Mohammed Dewji ajiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya simba, amteua Salim Abdallah (Try Again) kuchukua nafasi yake

Mohammed Dewji ajiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya simba, amteua Salim Abdallah (Try Again) kuchukua nafasi yake

Wewe acha kuumiaaaa. Mimi sijajadili maslahi nimejadili utaratibu

Uliona wapi mwenye 49% ya shares anafanya maamuzi kwa 51%

Jiongezage buana😂😂😂
Duh asee embu nikuache maana mijadala na wamama siiwezagi.🙌🙌
 
Simba inajulikana tangu zamani hata enzi za kuwapiga Yanga 6-0 na 5-0 labda we mtoto wa 2000
We jamaa unajiskia unachoongea kweli??
Simba ya miaka hiyo ilikua inajulikana kvp kimataifa kama sasa!!?
Unafananisha jina la simba kimataifa kwasasa na zamani!?
Kwaheri 🙌🙌
 
Moo hataki kuanzisha vitu anataka vianzishwe yeye aingie huko katikati kupata fursa huku akiwanyonya waanzilishi

Mliowahi fanya kazi METL mnaelewa zaidi
tatizo la simba hawatai kuambiwa ukweli
 
Kichwani umejaza kamasi, SACCOS zip nyingine sana mpaka ambazo ni ndogo kabisa, huu unatumia humu kubishana ungeutumia hata kujifunza matumizi ya herefi kubwa na ndogo.
Wewe mpuzi kabisa hujui hata maana ya saccos hata kama sijui matumizi ya herufi!!.. Wewe ni mmoja wa hasara za Taifa hili!!
 
MOHAMMED DEWJ ABWAGA MANYANGA SIMBA SC
-
Mohammed Dewji amesema kikao walichokaa Septemba 21, 2021 kuwa asiendelee kuwa Mwenyekiti wa Simba Sc kutokana na safari zake za kibiashara kuwa nyingi
-
Hata hivyo amesema anaendelea kuwa mwekezaji katika klabu ya SImba huku akiahidi kushirikiana vizuri na viongozi watakaoendelea kuwepo
-
Kwa sasa Kaimu Mwenyekiti ni Said Abdallah Muhene A.K.A Try Again ambaye alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Simba
Hivi ile bil 20 aliweka kweli ?
 
Sio kwamba anawekeza simba bila kuwa na maslahi. Kabla ya MO simba ilikuwepo na baada yake itakuepo.

Hakuna anayemchukia hata kwa anayoyafanya ila na yeye atambue simba ina mashabiki na wapenzi ambao hawezi kuwakwepa.

Kama hataki maneno aanzishe team mpya kabisaaaaa iwe mali yake binafsi

Maana kama anakereka atashindwa kuistawisha team na zaidi ataididimiza.... Angondoka kabisa ili wenye nia waingie na kufanya kazi na Simba
Umeandika maneno mazuri sana
 
Back
Top Bottom