Mohamed Salah wa Liverpool alaani mauaji yanayofanywa na Israel huko Gaza!

Mohamed Salah wa Liverpool alaani mauaji yanayofanywa na Israel huko Gaza!

Na wewe shule ulienda kusomea ujinga Dada yangu?!! Ama mtu akizeeka na akili zinazeeka?!!

Hembu andika alichokisema kwenye hiyo clip tuone kama ameunga mkono yanayofanywa na Israel!!
Unaelewa Kingereza? Kulaani kwa Kingereza nini? Halafu unambie neno hilo lipo sekende ya ngapi labda limenipita.

Nasubiri.
 
Unaelewa Kingereza? Kulaani kwa Kingereza nini? Halafu unambie neno hilo lipo sekende ya ngapi labda limenipita.

Nasubiri.

Kumbe shida yako wewe Ni specific word ya neno "kulaani"?!

Haya tufanye hajalaani,kapongeza jitihada na ushujaa wa Israel na amependekeza Netanyahu apewe Nobel prize!!
 
Ww unaye shinda humu una bwabwaja mbona hujaenda kujiunga na jeshi la mayahudi kwa ajili ya kuivamia gaza?

Ukosefu wa akili ni janga.
Kwa hiyo wewe hapo unapoandika uko tayari Gaza umeshajiunga na magaidi wa Hamas na Islamic Jihad tayari kukomboa "ardhi yenu?"
 
Siwezi kupanic kwa sababu najivunia kuvaa aina ya kiatu kilicho valiwa na yesu.
20231015_083035.png
 
Hivi huu ni unafiki wa aina gani?yaani waisrael walivamiwa na hammas wakauawa 1400 hatukuona laana yeyote Urusi imeivamia Ukraine kwa visingizio vya uwongo imeua na kutesa watu wa Ukraine ushahidi umeonekana pale Bucha, Lyman makaburi ya halaiki hatuoni kulaaniwa waislamu wakiuana wenyewe kwa wenyewe mfano somalia, Nigeria,bokoharamu,alshababu, Yemen hatuoni mkilaani,wapalestina waneuawa na WA Lebanon,wa Syria hatuoni tukio la kulaani kwanini Israel ndio ilalamikiwe inapojilinda hii inaonyesha ni chuki dhidi ya wayahudi

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Wewe huna akili. Huna hata ile ya kuvukia barabara. Idiot...
 
Ila kinachoendelea Sudan kuuliza Waafrika waislamu hakihitaji roho ya ubinaadamu na utu tu kutambua kua sio sawa.
Kuwa na akili basi hata ya kuvukia barabara!!!
Unalinganishaje kile kinachotokea kule Gaza na ule mzoz wa kugombea madaraka kule Sudan? Sudani ni wenyewe kwa wenyewe. Gaza ni Israel anauwa watu wasokuwa na hatia.
 
Hivi huu ni unafiki wa aina gani?yaani waisrael walivamiwa na hammas wakauawa 1400 hatukuona laana yeyote Urusi imeivamia Ukraine kwa visingizio vya uwongo imeua na kutesa watu wa Ukraine ushahidi umeonekana pale Bucha, Lyman makaburi ya halaiki hatuoni kulaaniwa waislamu wakiuana wenyewe kwa wenyewe mfano somalia, Nigeria,bokoharamu,alshababu, Yemen hatuoni mkilaani,wapalestina waneuawa na WA Lebanon,wa Syria hatuoni tukio la kulaani kwanini Israel ndio ilalamikiwe inapojilinda hii inaonyesha ni chuki dhidi ya wayahudi

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Hawa watu wa kuvaa kobazi bwana yaani wao wakiguswa ni shida hata kama wamechokoza wao. Ukraine hajasema hamas kaanza yeye kuua 1300 waisrael hajasema leo anatoka anaongea sijui gaza na gaza. Huyu mkataba utavunjwa na awe makin kama pesa zipo kwa wazungu harudi nazo
 
Kinachoendelea huko Gaza inahitaji roho ya ubinaadamu na utu tu kutambua kua sio sawa.

Haya njoo na dhihaka nyingine ya kukanusha kua sio Mohamed SalahView attachment 2786141
kwamb mlipochinja watu 260 mlitaka mchekewe mbuz nyiny ? nyiny ndo kikwazo cha Israel kusonga mbele , wangekuwa mbali sn mpk ss hv ila nyiny mnapenda migogoro muda wote , acha wawasafishe mbuz hao , hata waarab wanawakataa sabab ni jamii korofi sn
 
hehehhe tunarudia yale majibu yenu enzi za ukraine na mrusi ....kosa moja halihalalishi lingine
ukraine hakuwai kuishambulia Russiai
ila Wapalestina kupitia serikali yao ya Hamas wamefanya hivyo , je Israel hairuhusiw kujilinda ila Urusi anaruhusiwa kuua bila sabab za msingi?
 
ukraine hakuwai kuishambulia Russiai
ila Wapalestina kupitia serikali yao ya Hamas wamefanya hivyo , je Israel hairuhusiw kujilinda ila Urusi anaruhusiwa kuua bila sabab za msingi?
JIBU NI LILELILE KOSA MOJA HALIHALALISHI LINGINE KILA MTU ASHINDE VITA ZAKE
 
Back
Top Bottom