Mohammed Dewji ajiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya simba, amteua Salim Abdallah (Try Again) kuchukua nafasi yake

Mohammed Dewji ajiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya simba, amteua Salim Abdallah (Try Again) kuchukua nafasi yake

Ni kama wote wanaambukizana umbumbumbu,kuanzia Wasomi hadi wasiokuwa Wasomi.Asante Mungu na Wazazi wangu kunirithisha kuwa Shabiki wa Simba.
Shabiki wamakolokolo fc [emoji23][emoji23]
 
Sio kwamba anawekeza simba bila kuwa na maslahi. Kabla ya MO simba ilikuwepo na baada yake itakuepo.

Hakuna anayemchukia hata kwa anayoyafanya ila na yeye atambue simba ina mashabiki na wapenzi ambao hawezi kuwakwepa.

Kama hataki maneno aanzishe team mpya kabisaaaaa iwe mali yake binafsi

Maana kama anakereka atashindwa kuistawisha team na zaidi ataididimiza.... Angondoka kabisa ili wenye nia waingie na kufanya kazi na Simba
Hivi ndio anaondoka mama. Mmezidi maneno
 
Mudi akiambiwa kidogo anazira
Jamaa kauza wachezaji na kununua mabasi.
Basi kaona ajiuzuru ili mikia wambembeleze na kumlamba miguu arudi..
Hapa sasa hivi mke wake mdogo OKW BOBAN SUNZU sijui ataficha sura wapi
 
Kumbukeni mafanikio ya timu yangu ya Simba kwa takribani miaka 4 yalisababishwa na Mhe. Paul Makonda, kama siyo yeye Yanga wangeendelea kutunyanyasa
 
Kama hatujui baadhi ya mambo tuache kuongea.

Kwa Sheria za FCC huwezi kuwa mwekezaji halafu hapo hapo ukawa kiongozi. Hii Ina maana kwamba Simba iko ktk hatua za mwisho za mabadiliko.

Mo amejiuzulu kwa mujibu wa sheria za FCC. Lakini bado Ni mwekezaji, na mdhamini wa timu.

Inawezekana vipi Simba yote, Time ya Ushindani iungane na Mo kudanganya kwamba ameweka hela wakati hajaweka. Huwezi kumwambia mtu mwenye akili au alieenda shule akakuelewa. Mnaongea km watoto wadogo.

Mo kuweka hela za uwekezaji ni takwa la kisheria kwa mujibu wa FCC si swala la blah blah mnazopiga humu.
Acha kujitia ujuaji mwana-Kolo wakati hujui...

Kwa maelezo yako hayo unaonesha wazi hufahamu hata role ya FCC kwenye haya mambo!!

Na FCC wala haiwahusu kufahamu Mwamedi kama kaweka mzigo au hapana kwa sababu hilo ni jukumu la Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana... CMSA!!

Wajibu wa FCC ni kuhakikisha ikiwa transformation ya Simba haitaathiri ushindani dhidi ya wadau wengine; na ndio maana wanaitwa Tume ya Ushindani wa Biashara!!

FCC wakishajiridhisha kwamba hiyo transformation haitaleta madhara kwenye ushindani, ndipo wanaingia Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana!!

Kwamba, si mmeamua kuuza hisa za club... mgawanyo wa hisa upo vipi, na mpangilio mzima wa biashara unakuwa vipi! Hayo ndiyo yatakayo-determine endapo hatimae watakuwa na uhalali wa kuuza hisa publicly au vipi!!

Kwahiyo wacha kuchanganya mambo!!!

Btw, yaani mtu awekeze halafu asiruhusiwe kuongoza taasisi aliyowekeza?!

Hivi unajua unachoongea wewe?!
 
Mdau biashara ya electronics uwezi kulinganisha na biashara ya mpira wa miguu..........(Football), unlesss ulitaka kujionyesha uhalisia wako kwamba wewe ni Utopolo. Unafikiria ndani ya box. Ndio maana hata viongozi wako wanajua umuhimu wa uwekezaji...wapo kwenya mabadiliko. Bila GSM unafikiri mpira utachezwa pale Jangwani? Be serious....
Sasa wakati unaamini nilitaka kujionesha uhalisia wangu kwamba mimi ni utopolo, braza, wewe ndo umejionesha kwa lile jina alilowaita Aden Rage kwamba Mashabiki wa Kolo ni mbumbumbu!!

Narudia, hakuna tofauti yoyote kati ya mfano niliokupa na sababu ni hizi...

Mark Zuckerberg ndie founder wa The Facebook!!

Venture Capitalists kutaka kuwekeza Facebook ni kwa sababu tayari walishaona The Facebook itself, kama ilivyo, tayari ni asset! Tayari ni fedha!!

Kwahiyo investment ya Mark Zuckerberg ni hiyo FB kwa sababu tayari ilishakuwa mgodi!!

Mtaji wa Zuckerberg ni hiyo Facebook yake!!

The same applies to Simba!!

Simba yenyewe kama ilivyo tayari ni ASSET! Tayari ni Pesa, na ndo maana Mwamedi alikuwa tayari kutoa 20Billion kununua 49% ya Hisa za Simba!!!

Kwahiyo, 51% ya Mtaji wa Simba ni klabu yenyewe kwa sababu Simba Sc ni asset!!

Ni kutokana na ukweli huo, ndo maana leo hii wapo tayari kuuza hizo 51% kwa Wanachama kwa sababu huo ndo mtaji wake!!
 
Umeelewa lakini sababu zilizopelekea kuachia ngazi nafasi hiyo.Au tu umeona heading ukarukia kucomment[emoji3][emoji3]
Inasikitisha mkuu watu wanalazimisha wanayoyawaza wao
 
Back
Top Bottom