Uko sahihi mwanaume anasusa Susa nini, mara mabifu ya wachezaji anawauza Hadi kuathiri team, Bora aondoke tu ikiwezekana Simba ilikuwepo kabla yake na itaendelea kuwepo aanzishe tu team yake mpya bana, mambo yake ya ajabu yanaathiri teamSio kwamba anawekeza simba bila kuwa na maslahi. Kabla ya MO simba ilikuwepo na baada yake itakuepo.
Hakuna anayemchukia hata kwa anayoyafanya ila na yeye atambue simba ina mashabiki na wapenzi ambao hawezi kuwakwepa...
bora atoke maana yupo kibiashara simba
Ukistaajabu ya Musa utaona ya FirauniMwenyekiti wa Bodi anamteua Mwenyekiti wa Bodi????
Mbona Kama unalia [emoji3][emoji3][emoji3]Uko sahihi mwanaume anasusa Susa nini, mara mabifu ya wachezaji anawauza Hadi kuathiri team, Bora aondoke tu ikiwezekana Simba ilikuwepo kabla yake na itaendelea kuwepo aanzishe tu team yake mpya bana, mambo yake ya ajabu yanaathiri team
jamani hapo pagumuMwenyekiti wa Bodi anamteua Mwenyekiti wa Bodi????
moo kama demu mambo ya kususa susaMbona Kama unalia [emoji3][emoji3][emoji3]
eti nawatakia maafanikio mema ehh mbona kama anaacha laanaThubutuu Atoke aache aache pesa😅😅😅😅
Keshaandaa mazingira na sasa kaacha watu wake huyu Moo...
Ameshamteua try again kuchukua nafasi yakeKama kweli amejiuzulu, basi naomba Wanasimba mniteue mimi kuwa Mwenyekiti wenu mpya wa Bodi!
Aweke agundue nini au lipi manina😂😂Bilioni 20 hivi aliweka kweli au tumepigwa msingida
kwa hiyo tumepigwaAweke agundule lipi manina😂😂
eti nawatakia maafanikio mema ehh mbona kama anaacha laana
mechi 3 tu moo naye hana uvumilivuKeshagundua watanzania ni wakimya ila sio wajinga
Kemcho Uvumilivu Zero [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mechi 3 tu moo naye hana uvumilivu
NyookoMbona Kama unalia [emoji3][emoji3][emoji3]
haya mambo yanaonekana ya kawaida ila huko msimbazi kwenyewe kunafutuku la motoKemcho Uvumilivu Zero [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sure ana mihemko ka si mwanaume bana hata tofauti na Manara tu kwa uswahili uswahili ingawa kakulia ushuani.moo kama demu mambo ya kususa susa
uamuzi ulipitisha tarehe 21 hizo mechi zilikuwa zishachezwa zaidi ya mazembe? kwani uwekezaji kaachia? akishika madaraka ya mwenyekiti wa bodi maneno akiachia maneno, jamani.Kwanza Try again ni kiongozi mzuri sana sana tumechi 3 tu moo naye hana uvumilivu
na badoooNyooko
Mmepigwa dungu msokoniBilioni 20 hivi aliweka kweli au tumepigwa msingida
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole DarlingNyooko
tatizo kalelewa kimama mama kitu kidogo anasusaSure ana mihemko ka si mwanaume bana hata tofauti na Manara tu kwa uswahili uswahili ingawa kakulia ushuani.