Kichogo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 2,094
- 3,218
Shabiki wamakolokolo fc [emoji23][emoji23]Ni kama wote wanaambukizana umbumbumbu,kuanzia Wasomi hadi wasiokuwa Wasomi.Asante Mungu na Wazazi wangu kunirithisha kuwa Shabiki wa Simba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shabiki wamakolokolo fc [emoji23][emoji23]Ni kama wote wanaambukizana umbumbumbu,kuanzia Wasomi hadi wasiokuwa Wasomi.Asante Mungu na Wazazi wangu kunirithisha kuwa Shabiki wa Simba.
Pole. Mwekezaji. Hiyo ndio na uwekezaji ndio kwa heriNdio apumzike yeye ni mwekezaji
Hivi ndio anaondoka mama. Mmezidi manenoSio kwamba anawekeza simba bila kuwa na maslahi. Kabla ya MO simba ilikuwepo na baada yake itakuepo.
Hakuna anayemchukia hata kwa anayoyafanya ila na yeye atambue simba ina mashabiki na wapenzi ambao hawezi kuwakwepa.
Kama hataki maneno aanzishe team mpya kabisaaaaa iwe mali yake binafsi
Maana kama anakereka atashindwa kuistawisha team na zaidi ataididimiza.... Angondoka kabisa ili wenye nia waingie na kufanya kazi na Simba
Kawaambukiza na mashabiki wa mikia. Wako kidemu demu tumoo kama demu mambo ya kususa susa
upigaji upo pale pale..Mwenyekiti wa Bodi anamteua Mwenyekiti wa Bodi?
Ntafurahi sana , njoo basiNa nikijaribu na wewe nitamu ng'ata huyo abdala kichwa wazi
Kama uchebe alivyoona kwenu au sio?Luc Eymael ni mtu mwerevu aliyeona mbali sana
Acha kujitia ujuaji mwana-Kolo wakati hujui...Kama hatujui baadhi ya mambo tuache kuongea.
Kwa Sheria za FCC huwezi kuwa mwekezaji halafu hapo hapo ukawa kiongozi. Hii Ina maana kwamba Simba iko ktk hatua za mwisho za mabadiliko.
Mo amejiuzulu kwa mujibu wa sheria za FCC. Lakini bado Ni mwekezaji, na mdhamini wa timu.
Inawezekana vipi Simba yote, Time ya Ushindani iungane na Mo kudanganya kwamba ameweka hela wakati hajaweka. Huwezi kumwambia mtu mwenye akili au alieenda shule akakuelewa. Mnaongea km watoto wadogo.
Mo kuweka hela za uwekezaji ni takwa la kisheria kwa mujibu wa FCC si swala la blah blah mnazopiga humu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una hela wewe?Ntafurahi sana , njoo basi
Sasa wakati unaamini nilitaka kujionesha uhalisia wangu kwamba mimi ni utopolo, braza, wewe ndo umejionesha kwa lile jina alilowaita Aden Rage kwamba Mashabiki wa Kolo ni mbumbumbu!!Mdau biashara ya electronics uwezi kulinganisha na biashara ya mpira wa miguu..........(Football), unlesss ulitaka kujionyesha uhalisia wako kwamba wewe ni Utopolo. Unafikiria ndani ya box. Ndio maana hata viongozi wako wanajua umuhimu wa uwekezaji...wapo kwenya mabadiliko. Bila GSM unafikiri mpira utachezwa pale Jangwani? Be serious....
Basi sawa....Ni kweli
Inasikitisha mkuu watu wanalazimisha wanayoyawaza waoUmeelewa lakini sababu zilizopelekea kuachia ngazi nafasi hiyo.Au tu umeona heading ukarukia kucomment[emoji3][emoji3]