Mohamed Said ''Mzungu wa Unga,'' 2007 Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

Kwa usomi wako nafikiri utakuwa unajua McCarthyism.
Unatumia similar techniques kukwepa hoja ili kushinda.
Unalazimisha eti kifua "kinanifukuta" . Huko ni kupoteza hoja. Kifua kinifukute kwa lipi?
Au unafikiri sijawahi kusikia muslim heroes?
Mbona wako wengi tu dunia nzima?
Tatizo lako ni kupenda ku-exaggerate stories ili zionekane "sensational" kwa wasomaji wako. Ili baadhi ya waislam wajisikie kweli kuwa wameonewa, na kuwa tusio waislam hatupendi wajikomboe na hatupendi maendeleo yao, something which is untrue!
Nanren,
Hapo ndipo penye maajabu ya kitabu cha Sykes na yale niliyoeleza.
Huwa hayamwachi mtu salama.

Historia hiyo itamtaabisha sana.
Kuamini anataka na kuikataa Othman anataka.

Prof. Haroub Othman juu ya kukisoma kitabu na kufanya mazungumzo
na mimi hakutosheka.

Akamuuliza Ahmed Rashad Ally kama kweli Abdul Sykes ndiye aliyeasisi
TANU.

Mzee Rashad akamwambia,''Prof. kwani kipi cha ajabu? Baba yake Abdul
Mzee Kleist
kaasisi African Association cha kushangaza nini mwanae kuasisi
TANU?''

Prof. Haroub hakutosheka akaenda kwa Nyerere mwenyewe apate ukweli.
Mimi sishangai ninavyokuona unaungua na kutaabika.

Wewe si wa kwanza.
Hebu staladhi na hii hapo chini:

Mohamed Said, hakika kuna mambo yanatia maudhi si kwasababu nyingine bali pale yanapotoka.
Wewe ni mzee na hutakiwi kuwa tricky za mjidala za kitoto kiasi hiki.
Wapi nimeandika kuishi na watu si muhimu?

Onyesha hapa jamvi lione, kama hutaonyesha basi tambua unaukejeli umri wako na heshimaWewe jnayeweza kumkashfu Nyerere unasababu za kunisitiri mi

.Hapa ndipo panaonyesha jinsi usivyoweza mjadala na usivyoelewa.

Hivi mtu anaweza kuomba document tu bila kusema document gani na wewe ukatoa tu bila kujua ameombwa nini!!!

Hakuna mahali nimeomba document , nilichokiomba ni katiba ya kuandika au ya kukopi ya Abdul Sykes au Baba yake au ukoo mzima kama wanayo.

Hadi sasa hukuweza kuleta na kusingizia zimeibiwa Dodoma.

Ukweli, hakuna mahali Abdul aliandika katiba tukujia elimu yake ya darsa la 10. Ni fact

Kitu kinachoitwa katiba Abdul Sykes amekiona kutoka kwa Nyerere.

Sasaunasema Nyerere alikopi, well, iwe hivyo au la bado alikuwa anajua nini kinatakiwa.

Ingalikuwa rahisi,Abdul Sykes angekopi ziku nyingi. Hawakuweza kwasababu hawakujua namna ya ku transform chama kuwa institution, yeye na baba yake.

Waiendesha chama kwa umaarufu na hilo si jambo baya.

Ukweli upo pale pale hawakuwahi kuandika katiba asilani hadi anfariki Husemi nimeomba document gani, na kwa jinsi usivyoweza au usivyojua unaleta documents,yaani ukiombwa unatoa tu bila kujua umeombwa nini, real mzee!

Kwamba mtu anaweza kusema MS naomba document nawe ukaingia kabatini na kuleta document usiyojua ni ipi! it doesbn't make sense at all rather than telling us more

Mohamed kilichotakiwa si document ni katiba au rasimu aliyoandika Abdul Sykes!

Micro film imeibiwa Dodoma haijibu hoja na ni njia za mkato za kukwepa ukweli, tunataka ushahidi kuwa Abdul Sykes aliwahi kuandika katiba ya chama kabla ya Julius Nyerere! period Mwiba upi umekwama? Mwiba umekwama kwako ndiyo maana unaleta document yoyote na kusema ni katiba ya TAA! Pathetic

Sasa wanajmvi someni katiba ya TAA aliyoandika Abdul Sykes probably kwa msaada wa nyaraka za baba yake Kleist Sykes.

Someni katiba ya chama hapa chini kaa ilivyoletwa na Alama Mohamed Saidi

Katiba ya Abdul Sykes- Mohamed Said

Halafu katiba ya Abdu Sykes inaendelea hapa kama ilivyoletwa na Mwapachu katika kuongeza nguvu umuhimu wa katiba ya Abdul Sykes Hapa mnaweza kuona 'katiba' aliyoandika Abdul Sykes kama ilivyoletwa na Mohamed Said. Please MS usimdhalilishe Abdul kiasi hicho.
Tafadhali sana uwezo wako usilete adha na fadhaa kwa familia nzima.

Kama huna hoja , kukaa kimya ni busara kuliko kuendelea kumdhalilisha Abdul.

Mtu akisoma hiyo kama ndiyo katiba ya kuunga unga vipande vigine kutoka kwa mwapachu na maongezi kuwa katiba ni dhalili ya juu sana. Kwamba hiyo ndiyo katiba aliyoandika Abdul Sykes ni aibu ! si kwa aliyeandika bali wewe uliyeileta hapa bila kujali dhalili yake!
Nguruvi3,
Umezungumza mengi ambayo hayana maana kwa hiyo sitajibu ila
hili la kumdhalilisha Abdul Sykes.

Mimi ndiye niliyemfufua Abdul Sykes kwa kuandika maisha yake na
ndiyo leo uko hapa unatokwa na povu na jasho.

Kitabu kimechapwa miaka 18 iliyopita lakini hadi leo kinavuma kila mtu
anakisoma tunakwenda sasa toleo la 4 katika miaka 18.

ID_1070.jpg

Kushoto ni Brendon Grimshaw
Unakijua kisa cha Brendon Grimshaw aliyekuwa Mhariri Mkuu wa gazeti,
Tanganyika Standard?

Unaijua taazia aliyomwandika Abdul Sykes baada ya kuona kuwa magazeti
ya TANU Nationalist, na Uhuru, yamemdhalilisha kwa kukataa kuandika
ukweli wa mchango wake kwa Nyerere na TANU yenyewe?

Mimi nimdhalilishe Abdul Sykes?
Nitaanzia wapi?

Huna moja ulijualo katika historia hii.

Wanamajlis,
Ikiwa mnataka kujua Grimshaw alisema nini kuhusu Abdul Sykes mwaka
wa 1968 katika Tanganyika Standard semeni nitoe darsa In Shaallah.

Grimshaw akijuana na Abdul toka 1950s.
 
Tupe darsa Alama kuhusu taazia aliyoiandika Grimshaw.
 
Kwa usomi wako nafikiri utakuwa unajua McCarthyism.
Unatumia similar techniques kukwepa hoja ili kushinda.
Unalazimisha eti kifua "kinanifukuta" . Huko ni kupoteza hoja. Kifua kinifukute kwa lipi?
Au unafikiri sijawahi kusikia muslim heroes?
Mbona wako wengi tu dunia nzima?
Tatizo lako ni kupenda ku-exaggerate stories ili zionekane "sensational" kwa wasomaji wako. Ili baadhi ya waislam wajisikie kweli kuwa wameonewa, na kuwa tusio waislam hatupendi wajikomboe na hatupendi maendeleo yao, something which is untrue!

Muslim heroes wa Tanganyika walitambuliwa lini?
 
Nipo.
Lete mapya.
Haya unayorudia rudia, kwangu yamechuja...

Nayachukulia tu kama "among the greatest hoaxes ever told"

Ukileta mapya tutaenda hata 100k pages. Ondoa shaka kwa hilo.
Nanren,
Nakuwekea, ''hoax.''
KUTOKA JF: UNAJINASIBISHA NA CCM VIPI UNAWACHUKIA WAASISI WA TANU?

Nimeingia humu kidogo tu baada ya kuona nimekuwa tagged na mtu anayejiita FaizaFoxy. Natoa ombi kwako FaizaFoxy, tafadhali usinitag tena kwa hoja yoyote inayohusiana na ngano za Mohamed Said. Sijui umepata wapi ujasiri wa kunitag na hali unajua msimamo wangu huo kuhusiana na hizo hadithi zake, nitake radhi tafadhali! Watag malimbukeni wanaofyonza tu bila kuhoji.
Mag3,
Mimi nisingekujibu kama usingenitaja.
Umeweka CCM kama utambulisho wako.

Mimi nitaanza na hapo.
CCM inatokana na TANU na TANU inatokana na TAA.

TAA ilikuwa African Association hadi 1948 ilipobadilisha jina na kuwa TAA.
Kleist Sykes ni muasisi wa AA na alikuwa si tu kiongozi akiwa katibu bali
alikuwa mfadhili mkubwa.

Mwanae Kleist, Abdulwahid alikuja na yeye kama baba yake kuwa kiongozi
wa TAA akiwa katibu (1950), katibu na kaimu raisi 1951 - 1952 kisha akawa
kaimu rais 1953 Nyerere akiwa rais.

Kama baba yake, Abdul alikuwa kiongozi na mfadhili wa TAA na TANU.
Lakini kubwa Abdul akaja kuwa mmoja katika wazalendo 17 walioasisi
TANU 1954.

8jKk6xiFtefW3grKr3QMi9qmFfX_TrVV_Dt-BBKmLfjusKDjS7li2PldQRheXl3MAGyDtHH3M3_eExXPD9vr4acuWHIcmF3UdmaSQYmM51b3SFidwjy0Y1mF_hCzWjJtqn2AP5zULfTQYGnteacseube_ef3BN_oJxDD6Z2nePFh7ZxiO1w2nJkpdfTCyLyQHoTLuIwPp-J0834McLhK3igLQ6wjm2E75wum9SfB3vRijgApUdo0JgesKDCqWycxNGAId928FIxgBtbgh7ihPsrotB8jmrECTBVOgfKGxru_0Gw53tyxL5kSIA6PmwfzT6x0wdl-slvS0kiP8f8JdRvaB4ok16mrI2mbibbfhxfmO9MGcnUsPIQFeB756LYbpqYV_cOSn-H2xhVrowwM1Il3gkp5UJJ5bBFrlr8u7HKNzdwEYzEM_NMye8buRzIWUOLhYhVsE8F4JabQRQmw0IVraZ4iPPkx6XLCZJClBwy3qojfBU_VB1XE6IMB3x44U0mv5q81I6veWmsaVkB3_Dr_tRrBeMRvmN-tQmM4odlZwLtWrCACME3Dbr3Hjv43RZ1-9diy10yszG8WYvJ-ecI69iWGSQmm=w876-h657-no

Abdulwahid Sykes ni huyo wa nne kulia aiyevaa miwani ya jua

Si haya tu hata hiyo nyumba ambayo leo ndipo yalipo makao ya CCM Dar es
Salaam alijenga Kleist Sykes na Abdul akifuatana na baba yake siku za
Jumapili wakati huo mtoto mdogo wa miaka mitano alishuhudia ujenzi wa
nyumba hiyo.

Nyumba yenyewe ndiyo hiyo hapo chini katika sherehe ya kufungua ofisi
ya AA mwaka wa 1933:

2016%2B-%2B1

Huu si uongo si hadithi wala si ngano.
Wala si ''hoax.''

Huu ni ukweli ambao kwa bahati mbaya unawachoma roho wengi kwa kuona
mbona haikuwa sisi tuliofanya haya?

Ikiwa wewe au yeyote yule wa mfano wako ana taarifa nje ya hiyo hapo juu
na aje barzani tujadili.

Sioni kosa gani Maalim Faiza kafanya kwa kukutag kwani sote tukijadiliana
hapa kuhusu historia ya nchi yetu kimezidi nini leo hata wewe kuhamaki?

Hakika mila yenu moja.
Unajinasibisha na CCM unawachukia waliounda TANU?!

2016%2B-%2B1

3-rjJEmaZOPQdkW-wVg75pQnMmRzHFy1njQ3gymG47NNg7CfX3DejX_Eqv5NOcVBXIC0Lzh4rCwahBv7TUNR-r9rkRbDzWRypTTKHZNWQ8uo-Babq6xCo1a9woATFZilI05MzGv8uS4Ki27c7Z-mxAohMVqwEdPzG3cbm0h_rzkYc6mM90duTZ8ZZ6OmMbRg5uyS7Hg_ybM5fNurpkaCF5CJExEgojYNs_NGtvf5AZFPJ5szV3QoWXHFGKqwNit0houpVcYCdY4CYXk5ZN57cQjBvuA-ZI1IxY3TzGXTS7GIhImGkY8ogBhk073Cu7lresTLVfJUMLdoR5z0aQv8wyqd8NKHFzYn6vPSI-mfP9RkLIyfVFXY7Jr7B---oairPwn4PoKtbYF7GlmkJRGD8IH_wbbkqSoDBmLyRFROqH80lHDBlopueGjvDftC-qJxm9pJxHm7LVXLSb1vvyg2jzsJnbCyOxTmVPVH53gwhFe_EGnEfdlcJZP-nbR_mtYxvwSDJ06kLvEDN7NomM0x0NmaVku8K1_GJXqCci-jChhDtPsrKQLFCTZo0lcBIIVUgXz3WAAgR7TDA7-z_hxBdqR_vDnVFvpl=w876-h657-no

Ofisi ndogo ya CCM Lumumba Avenue

Ajabu ya Rahman.
Shonde huishia tahayuri.
 
Tupe darsa Alama kuhusu taazia aliyoiandika Grimshaw.
Maalim Faiza,
Ahsante...

Nalimwaga hili kutoka kitabu cha Sykes:

vCZzd4V74c4H1MRV3qGQewNGsgMhQhw49DUp538C2bo6ZcdJt70v2vluHkELUx8mUefF27Zq9bn6nj7uvNvhHW1vvjppvDITrXhVq9WZabTR2g0En8_WvHFgLA7w4HhcFxhfCIohVsGtxyr7ZA8t88zl5L13ypS2Gr2vwS6quWJ5wGloPY-ekA9YbK1WmqYukokQl298uwL02mHxxPnSqM6AaRKN8Kq3gXLwWdxCJ-s2G0ZZ581Cu8MHri97Pv92GnZcAS3ZNz_YQ8K039Lbf8ysv-5ysX1XgZXJ_F7YuHY5yyc3KDHiOdsLdYz2gb0jbXHi3gRxL1EbJ2QJDHB6pRlWZ9RoT9vJFPUB3oVHa-qn10apN2LtxMPQXDLWYTEJMVWleBqrIucSP1wR9lus8JVaAIfMNxFV1d0sJEOfuS4SlC42oUEYE06ryP4TM1NXrO25D6p9zUxyG8GwLllqlFLK1zd0u5NZN89oak8hUwpt8nC_crGbq8H00rU-Y_omxP0B4UFtgj6eISJCJyv83nEo78xNOTd6v7Auml5E7Z0WDRGbjJGNReyxV2W3YzP-rNzH7EtyPtrBhqjYVXPJei7i0G7KjsuxM4wlyvX6H9ASFfOEYyB6Ug=w443-h692-no

''From that time Abdulwahid avoided involving himself in any discussion about the subject, although before his death he accepted an invitation and talked to the Historical Association of Tanzania (HAT). It has not been possible to get information on the topic presented for discussion, but it is said that one of the questions from the audience to him was whether it was not true that, Julius Nyerere had turned round the Party beginning in 1954. To this Abdulwahid gave an analogy of the astronaut John Glenn, the first American to go into outer space. Abdulwahid threw the question back to his audience and asked, “Where should the credit go, to the American scientists who designed and built the rocket, or to John Glenn who piloted it?”

When Judith Listowel came to Tanganyika in 1962 to research for her book, The Making of Tanganyika, she wanted to interview Abdulwahid. However, knowing the controversy which had surrounded the first attempt to research the subject, Abdulwahid avoided her. When Listowel finally caught up with him, Abdulwahid remained reserved and did not give any meaningful details about his own political career or that of his father. However Listowel was able to get little information from Abdulwahid on the formation of TANU from which she wrote: Abdul Sykes, Ally’s brother, said that they had to awaken the political consciousness of the people and form a political organisation’. [1]

From this encounter with Abdulwahid, Listowel wrote to Ally Sykes giving her impression of Abdulwahid. Listowel wrote: ‘I like your brother very much and only wish we could have a longer conversation.’ [2] Back in London Listowel wrote to Ally Sykes on several occasions seeking clarifications on many points of historical importance.

When Abdulwahid died the Ministry of Information issued a press release announcing that the President had attended the funeral of Abdulwahid Sykes.[3] Surprisingly the press release gave few details of his government service, completely eclipsing his checkered political career. It was an Englishman, Brendon Grimshaw, the editor of Tanganyika Standard, who published a fitting obituary to Abdulwahid describing him as: ‘one of the architects of the independence movement and one of the men who helped launch President Nyerere on his political carrier...’

The obituary also paid glowing tribute to the family on its contribution to the political development of Tanganyika by mentioning that ‘much of the desire among Africans for a powerful political party in Tanzania came from the drive of the Sykes family’. [4] It is said that this recognition of Abdulwahid as one of the founding fathers of the nation became a focus of attack from certain members of the TANU leadership. They were overheard grumbling in the corridors of the TANU headquarters in Dar es Salaam that Ally and Abbas Sykes were trying to glorify their elder brother. At the time of Abdulwahid’s death, Abbas Sykes was Counsellor at the Tanzania High Commission in Canada and Ally Sykes had resigned from politics and government service and was a private businessman. Ally Sykes had unceremoniously been made to resign from government service for failing to abide by the leadership code which required senior government officials not to own property or be engaged in business...''

Maalim Faiza,
Baada ya Grimshaw kumtaja Abdul katika Tanganyika Standard Abdul akafukiwa
hakutajwa na kuhusishwa na TANU hadi baada ya miaka 20 wakati nilipomwandika
mwaka wa 1988 katika Africa Events na gazeti likakusanywa na kuchomwa moto.

Si sifa ya Allah kuwa dhalim, kudhulumu.
Leo Abdul anakitabu kizima kinahadithia historia yake.

Hii ndiyo picha Grimshaw ailiweka katika taazia ya Abdul Sykes:

dkmuQWP-nDqZ2gzdpTp4SFbzYOxrICMPSUEZhcnFnSWFIHq8wGhNzRG_hs4hGmAWlZKkluT3n-uV-EByj8fQa4-Q_iy9Wa463e3heRYHunLqASX-0BcEYo0HR1OxukNl0UUOx-5vXHvFkzohL4uOfSuDoGaqoFQmIK1Mz00lqTXEfTJ-YK-s4Y41CsN0jtjg9eQs6WnTKGMgYzxaH2xQJE3O4nwHg0ZfVVquUPp3AHuk2wqABWboaYFn17QwIiAQ1OsKRZwVp_PU0HSGb6lJvpoZG-Hlsl9xcaI1SXZbt3hWR3mEQ59pKzte6ucB6-ahZd7RmU4qQlF7UvdDdpDA9FM3uHzBXo391_dLBdfhHDhUlJcIJxeknVe8mtIGs1Xp8CYZQIN4DSPmkk85j-8DCpEAOCc9Ex9uHbyuaxGSDtcBJETlW5tvIOLLWciMcTonRs1YeGpEfcP6MpkJuGRJe4wDWDOa2BPJUhd_2PbaY2opc9swxkfVtiqsfHkgYGNJlD-OW_Zgk3-jRQGN5XNT54UlLiHT3kmLWQofc8llI5vtJUmxAaLW8zO4Fh8FoPUOS6NJJElN85tSXvi6WoUsbPEHLZyOTu5DBo_j-_dNvJhRUp68XAUImQ=w502-h692-no

[1] Listowel, op. cit. p. 121.

[2] Listowel to Ally Sykes, 12 th November, 1962. Sykes' Papers.

[3] See Press Release A/2746/68 IT/1.322 of 13 th October, 1968. East Africana, University of Dar es Salaam.

[4] Sunday News, 20 th October, 1968.

''Abdulwahid alipobaini kuwa historia ya Tanganyika inaweza kuwa chanzo cha husda na hasama kati yake na Nyerere na viongozi wengine wa TANU, akaamua kutosema chochote kuhusu hilo ingawa kabla hajafa alikubali mwaliko wa Chama Cha Historia Cha Tanzania (Historical Association of Tanzania) (HAT). Imeshindikana kujua Abdulwahid alizungumza kuhusu nini katika mwaliko ule, lakini inasemekana moja ya maswali aliyoulizwa ilikuwa kuwa kama si kweli Nyerere ndiye aliyekipa chama uhai kuanzia mwaka wa 1954. Katika kujibu swali hili Abdulwahid alilirudisha swali lile kwa wasikilizajiwake kwa kutoa mfano wa John Glenn, Mmarekani wa kwanza kwenda angani kuzunguka dunia. Abdulwahid aliwauliza wasikilizaji wake, ëNani apewe sifa, wanasayansi wa Kimarekani waliotengeneza roketi ile au John Glenn aliyekuwa rubani wa chombo?’’

Mwaka 1962 Judith Listowel alipokuja Tanganyika kufanya utafiti kabla hajaandika kitabu chake The Making of Tanganyika, alitaka sana kufanya mahojiano na Abdulwahid. Kwa kujua matatizo yaliyokuwa yanakabili historia ya Tanganyika mara ya kwanza ilipojaribiwa kuandikwa, Abdulwahid alijaribu sana kumkwepa Listowel. Listowel alipokuja kumkamata Abdulwahid nyumbani kwake Magomeni Mikumi, yeye hakupenda kueleza mchango wake wala wa baba yake katika kuaisisi African Association na TANU. Kwa kweli katika mahojiano yake Listowel hakupata chochote cha maana sana. Hata hivyo Listowel aliweza kuelezwa na Abdulwahid jinsi TANU ilivyokuja kuasisiwa. Listowel alikuja kuandika katika kitabu chake kuwa: ëAbdul Sykes, kaka yake Ally, alisema kuwa ilibidi waamshe fikra za siasa za wananchi ili kiundwe chama cha siasaí.[1] Kutokana na mazungumzo haya na Abdulwahid, Listowel alimwandikia Ally Sykes: ëNimependezwa sana na kaka yako na ningefurahi kama ningepata wasaa wa kuwa na mazungumzo na yeye zaidií.[1] Akiwa London Listowel alimuandikia Ally Sykes mara kadhaa akitaka ufafanuzi kuhusu mambo mengi muhimu katika historia ya Tanganyika.

Abdulwahid alipofariki Wizara ya Habari ilitoa taarifa ikieleza kuwa Rais Nyerere amehudhuria maziko ya Abdulwahid Sykes.[1] Kingine kinachostaajabisha ni kuwa taarifa ile ilitoa maelezo machache ya uajiriwa wake katika serikali na kuacha maelezo muhimu ya Abdulwahid katika siasa. Ilikuwa Mwingereza, Brendon Grimshaw, mhariri wa Tanganyika Standard, ndiye aliyempa Abdulwahid heshima na hadhi anayostahili baada ya kifo chake kwa kuchapisha taaízia ambayo ilimweleza Abdulwahid kama: ëmmoja wa wapangaji wa vuguvugu la kudai uhuru na mmoja wa watu waliomsaidi Nyerere kuingia katika siasa.’’

Taaízia ile ilitoa sifa kemkem kwa ukoo wa Sykes katika kuleta maendeleo ya siasa Tanganyika kwa kusema kuwa, ëmsukumo mkubwa wa Waafrika wa Tanganyika kupata chama cha siasa chenye nguvu ulitokana na juhudi za ukoo wa Sykesí.[1] Inasemekana taaízia hii iliyompa marehemu Abdulwahid heshima na sifa za uzalendo wa hali ya juu iliwaudhi baadhi ya viongozi katika TANU. Viongozi hao wakawa wakisikika wakisema kuwa Ally na Abbas Sykes walikuwa wanajaribu kumtukuza kaka yao. Hali hii ilijitokeza tena wakati CCM ilipokuwa ikitafiti historia yake. Hassan Upeka,[1] mmoja katika wasaidizi wa utafiti ule alipeleka katika jopo lile la utafiti na uandishi wa historia ya TANU, mahojiano aliyofanya na Abdulwahid miaka mingi iliyopita kuhusu historia ya TANU. Hassan Upeka alifahamishwa kuwa historia inayoandikwa haimhusu Abdulwahid Sykes. Wakati Abdulwahid anafariki dunia, Abbas alikuwa Councellor katika Ubalozi wa Tanzania Canada na Ally Sykes alikuwa amejiuzulu kazi na kushughulika na biashara. Ally Sykes alikuwa amelazimika kujiuzulu kazi kwa shinikizo kutoka serikalini kwa kuwa alikuwa ameshindwa kufuata masharti ya uongozi yaliyomtaka kiongozi asiwe na mali wala asifanye biashara.''
 
Maalim Faiza,
Ahsante...

Nalimwaga hili kutoka kitabu cha Sykes:

vCZzd4V74c4H1MRV3qGQewNGsgMhQhw49DUp538C2bo6ZcdJt70v2vluHkELUx8mUefF27Zq9bn6nj7uvNvhHW1vvjppvDITrXhVq9WZabTR2g0En8_WvHFgLA7w4HhcFxhfCIohVsGtxyr7ZA8t88zl5L13ypS2Gr2vwS6quWJ5wGloPY-ekA9YbK1WmqYukokQl298uwL02mHxxPnSqM6AaRKN8Kq3gXLwWdxCJ-s2G0ZZ581Cu8MHri97Pv92GnZcAS3ZNz_YQ8K039Lbf8ysv-5ysX1XgZXJ_F7YuHY5yyc3KDHiOdsLdYz2gb0jbXHi3gRxL1EbJ2QJDHB6pRlWZ9RoT9vJFPUB3oVHa-qn10apN2LtxMPQXDLWYTEJMVWleBqrIucSP1wR9lus8JVaAIfMNxFV1d0sJEOfuS4SlC42oUEYE06ryP4TM1NXrO25D6p9zUxyG8GwLllqlFLK1zd0u5NZN89oak8hUwpt8nC_crGbq8H00rU-Y_omxP0B4UFtgj6eISJCJyv83nEo78xNOTd6v7Auml5E7Z0WDRGbjJGNReyxV2W3YzP-rNzH7EtyPtrBhqjYVXPJei7i0G7KjsuxM4wlyvX6H9ASFfOEYyB6Ug=w443-h692-no

''From that time Abdulwahid avoided involving himself in any discussion about the subject, although before his death he accepted an invitation and talked to the Historical Association of Tanzania (HAT). It has not been possible to get information on the topic presented for discussion, but it is said that one of the questions from the audience to him was whether it was not true that, Julius Nyerere had turned round the Party beginning in 1954. To this Abdulwahid gave an analogy of the astronaut John Glenn, the first American to go into outer space. Abdulwahid threw the question back to his audience and asked, “Where should the credit go, to the American scientists who designed and built the rocket, or to John Glenn who piloted it?”

When Judith Listowel came to Tanganyika in 1962 to research for her book, The Making of Tanganyika, she wanted to interview Abdulwahid. However, knowing the controversy which had surrounded the first attempt to research the subject, Abdulwahid avoided her. When Listowel finally caught up with him, Abdulwahid remained reserved and did not give any meaningful details about his own political career or that of his father. However Listowel was able to get little information from Abdulwahid on the formation of TANU from which she wrote: Abdul Sykes, Ally’s brother, said that they had to awaken the political consciousness of the people and form a political organisation’. [1]

From this encounter with Abdulwahid, Listowel wrote to Ally Sykes giving her impression of Abdulwahid. Listowel wrote: ‘I like your brother very much and only wish we could have a longer conversation.’ [2] Back in London Listowel wrote to Ally Sykes on several occasions seeking clarifications on many points of historical importance.

When Abdulwahid died the Ministry of Information issued a press release announcing that the President had attended the funeral of Abdulwahid Sykes.[3] Surprisingly the press release gave few details of his government service, completely eclipsing his checkered political career. It was an Englishman, Brendon Grimshaw, the editor of Tanganyika Standard, who published a fitting obituary to Abdulwahid describing him as: ‘one of the architects of the independence movement and one of the men who helped launch President Nyerere on his political carrier...’

The obituary also paid glowing tribute to the family on its contribution to the political development of Tanganyika by mentioning that ‘much of the desire among Africans for a powerful political party in Tanzania came from the drive of the Sykes family’. [4] It is said that this recognition of Abdulwahid as one of the founding fathers of the nation became a focus of attack from certain members of the TANU leadership. They were overheard grumbling in the corridors of the TANU headquarters in Dar es Salaam that Ally and Abbas Sykes were trying to glorify their elder brother. At the time of Abdulwahid’s death, Abbas Sykes was Counsellor at the Tanzania High Commission in Canada and Ally Sykes had resigned from politics and government service and was a private businessman. Ally Sykes had unceremoniously been made to resign from government service for failing to abide by the leadership code which required senior government officials not to own property or be engaged in business...''

Maalim Faiza,
Baada ya Grimashaw kumtaja Abdul katika Tanganyika Standard Abdul akafukiwa
hakutajwa na kuhusishwa na TANU hadi baada ya miaka 20 wakati nilipomwandika
mwaka wa 1988 katika Africa Events na gazeti likakusanywa na kuchomwa moto.

Si sifa ya Allah kuwa dhalim, kudhulumu.
Leo Abdul anakitabu kizima kinahadithia historia yake.

Hii ndiyo picha Grimshaw ailiweka katika taazia ya Abdul Sykes:

dkmuQWP-nDqZ2gzdpTp4SFbzYOxrICMPSUEZhcnFnSWFIHq8wGhNzRG_hs4hGmAWlZKkluT3n-uV-EByj8fQa4-Q_iy9Wa463e3heRYHunLqASX-0BcEYo0HR1OxukNl0UUOx-5vXHvFkzohL4uOfSuDoGaqoFQmIK1Mz00lqTXEfTJ-YK-s4Y41CsN0jtjg9eQs6WnTKGMgYzxaH2xQJE3O4nwHg0ZfVVquUPp3AHuk2wqABWboaYFn17QwIiAQ1OsKRZwVp_PU0HSGb6lJvpoZG-Hlsl9xcaI1SXZbt3hWR3mEQ59pKzte6ucB6-ahZd7RmU4qQlF7UvdDdpDA9FM3uHzBXo391_dLBdfhHDhUlJcIJxeknVe8mtIGs1Xp8CYZQIN4DSPmkk85j-8DCpEAOCc9Ex9uHbyuaxGSDtcBJETlW5tvIOLLWciMcTonRs1YeGpEfcP6MpkJuGRJe4wDWDOa2BPJUhd_2PbaY2opc9swxkfVtiqsfHkgYGNJlD-OW_Zgk3-jRQGN5XNT54UlLiHT3kmLWQofc8llI5vtJUmxAaLW8zO4Fh8FoPUOS6NJJElN85tSXvi6WoUsbPEHLZyOTu5DBo_j-_dNvJhRUp68XAUImQ=w502-h692-no

[1] Listowel, op. cit. p. 121.

[2] Listowel to Ally Sykes, 12 th November, 1962. Sykes' Papers.

[3] See Press Release A/2746/68 IT/1.322 of 13 th October, 1968. East Africana, University of Dar es Salaam.

[4] Sunday News, 20 th October, 1968.

Ma sha Allah, vitu adhyim na adim.

Natamani Sooth na Nanren watuletee mbadala.
 
Ma sha Allah, vitu adhyim na adim.

Natamani Sooth na Nanren watuletee mbadala.
Maalim Faiza,
Hao hawataweza kuja na historia kama hii hata kama watajikusanya dunia nzima.

Allah ana shani yake mwenyewe katika sifa zake ni kuwa hadhulumu haki ya
mtu.

Leo tunamtaja Abdul Sykes na kila mtu anamsoma na tunamuunganisha na
watu aliokuwanao wakati wa kupanga mipango ya kuikomboa Tanganyika watu
kama Sheikh Hassan bin Amir, Sheikh Said Chaurembo, Sheikh Suleiman
Takadari,Idd Faiz Mafongo na nduguye Idd Tosiri na kaka yao Sheikh
Mohamed Ramiyya,Bi. Titi Mohamed, Bi. Tatu biti Mzee, Zuberi Mtemvu,
Dr. Vedasto Kyaruzi, Dr.Joseph Mutahangarwa, Dr. Tsere, Dr. Michael
Lugazia, Stephen Mhando, Earle Seaton, Tewa Said Tewa, Hamza Kibwana
Mwapachu, Said Chamwenyewe, Dome Budohi, Kiyate Mshume...

kwa kuwataja wachache kwani orodha ni ndefu sana.

Kleist alipopokea medali ya baba yake mwaka wa 2011 kutoka kwa
Rais Kikwete katika kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika pale
katika viwanja vya Ikulu alijikaza hakulia.

Alitoa machozi siku alipokuja kunisalimia Tanga.
 
Kwa yaliyokupata, ungeweza na wewe kujipigia promo kwamba umesimamishwa na kukaguliwa kwa sababu yoyote ambayo ungeitaja. Lakini nafikiri busara zako zilikuongoza kujua kuwa random check/inspection huwa ni routine kwenye viwanja vyote vya ndege. Wapo waislam na wasio waislam wengi tu wanaokaguliwa na kushukiwa kwenye viwanja hivyo. Na hilo linaweza kutokea hata ukiwa Riyadh au Teheran, Rome au London, Lusaka au DSM, lakini hautasema umeshukiwa kwa vile ni muislam au mkristo.
Huyu kaka anapenda ku-embellish stories kama vile yuko kijiweni. Mara ooh kwa vile ni muislam, mara ooh kwa vile niliwatibua wamarekani kule Ibadan. Hivi kweli Mmarekani angetaka ku-deal naye, angeshindwa kweli kumbambikiza kesi yotote? Si wangemuwekea hata kete mbili tatu ndege ilipokuwa kwenye transit?
Of course lengo lake siku zote limekuwa kuamsha chuki ndani ya jamii.
Hii inatisha kwa kweli .
Uzuri Si kila mtu ana kubaliana na alichoandika.
Inaonyesha Si kila mtu ana kubaliana na kuingiza mambo ya dini kwa jambo hili .
 
Mpaka hapo ulipoishia ni kuwa message yako inalenga kwenye udini..! acha udini mkuu na propaganda za chuki dhidi ya muislamu na mkristu.
REJEA.

Nakuapieni nyie msingethubutu kumkamata Mkristo anaetoka Vatican mkutanoni. Lakini kwa kuwa mie ni Muislam sina wa kunitetea. Nchi hii nani atakuuliza kwa kumnyanyasa Muislam?” Walishtuka na wakawa wanyonge sana wakasema si kweli kuwa naponzwa na dini yangu.
Ndio ukweli halisi na siku kibao kiki geuka ndo itajulikana
 
Maisha sio mashindano mama.

Umesema vyema kabisa.

Kuandika historia kuwa Abdul Wahed Sykes alikuwa kisha libuni hata jina la TANU kabla hata hajampokea Nyerere nyumbani kwao ni ushindani?
 
Hii inatisha kwa kweli .
Uzuri Si kila mtu ana kubaliana na alichoandika.
Inaonyesha Si kila mtu ana kubaliana na kuingiza mambo ya dini kwa jambo hili .

Hivi kwanini mpaka leo hii Abdul Rauf Songea halikujulikana jina lake halisi mpaka aje Mohamed Said atujulishe?

Hivi kwanini ulikuwa haujuwi kuwa Mkwawa aliitwa Abdallah mpaka aje Mohamed Said atujulishe?

Hivi kwanini historia hii inawaumiza sana vichwa?

Unaweza kutupa mbadala?

Umeshawahi kumsoma Sivalon? Na Bergen?

Unakubaliana nao? Au kama hujawasoma tukupe vipande vya waliyoyaandika? Halafu utueleze wao nao ni wadini? Au mkuki kwa nguruwe tu?

Sishangai kuona unatishika baada ya kuelewa uliyokuwa umefichwa kuyaelewa.
 
Leloo...
Nimesema kuwa nitakuwekeeni kidogo maana ni mkasa mrefu.
Sikutaka kuwachosha wasomaji wangu.

Ila ikiwa unataka kujua nini kiliendelea naweza nikakuwekea
kipande cha mwisho In Sha Allah.
Mimi ni mkristo nisiekuwa na itikadi, familia yangu imegawanyika mama zangu wengine wakristo wengine waislamu safi,kati ya vitu nisivyovipenda ni unyanyasaji wa aina yoyote kwa kivuli cha dini, sio unyanyasaji tu, hata ujengaji wa hoja kwa misingi ya udini vilevile ni kitu kibaya sana. Nimevutiwa sana na habari yako na ningependa kujua ilikuwaje mwisho. Maana hadi ulipoishia tayari imeshakuwepo taswira ya udini
 
Mpaka hapo ulipoishia ni kuwa message yako inalenga kwenye udini..! acha udini mkuu na propaganda za chuki dhidi ya muislamu na mkristu.
REJEA.

Nakuapieni nyie msingethubutu kumkamata Mkristo anaetoka Vatican mkutanoni. Lakini kwa kuwa mie ni Muislam sina wa kunitetea. Nchi hii nani atakuuliza kwa kumnyanyasa Muislam?” Walishtuka na wakawa wanyonge sana wakasema si kweli kuwa naponzwa na dini yangu.
Kaka yeye amewatuhumu watu fulani kwa Udini na akaeleza sababu ya yeye kufanya hivyo. Kwanini unamgeuzia mpira?
 
Mimi ni mkristo nisiekuwa na itikadi, familia yangu imegawanyika mama zangu wengine wakristo wengine waislamu safi,kati ya vitu nisivyovipenda ni unyanyasaji wa aina yoyote kwa kivuli cha dini, sio unyanyasaji tu, hata ujengaji wa hoja kwa misingi ya udini vilevile ni kitu kibaya sana. Nimevutiwa sana na habari yako na ningependa kujua ilikuwaje mwisho. Maana hadi ulipoishia tayari imeshakuwepo taswira ya udini

Ulivyoanza kujenga hoja yako kuwa u Mkristo, huo si udini?

Au udini ni nini haswa?
 
Huyu Jamaa hana hoja wala mada nyingine zaidi ya Udini! Udini! Udini
 
Mimi ni mkristo nisiekuwa na itikadi, familia yangu imegawanyika mama zangu wengine wakristo wengine waislamu safi,kati ya vitu nisivyovipenda ni unyanyasaji wa aina yoyote kwa kivuli cha dini, sio unyanyasaji tu, hata ujengaji wa hoja kwa misingi ya udini vilevile ni kitu kibaya sana. Nimevutiwa sana na habari yako na ningependa kujua ilikuwaje mwisho. Maana hadi ulipoishia tayari imeshakuwepo taswira ya udini
Kyte,
Msingi wa majadiliano haya ni kitabu cha Sykes na yote unayoyasoma
hapa ambayo mimi nimeandika ni kutokana na kitabu hicho.

Pitia post za nyuma zitakusaidia kulielewa somo.

Inaelekea wewe ni mgeni katika jamvi hili kwa hiyo kuna mengi ambayo
huyajui.

Labda nikuulize wakati waandishi wa historia ya uhuru wa Tanganyika na
historia ya TANU wanaandika kitabu, ''Historia ya TANU 1954-1977,'' hivi
ni kitu gani kiliwafanya wafute majina ya Sheikh Hassan bin Amir,
Sheikh Suleiman Takadir, Bi. Tatu biti Mzee
kuwataja wachache
katika historia ile?

Ni hii taswira ya dini?
 
Huyu Jamaa hana hoja wala mada nyingine zaidi ya Udini! Udini! Udini
Mnabuduhe,
Hili swali nimelijibu mara nyingi sana na kwa ushahidi kuwa hii ni historia
hakuna udini wowote hapo.

Catalogue ya Library of Congress, Washington DC wamekiweka chini ya,
Political History.

Kitabu cha Sykes kimefanyiwa mapitio (book review) na mabingwa wa
historia ya Afrika kama John Iliffe, Jonathon Glassman na James
Brennan
na hakuna hata mmoja wa hao aliyesema hiki kitabu ni cha dini.

Hili suala la dini mimi nalisoma kwenu nyinyi wenzangu mie.
Kwani walipoandika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika wakalikata
jina la Abdul Sykes kitendo hicho kilikuwa udini?

Hofu, hofu, hofu imewatawala.
 
Back
Top Bottom