Mohamed Salah wa Liverpool alaani mauaji yanayofanywa na Israel huko Gaza!

Na ww laani hakuna aliye kuzuia na sio kupangia watu wengine cha kufanya.
 
Haya tuliyasema. Wayahudi walipouawa huyo Salah na wengine hawakulaani mauaji bali wakapongezana kwa furaha. Leo mambo yamegeuka wanajidai kulaani na bado laana inawarudia wao na kule inaenda baraka.
Sio razima kila kitu afanye yy hata ww hakuna aliye kukataza kulaani hamas usitake kuwapangia watu cha kusema.
 
Mo acheze mpira au kama vipivipi avue madaluga akavae military boots aingie mzigoni apigane upande wa magaidi wa Hamas. That's all.
 
huyu jamaa bado ni muoga na mnafiki, ukiangalia hiyo video kaongea kwa umakini sana asiwakwaze mabwana zake.
 
Hata Mandela alikua amewekwa kwenye list ya magaidi na nchi ya Marekani na swahiba zake!!
Ungejua bila ya Marekani (Ronald Reagan) na Uingereza (Margreth Thatcher) kuamua huyo Mandela angefia jela usingeongea ila basi kwa kuwa hufahamu ngoja nikuache.
 
Mo acheze mpira au kama vipivipi avue madaluga akavae military boots aingie mzigoni apigane upande wa magaidi wa Hamas. That's all.
Ww unaye shinda humu una bwabwaja mbona hujaenda kujiunga na jeshi la mayahudi kwa ajili ya kuivamia gaza?

Ukosefu wa akili ni janga.
 
Ungejua bila ya Marekani (Ronald Reagan) na Uingereza (Margreth Thatcher) kuamua huyo Mandela angefia jela usingeongea ila basi kwa kuwa hufahamu ngoja nikuache.

Imebadilisha nilichokisema ama kauli yako inadhihirisha nolichokisema kua Marekani na Uingereza ni mabingwq wa ku-label wengine magaidi ilihali wao ndio magaidi na wafadhili wakuu wa ugaidi?!!
 
Mbona kwenye hiyo clip hajalaani chochote?

Unataka kutujaza ujinga?
 
Mbona kwenye hiyo clip hajalaani chochote?

Unataka kutujaza ujinga?

Na wewe shule ulienda kusomea ujinga Dada yangu?!! Ama mtu akizeeka na akili zinazeeka?!!

Hembu andika alichokisema kwenye hiyo clip tuone kama ameunga mkono yanayofanywa na Israel!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…