionya kuhusu kutumia simu yangu ya mkononi lakini bahati nzuri hawakuninya’ganya. Aliyenipa onyo hili alikuwa mkuu wa kituo cha polisi cha uwanja wa ndege. Huyu rafiki yangu akawa kanisaidia sana maana hadi kumekucha wapenzi wangu wote ndani na nje ya nchi pamoja na vyombo vya habari vinavyonifahamu walikuwa na taarifa za kukamatwa kwangu. (Kwa kipindi takriban miaka ishirini nyuma kwa nyakati fofauti nimekuwa nifanya mahojiano na radio zote muhimu kama, BBC, VOA, Sauti ya Ujerumani, Sauti ya Iran nk.).
Ohh, pole sana kwa mkasa wa kutungiwa. Naamini wengi wanabambikiwa kesi kwa mtindo kama huu. Kilichokusaidia ni uwezo wa kujiamini bila ya hivyo hivi leo tungekuwa tunaongelea mengine.
Hebu fikiri kama wangekuwa wamefanikiwa kupandikiza madawa ndani mabegi yako, leo hii huu uhondo ungepatikana kwa waliokuzunguka ndani ya gereza. Pole sana na hongera kwa kujiamini!
 
Kuwa na adabu huwezi kumuita Mohamed Said "we" kama a naleta udini katika mada zake acha kuzisoma sio unajitoa ufaham kwa kuwa upo nyuma ya keyboard.
Huyu mzee ni muhimu sana kwa elim ya historia hapa jamvini, kama unamuuliza, basi fanya hivyo kwa staha
Fdizzle,
Huwa kawaida hoja zinapopamba moto kuna wengine hawawezi kuhimili
na hili huwatoa adabu na kupandisha ghadhabu.

Tumsamehe hapa tuko kujadiliana kiungwana.
 
Ohh, pole sana kwa mkasa wa kutungiwa. Naamini wengi wanabambikiwa kesi kwa mtindo kama huu. Kilichokusaidia ni uwezo wa kujiamini bila ya hivyo hivi leo tungekuwa tunaongelea mengine.
Hebu fikiri kama wangekuwa wamefanikiwa kupandikiza madawa ndani mabegi yako, leo hii huu uhondo ungepatikana kwa waliokuzunguka ndani ya gereza. Pole sana na hongera kwa kujiamini!

Kwezisho,
Siku ile niliomba nipate faragha niswali.
Walinipatia Alhamdulilah.

Nililia na Allah katika sijda kuwa aninusuru kama alivyomnusuru
Issa bin Maryam kuuliwa na Wayahudi.

Alhandulilah Allah SW alipokea dua zangu.
Angalia hapo chini nini kilitokea:

Sasa hapo ikawa nimelipata jingine. Kumbe wauza unga hawakamatwi hadi amri itoke juu. Sasa kama amri haikutoka ndiyo muuza unga atapita aingize sumu zake mitaani? Hili likazidi kunidhihirishia kuwa kukamatwa kwangu hakukuwa na uhusiano wowote na vita dhidi ya mihadarati bali ni vita vile vile vikongwe dhidi ya Uislam.

Nikawa pale usiku kucha. Sasa wakati niko pale wakidhani nimelala. Wakawa wenyewe kwa wenyewe wanazungumza kuhusu hii ‘operation’ neno walilotumia ni kuwa 'leo tume-dial wrong number.' Wakawa wanasema, “Huyu bwana mbona hakuelekea kama muuza unga tena huyu mtu bwana kasoma kweli kweli” Wanadhani mie nimelala kumbe ni macho nawasikiliza. (Vipi utalala katikati ya michongoma?). We umeona jinsi alivyokuwa akijibu na kuchambua mambo.” Hilo ndilo likawa gumzo lao wakinisifia kwa ufasaha na mantiki lakini wakizungumza kwa sauti ya chini kabisa. Hapa ikanidhuhirikia kuwa hawa vijana walikuwa wanatimiza wajibu wao wa kazi tu lakini kiini khasa cha kukamatwa kwangu hawakuwa wanakifahamu.

Walionikamata walikuwa vijana kama wanne na wote walijitambulisha kwa majina ya Kiislam. Nilijua ni waongo kwa kuwa Muislam anonekana katika uso na katika matumizi ya lugha. Ila kitu kimoja lazima nikiri. Wale vijana walikaa na mimi kwa wema na hawakunibughudhi hata kidogo. Hata nilipokuwa nakwenda msalani kijana alienisindikiza alinitaka radhi akasema, ”Nakusindikiza kwa sababu ni sheria lakini sisi tunakustahi kwa hiyo utuwie radhi kwa kukufuta hadi msalani.”

Asubuhi wakubwa wakaja kazini lakini hakuna alienikabili. Walikuwa wakinichungulia kutoka mlangoni kama simba ndani ya kizimba kwenye zoo, nami nikawa najifanya siwaoni. Ndipo akaja mkubwa mmoja tena akaniita kwa jina langu na kwa heshima na bashasha sana, "Bwana Mohamed tuwie radhi sana pamekuwa na makosa kidogo tuwie radhi sasa hivi tutakuruhusu uende nyumbani. ” Akatoka nje akawa akipiga simu. Kisha akarudi ndani akaamrisha nibebewe mizigo yangu na gari la polisi linirudishe nyumbani. Kistaarabu kabisa nikakataa gari ile huku nikifanya maskhara kuwa naogopa gari ya polisi asijepiga simu akasema mrudisheni huyo mtuhumiwa. Ofisi nzima ikacheka. Hapo ndipo wale wakamataji wangu wa usiku wakabeba mizigo yangu nami nafuata nyuma tunatoka nje ya uwanja.
 
Chaggaa,
Hao wenye kufanya hivyo wanakwenda kinyume na mafunzo ya Uislam.

Mathalan leo kanisa na ushoga kwani Bwana Yesu ndiyo mafunzo yake?
Muhimu ni sisi kukemea mambo haya yote ili tuiishi kwa amani.
Una busara sana wewe ndugu.

Nilikua nachukia sana mada zako nikihisi umeegemea upande mmoja.

Naanza kusoma makala zako sasa.
 
Achi...
Nauliza tena.

Inawezekana wewe unatoka Roma kwenye mkutano na makabrasha
ya kanisa ukakamatwa na ukaulizwa kwa nini unaleta vitu hivyo nchini?

Inawezekana maaskofu wakakamatwa kisha wakalawitiwa na isiwe
chochote?

Inawezekana suala hilo likaletwa Bungeni na Waziri mwenye dhamana
akajibu kwa kejeli kuwa uchunguzi utafanyika lakini wanataka kuthibitisha
kuwa maaskofu hao hawakuwa wanafanya hayo kabla?
Nafikiri thread yangu ipo wazi tu. Kwa hiyo unataka kunithibitishia wanaowalawiti waislamu huko mahabusu/jela ni wakristo?
Na waziri alisema uchunguzi utafanyika kwa sababu ilikuwa ni tuhuma. Hivyo tuhuma inaweza kuwa kweli au si kweli.
Lakini nisisitize tu kwamba kuhusisha tuhuma za jinai au makosa mengine na UDINI ni kueneza chuki tu.
 
Dah
Kwezisho,
Siku ile niliomba nipate faragha niswali.
Walinipatia Alhamdulilah.

Nililia na Allah katika sijda kuwa aninusuru kama alivyomnusuru
Issa bin Maryam kuuliwa na Wayahudi.

Alhandulilah Allah SW alipokea dua zangu.
Angalia hapo chini nini kilitokea:

Sasa hapo ikawa nimelipata jingine. Kumbe wauza unga hawakamatwi hadi amri itoke juu. Sasa kama amri haikutoka ndiyo muuza unga atapita aingize sumu zake mitaani? Hili likazidi kunidhihirishia kuwa kukamatwa kwangu hakukuwa na uhusiano wowote na vita dhidi ya mihadarati bali ni vita vile vile vikongwe dhidi ya Uislam.

Nikawa pale usiku kucha. Sasa wakati niko pale wakidhani nimelala. Wakawa wenyewe kwa wenyewe wanazungumza kuhusu hii ‘operation’ neno walilotumia ni kuwa 'leo tume-dial wrong number.' Wakawa wanasema, “Huyu bwana mbona hakuelekea kama muuza unga tena huyu mtu bwana kasoma kweli kweli” Wanadhani mie nimelala kumbe ni macho nawasikiliza. (Vipi utalala katikati ya michongoma?). We umeona jinsi alivyokuwa akijibu na kuchambua mambo.” Hilo ndilo likawa gumzo lao wakinisifia kwa ufasaha na mantiki lakini wakizungumza kwa sauti ya chini kabisa. Hapa ikanidhuhirikia kuwa hawa vijana walikuwa wanatimiza wajibu wao wa kazi tu lakini kiini khasa cha kukamatwa kwangu hawakuwa wanakifahamu.

Walionikamata walikuwa vijana kama wanne na wote walijitambulisha kwa majina ya Kiislam. Nilijua ni waongo kwa kuwa Muislam anonekana katika uso na katika matumizi ya lugha. Ila kitu kimoja lazima nikiri. Wale vijana walikaa na mimi kwa wema na hawakunibughudhi hata kidogo. Hata nilipokuwa nakwenda msalani kijana alienisindikiza alinitaka radhi akasema, ”Nakusindikiza kwa sababu ni sheria lakini sisi tunakustahi kwa hiyo utuwie radhi kwa kukufuta hadi msalani.”

Asubuhi wakubwa wakaja kazini lakini hakuna alienikabili. Walikuwa wakinichungulia kutoka mlangoni kama simba ndani ya kizimba kwenye zoo, nami nikawa najifanya siwaoni. Ndipo akaja mkubwa mmoja tena akaniita kwa jina langu na kwa heshima na bashasha sana, "Bwana Mohamed tuwie radhi sana pamekuwa na makosa kidogo tuwie radhi sasa hivi tutakuruhusu uende nyumbani. ” Akatoka nje akawa akipiga simu. Kisha akarudi ndani akaamrisha nibebewe mizigo yangu na gari la polisi linirudishe nyumbani. Kistaarabu kabisa nikakataa gari ile huku nikifanya maskhara kuwa naogopa gari ya polisi asijepiga simu akasema mrudisheni huyo mtuhumiwa. Ofisi nzima ikacheka. Hapo ndipo wale wakamataji wangu wa usiku wakabeba mizigo yangu nami nafuata nyuma tunatoka nje ya uwanja.
!!hiki kisa
 
Mpaka hapo ulipoishia ni kuwa message yako inalenga kwenye udini..! acha udini mkuu na propaganda za chuki dhidi ya muislamu na mkristu.
REJEA.

Nakuapieni nyie msingethubutu kumkamata Mkristo anaetoka Vatican mkutanoni. Lakini kwa kuwa mie ni Muislam sina wa kunitetea. Nchi hii nani atakuuliza kwa kumnyanyasa Muislam?” Walishtuka na wakawa wanyonge sana wakasema si kweli kuwa naponzwa na dini yangu.
Ukristo unamnyima Rais huyo Mzee...anaweza kusifia hata visivyo sifiwa kisa kuna mtu wa dini yake....Pathetic
 
Vita ya majimaji,chini, ya uongozi was kinjekitile ngwale,wale wa piganaji walikuwa wa Islam???,kweli!!!,ushaidi pls
 
Back
Top Bottom