Mohammed Dewji ajiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya simba, amteua Salim Abdallah (Try Again) kuchukua nafasi yake

Mohammed Dewji ajiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya simba, amteua Salim Abdallah (Try Again) kuchukua nafasi yake

Kama hatujui baadhi ya mambo tuache kuongea.

Kwa Sheria za FCC huwezi kuwa mwekezaji halafu hapo hapo ukawa kiongozi. Hii Ina maana kwamba Simba iko ktk hatua za mwisho za mabadiliko.

Mo amejiuzulu kwa mujibu wa sheria za FCC. Lakini bado Ni mwekezaji, na mdhamini wa timu.

Inawezekana vipi Simba yote, Time ya Ushindani iungane na Mo kudanganya kwamba ameweka hela wakati hajaweka. Huwezi kumwambia mtu mwenye akili au alieenda shule akakuelewa. Mnaongea km watoto wadogo.

Mo kuweka hela za uwekezaji ni takwa la kisheria kwa mujibu wa FCC si swala la blah blah mnazopiga humu.
Bora hata kuna watu kama ww unaongea vitu vinaeleweka
 
Ndo maana
We kweli Ni mpumbavu. Kwahiyo unafikiri bepari km Mo ameenda pale Simba kuuza sura. Kuna Bepari anawekeza hela yke mahali hamna faida.

Utopolo mliitwa manyani kocha yule hakukosea.
Ndo maana mliitwa

mbu mbu FC
 
Hivi karibuni wananchi watatangaza kumsajil mdhamini mwingine billionaire wa hapa nchini kutoka club moja kubwa[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nyie ndio types ya watu ambao kama parasite AU VIRUS wa mpira wa Tanzania hamjui chochote na hamjui hata Maudhui ya muandishi mnakuwa carried away na chuki kwasababu tu unampenda mtu fulani basi.

Wewe hata kukujibu ni kupoteza nguvu zangu,ingia kwa Ignore list yangu!
 
Kumbuka lkn anahisa 49% ambayo thamani yake Bilion 20 alipozinunua kama akihitaji kuziuza na KUONDOKA haita kuwa tena BILION 20 kutokana na timu kupanda thamani.

NA KUHAKIKISHIA HAKUNA TAJIRI YEYOTE HAPA TANZANIA AMBAYE ANAWEZA KUNUNUA HIZO HISA ZAKE NA KUHAKIKISHIA 1000000000% HAKUNA...

MTU AMBAYE ANAWEZA KUNUNUA LAABDA BAKHARESA LKN SHERIA HAITA MRUHUSU KUWA NA UMILIKI WA TIMU MBILI.

SABABU YA PILI NI MO (Metl) NI ONE OF BUSINESS COMPATITOR WA AZAM GROUP PLUS Husda ya UARAB AWEZI NUNUA HIZO HISA SABABU LAZIMA ALIPE CASH BILLION OF SHILLINGS MAANA HAITAKUWA TENA 20B.

Wale GSM NI walanguzi sio wafanya biashara Mwanzo walikuwa HOME SHOPPING CENTRE leo wanaitwa GSM baada ya miaka 5 wanaweza itwa TMK hawako consistence ktk kubuild BRAND NAME.

MO anamapungufu yake kama BINAADAMU yeyote lkn ukwel lazima usemwe THIS GUY ameleta mapinduzi ya FOOTBALL completely sio tu SIMBA NA YANGA BALI KATIKA LEAGUE NZIMA YA TANZANIA [emoji1241] angalia hamasa iliyopo leo za vilabu vya mpira ndio utajua kwamba ameleta mwamko mkubwa kabla ya hapo watu walisha GIVE UP maswala ya MPIRA hapa TANZANIA wali baki tu ushabiki tu lkn hawana morali kabisa kutokana na hali halisi iliyo kuwapo awali .
Ila hapo kusema GSM walanguzi sikuungi mkono.
Maana GSM ina uwanda mpana nowadays.
Imetanuka ktk usafirishaji,malls,masheli hapo huwez sema ni walanguzi.
 
Back
Top Bottom