Mdau biashara ya electronics uwezi kulinganisha na biashara ya mpira wa miguu..........(Football), unlesss ulitaka kujionyesha uhalisia wako kwamba wewe ni Utopolo. Unafikiria ndani ya box. Ndio maana hata viongozi wako wanajua umuhimu wa uwekezaji...wapo kwenya mabadiliko. Bila GSM unafikiri mpira utachezwa pale Jangwani? Be serious....
Sasa wakati unaamini nilitaka kujionesha uhalisia wangu kwamba mimi ni utopolo, braza, wewe ndo umejionesha kwa lile jina alilowaita Aden Rage kwamba Mashabiki wa Kolo ni mbumbumbu!!
Narudia, hakuna tofauti yoyote kati ya mfano niliokupa na sababu ni hizi...
Mark Zuckerberg ndie founder wa The Facebook!!
Venture Capitalists kutaka kuwekeza Facebook ni kwa sababu tayari walishaona The Facebook itself, kama ilivyo, tayari ni asset! Tayari ni fedha!!
Kwahiyo investment ya Mark Zuckerberg ni hiyo FB kwa sababu tayari ilishakuwa mgodi!!
Mtaji wa Zuckerberg ni hiyo Facebook yake!!
The same applies to Simba!!
Simba yenyewe kama ilivyo tayari ni ASSET! Tayari ni Pesa, na ndo maana Mwamedi alikuwa tayari kutoa 20Billion kununua 49% ya Hisa za Simba!!!
Kwahiyo, 51% ya Mtaji wa Simba ni klabu yenyewe kwa sababu Simba Sc ni asset!!
Ni kutokana na ukweli huo, ndo maana leo hii wapo tayari kuuza hizo 51% kwa Wanachama kwa sababu huo ndo mtaji wake!!