Mohammed Dewji ajiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya simba, amteua Salim Abdallah (Try Again) kuchukua nafasi yake

Luc Eymael ni mtu mwerevu aliyeona mbali sana
Hawajui tofauti ya mwenyekiti wa bodi na mwenyekiti wa wanachama , hawajui kama kule kuna Mangungu akiwakilisha wanachama siku ikifika kwao wakaona msola yupo na mwenyekiti wa bodi ndipo wataelewa halafu watajisifu kwamba ni utaratibu mzuri sana haujawahi kutokea
 
Anataka aitie timu mfukoni iwe mali yake,timu ambayo ilikuwepo miaka nenda miaka rudi.
 
Yeye bado ni mwekezaji bado ana maamuzi huyu Try Again alikua Chini yake!!..
Bro unapoteza muda na hawa utopwinyo wewe kubali tu kwamba kakimbia ,maana ukienda facebook kuna shangwe kubwa sana no wonder kina Mbowe wanateseka bure juu ya wajinga wa nchii hii, yaani hawajui tofauti ya mwenyekiti wa bodi na wa klabu na mgawanyowa shareholder wa 49 % na wa 51 %..halafu hawa ni wa jamii forums ambao tuna assume wana akili je vilaza wengine?
 
Yani nimegundua watanzania wengi hatupendi maendeleo!!..Mo kaamua kumpa Try Again majukumu kamili watu hawakutaka Try Again apate ulaji?!!..Mo kaamua ajikite kwenye biashara zake zaidi,watu hawataki afanye biashara!!..Watu hawataki Mo aendelee kuwekeza kwenye Mpira!!??..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…