Mohammed Dewji ajiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya simba, amteua Salim Abdallah (Try Again) kuchukua nafasi yake

Ushawapi wapi kuona popote Duniani company au shirika lenye muundo wa Bodi Mwenyekiti wa Bodi anapotoka au kujiuzulu yeye mwenyewe ndio anachagua au kuteua mwenyekiti mpya wa Bodi?
utopwinyo niliwahi ona mkuu, itabidi mtusaidie hapo vyura vyurani mna akili sana nyie jamaa..sasa unaonaje mkakate rufaa serikalini kama katiba ya simba imevunjwa? atleast wewe kwenye uzi huu kidooogo nimeona mwana utopolo mwenye akili uliyejua Try again kawa mwenyekiti wa bodi vyura wenzako hawaelewi hata kinachoendelea
 
Mkuu, wakati anajipa vyeo vyote Simba Kama kampuni walikuwa wapi, hawakuliona Hilo, au kale kamsemo ka Aden Rage kuwa wengi Ni mbumbumbu[emoji848]
 
Ila boss Wang huyu nae anapenda ku trend Hiv kwa situations club inavopitia alafu anakuja kusepa upuuz huu inawezakana n kweli ameona ametingwa na majukumu yake pia ishuu ya FCC kwa kuondoa tension kwa nn asinge step kimya kimya tu
 
Uko sahihi mwanaume anasusa Susa nini, mara mabifu ya wachezaji anawauza Hadi kuathiri team, Bora aondoke tu ikiwezekana Simba ilikuwepo kabla yake na itaendelea kuwepo aanzishe tu team yake mpya bana, mambo yake ya ajabu yanaathiri team
we utopolo tulia
 
Mkuu, wakati anajipa vyeo vyote Simba Kama kampuni walikuwa wapi, hawakuliona Hilo, au kale kamsemo ka Aden Rage kuwa wengi Ni mbumbumbu[emoji848]
MO dewji anapenda sana yeye kuwa centre ya kila kitu pale simba na chakushangaza zaidi yeye ana asilimia ndogo za Umiliki ila kila maamuzi ya timu yanatoka kwake tofauti na wanachama wenye hisa nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…