Mohamed Said: TANU kilikuwa chama cha Kiislam, hili hakuna mtu anayeweza kulipinga

Status
Not open for further replies.
Huyu Mohammed Said akili yake imepinda.
Dunia anaiona katika miwani ya uislamu, si mbaya, lakini ni mfitini mkubwa.
Na anaipaka matope dini tkufu ya Kiislamu kuonekana ni ya wafitini.
 
Australia 95% sio waislam ila uliona walichokuwa wanataka hao waislamu??
 
Mkuu, unajua nini maana ya neno "ISLAM"?!
ISLAM ni neno la kiarabu lenye maana kwa kingereza "Total submission to the willing of GOD"

Kwa Kiswahili "kujikubalisha moja kwa moja kwa Mungu bila pingamizi yoyote"

Katiika kitabu cha Tora/Taurat, chenye maana ya SHERIA alichoteremshiwa Musa aka Moses, Sheria ya mwanzo inasema
"O Hear Israel, The LORD our God, the LORDs is one"
kwa kiswahili cha moja kwa moja "Mungu wetu mmoja" Euteronomy 6:4

Jessu aka Yesu alipoulizwa na wafuasi wake Sheria gani ni bora zaidi aliwajibu kama maneno sheria za Musa "The lord our God, the Lord is one" maana yake "Mungu ni Moja"

Mohamad Mtume mwisho kuteremshwa, wakati ndio kwanza anaanza kuutangaza Uislm alitembelea na watu watatu waliotka kujua ni nani hasa huyu Mungu anaemtangnza..

MMuhammad aliwajibu kwa kiarabu "Allah ahadu, allahu samad......"

Allahu ahadu = The lord our God is one = Mungu ni mmoja..

ISLAM ni kujisalimisha kwa Mungu, Muislam ni yule aliejisalimisha kwa Mungu,, kama alivyofanya Musa aka Moses, Isa aka Jesus aka Yesu na Muhammad..

Nategemea na wewe." You will be total submited to God", Utajisalisha kwa Mungu = Islam
 
Mimi hata sio Mkristu ndugu
Na kama unasema eti makundi mengine yanaishi kwa amani na Waislam pengine hujui kinachoendelea kwenye hii Dunia

Unaifahamu Historia ya India na Pakistan, Wahindu vs Waislam? Au Wabuddha vs Waislam?
Nafikiri tunazungumzia Zanzibar, hao wengine utamaduni wao ni kuuwana..
 
Hizi teuzi zilizojaa udini zinazofanywa na utawala huu ni ushahidi mzuri wa hii video.
Nchi hii inanuka udini
 
Hongereni kwa,hili bandiko. Nimepitia comment zote na kusikiliza clip. Kimsingi Waisalam bado MNA hisia za kuonewa tuuu! Si kweli. Tufanye maendeleo ya kwenda MBELE. Tanzania si dsm pekee. Huku mikoani kuna waislam wengi tu ambao wanaangalia maisha. Siku moja niliwaambia Halmashauri inauza viwanja, wenzenu RC wameomba viwanja vya Makanisa na makazi na wamelipia kila kitu, wao wanataka kwenda mmoja mmoja. Nawaambia ndenibkm taasisi. Wanasema wao si Bakwata. Ikawa shida, wamechelewa wenzao wamepata eneo kubwa, na sasa idadi ya wakszi imeongezeka wamejenga kabisa kubwa sana. Lawama zinaanza wanapendelewa. Wao wanaswali kwenye msikiti mdogooooo!!
 
Sema neno taf
 
Nafikiri tunazungumzia Zanzibar, hao wengine utamaduni wao ni kuuwana..
Nimekutolea hiyo mifano kuonyesha tu ni trend ya Waislam Duniani kote, wanagombana na kila mtu na wakiwa wenyewe wanagombana pia

Nigeria, Sudan, Somalia, Mali, Saudi Arabia kote huko wanachinjana, wanachinja wasio Waislam au Waislam wa madhehebu tofauti
 
Daah Faiza tangu nikujue kupitia humu ni siku nyingi sana ila mpaka leo bado naendelea kukushangaa unaposemea au kujadiri mambo ya siasa huku ukiendekeza udini.
Hakuna chama kilichokua kua cha watu waliojinasibu kupigania Uhuru katika mtizamo wa udini tofauti na UMNUT..unaposema kua TANU kilikua chama cha Kiislamu unatukosea na kutudanganya. Leteni objective History ila si hii ambayo imechafuliwa.
 
Unaweza kutuambia ilo kundi la Waislaam liliitwa je?
Je ,ujui kuwa kuwepo ofisi za TANU ukanda wa Pwani ilitokana na harakati ili zifanikiwe haraka?
 
Hata Uislam wenyewe ulianzishwa kwa kuchinjana majambia kulazimisha udini.

Muhammad alikufa akiwa chongo
 
Hapo ndipo ninapowakubali Katoliki walikuja na Bakwata na sasa waswahili mmebakia historia tu.

Waseminari wa Kikatoliki wameshika hatamu hao akina Abdul wamebakia historia!
 
Boss FaizaFoxy Napenda Mada zako,

Lakini wewe ni MDINI sana na mno.

Miaka nenda miaka Rudi, Tanzania kama Nchi haina Dini, Ila WaTanzania ndio wana Dini.




 
HAWAWEZIII..!!!!


Wallah nakuambia.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…