Kama hatujui baadhi ya mambo tuache kuongea.
Kwa Sheria za FCC huwezi kuwa mwekezaji halafu hapo hapo ukawa kiongozi. Hii Ina maana kwamba Simba iko ktk hatua za mwisho za mabadiliko.
Mo amejiuzulu kwa mujibu wa sheria za FCC. Lakini bado Ni mwekezaji, na mdhamini wa timu.
Inawezekana vipi Simba yote, Time ya Ushindani iungane na Mo kudanganya kwamba ameweka hela wakati hajaweka. Huwezi kumwambia mtu mwenye akili au alieenda shule akakuelewa. Mnaongea km watoto wadogo.
Mo kuweka hela za uwekezaji ni takwa la kisheria kwa mujibu wa FCC si swala la blah blah mnazopiga humu.