Mohammed Dewji ajiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya simba, amteua Salim Abdallah (Try Again) kuchukua nafasi yake

Kama ni Kikao Cha bodi kiliketi, Kwa nn aseme Natumia fursa Hii Kumteua Salim Try Again Kuwa Mwenyekiti Wa bodi ya SSC Kwa maneno Haya Hiyo Bodi ya SSC haijamteua Salim Bali Salim Kateuliwa na Kemcho.

Au Kemcho anaona Kama Hatuelewi
 
Huo muongozo upo kwenye makaratasi tu, ila Mo alikuwa kila kitu, mwenyekiti, mhasibu, msemaji mpaka discipline master.
 
Watu wagumu kuelewa ,inshort hamna kilichobadilika Simba
 
Technically iko hivi, kwa Simba tayari Mo ana asilimia 49 ya hisa. Kwa sababu moja au nyingine ameamua kupunguza maslahi kutoka senior team ndio maana akasema anahamia kwenye soka la vijana. Hata hivyo anabakia kuwa mjumbe wa bodi na mwenyekiti wa bodi ni mtu wake hivyo maslahi yake bado yapo salama.
 
nilitegemea haya mda mrefu sana ,kwakuwa huyo moo sio kiongozi mnzuri,anaingiliawachezaji,anafukuza watu kazi nadhani mapenzi yanamchanganya sasasimba jiandaeni kuanguka tu hamna jinsi
Apa mbona umeongea kinafik kama tatzo moo ayo unayomshutumu na yeye ameshaachia iyo nafas kwann useme simba wajiandae kuanguka ,au ktk uongoz wake simba walianguka nin kwa soka ndan na nje
 
FCC walisha toa condition Mo hawezi kuwa Mwenyekiti ya Bodi na akawa Muwekezaji hapo Kuna ukinzani ili kuweka Mambo sawa Inatakiwa aweze kustep down Uwenyekiti wa Bodi ili mambo ya uwekezaji ndani ya simba yasiwe na conflict of interest na Simba walichofanya ni kufuata condition ya FCC ili kukamilisha mchakato wao.

Na sio sababu ya kusafiri sana aliyoisema yeye na labda nikupe za ndani kabisa ilikuwa ngumu sana yeye kuachia hiyo nafasi ya uenyekiti wa bodi ya wakarugenzi ila conditions za FCC ndo zinambana sana
 
Apa mbona umeongea kinafik kama tatzo moo ayo unayomshutumu na yeye ameshaachia iyo nafas kwann useme simba wajiandae kuanguka ,au ktk uongoz wake simba walianguka nin kwa soka ndan na nje
mbona kama unalia aliyekuchapa huku jamii ni nani tu mshitaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…