Mohamed Salah wa Liverpool alaani mauaji yanayofanywa na Israel huko Gaza!

Mohamed Salah wa Liverpool alaani mauaji yanayofanywa na Israel huko Gaza!

7767D301-2245-4D59-9F9E-307B729A5D2B.png
 
Hivi huu ni unafiki wa aina gani?yaani waisrael walivamiwa na hammas wakauawa 1400 hatukuona laana yeyote Urusi imeivamia Ukraine kwa visingizio vya uwongo imeua na kutesa watu wa Ukraine ushahidi umeonekana pale Bucha, Lyman makaburi ya halaiki hatuoni kulaaniwa waislamu wakiuana wenyewe kwa wenyewe mfano somalia, Nigeria,bokoharamu,alshababu, Yemen hatuoni mkilaani,wapalestina waneuawa na WA Lebanon,wa Syria hatuoni tukio la kulaani kwanini Israel ndio ilalamikiwe inapojilinda hii inaonyesha ni chuki dhidi ya wayahudi

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Na ww laani hakuna aliye kuzuia na sio kupangia watu wengine cha kufanya.
 
Haya tuliyasema. Wayahudi walipouawa huyo Salah na wengine hawakulaani mauaji bali wakapongezana kwa furaha. Leo mambo yamegeuka wanajidai kulaani na bado laana inawarudia wao na kule inaenda baraka.
Sio razima kila kitu afanye yy hata ww hakuna aliye kukataza kulaani hamas usitake kuwapangia watu cha kusema.
 
Mo acheze mpira au kama vipivipi avue madaluga akavae military boots aingie mzigoni apigane upande wa magaidi wa Hamas. That's all.
 
huyu jamaa bado ni muoga na mnafiki, ukiangalia hiyo video kaongea kwa umakini sana asiwakwaze mabwana zake.
 
Hata Mandela alikua amewekwa kwenye list ya magaidi na nchi ya Marekani na swahiba zake!!
Ungejua bila ya Marekani (Ronald Reagan) na Uingereza (Margreth Thatcher) kuamua huyo Mandela angefia jela usingeongea ila basi kwa kuwa hufahamu ngoja nikuache.
 
Mo acheze mpira au kama vipivipi avue madaluga akavae military boots aingie mzigoni apigane upande wa magaidi wa Hamas. That's all.
Ww unaye shinda humu una bwabwaja mbona hujaenda kujiunga na jeshi la mayahudi kwa ajili ya kuivamia gaza?

Ukosefu wa akili ni janga.
 
Ungejua bila ya Marekani (Ronald Reagan) na Uingereza (Margreth Thatcher) kuamua huyo Mandela angefia jela usingeongea ila basi kwa kuwa hufahamu ngoja nikuache.

Imebadilisha nilichokisema ama kauli yako inadhihirisha nolichokisema kua Marekani na Uingereza ni mabingwq wa ku-label wengine magaidi ilihali wao ndio magaidi na wafadhili wakuu wa ugaidi?!!
 
Tumeona wachezaji kadhaa waliojitokeza kulaani mauaji ya Israel dhidi ya Wapalestina huko Gaza wakitishiwa kufukuzwa kwenye klabu zao na kusimamishwa, haswa Ujerumani ambapo zaidi ya wachezaji watatu wameshasimaishwa.

Mchezaji mahiri na mashuhuri Duniani anaechezea Liverpool amejitokeza rasmi na kutoa ujumbe kwa njia ya video akilaani mauaji ya Israel.

Je, Liverpool watamsimamisha?

View attachment 2786134
Mbona kwenye hiyo clip hajalaani chochote?

Unataka kutujaza ujinga?
 
Mbona kwenye hiyo clip hajalaani chochote?

Unataka kutujaza ujinga?

Na wewe shule ulienda kusomea ujinga Dada yangu?!! Ama mtu akizeeka na akili zinazeeka?!!

Hembu andika alichokisema kwenye hiyo clip tuone kama ameunga mkono yanayofanywa na Israel!!
 
Back
Top Bottom