Mohammed Dewji ajiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya simba, amteua Salim Abdallah (Try Again) kuchukua nafasi yake

Bora hata kuna watu kama ww unaongea vitu vinaeleweka
 
Ndo maana
We kweli Ni mpumbavu. Kwahiyo unafikiri bepari km Mo ameenda pale Simba kuuza sura. Kuna Bepari anawekeza hela yke mahali hamna faida.

Utopolo mliitwa manyani kocha yule hakukosea.
Ndo maana mliitwa

mbu mbu FC
 
Hivi karibuni wananchi watatangaza kumsajil mdhamini mwingine billionaire wa hapa nchini kutoka club moja kubwa[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nyie ndio types ya watu ambao kama parasite AU VIRUS wa mpira wa Tanzania hamjui chochote na hamjui hata Maudhui ya muandishi mnakuwa carried away na chuki kwasababu tu unampenda mtu fulani basi.

Wewe hata kukujibu ni kupoteza nguvu zangu,ingia kwa Ignore list yangu!
 
Ila hapo kusema GSM walanguzi sikuungi mkono.
Maana GSM ina uwanda mpana nowadays.
Imetanuka ktk usafirishaji,malls,masheli hapo huwez sema ni walanguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…