APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,715
ndiyoUna uhakika?
πππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndiyoUna uhakika?
πππππ
Unajua sijajua why mnaema hyo Luc hebu nipe uzi wake mdauLuc Eymael ni mtu mwerevu aliyeona mbali sana
Kwa sasa bado tunamuhitaji mihemko tuweke pembeni. Hakuna mwekezaji kw sasa la sivyo tutapoteana kama ma utopolo kipindi kile Manji alivyosepaUko sahihi mwanaume anasusa Susa nini, mara mabifu ya wachezaji anawauza Hadi kuathiri team, Bora aondoke tu ikiwezekana Simba ilikuwepo kabla yake na itaendelea kuwepo aanzishe tu team yake mpya bana, mambo yake ya ajabu yanaathiri team
Luc ni kocha alifundisha yanga hapa karibuni.Unajua sijajua why mnaema hyo Luc hebu nipe uzi wake mdau
Huyo ni Mbumbumbu mwenzako lialiaWewe si yanga unafurahi simba kufanya vibaya simba tunaitaji mwekezaji
Sijawahi sikia popote anayejiuzulu akiteua wa kumwachia nafasi yake.Mohammed Dewji amesema kikao walichokaa Septemba 21, 2021 kuwa asiendelee kuwa Mwenyekiti wa Simba Sc kutokana na safari zake za kibiashara kuwa nyingi
Hata hivyo amesema anaendelea kuwa mwekezaji katika klabu ya SImba huku akiahidi kushirikiana vizuri na viongozi watakaoendelea kuwepo
Kwa sasa Kaimu Mwenyekiti ni Said Abdallah Muhene A.K.A Try Again ambaye alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Simba
Nimegundua hata humu JF kuna watu upeo wa kufikiri na kuchambua mambo ni mdg sana. Wengi wanaongea kwa kufata mkumbo but not Facts. Yani wasichoelewa hapo ni nini? Mo ni mwekezaji na bado ni mwanachama. Leo hii Rais akihudumu miaka 30 wanasema dictator akijiuzulu wamasema dhaifu.Aibu ipi?!!..Kwani kachukua fedha zake?!!..Yeye ni Mwekezaji na Mwanachama!!..
Uzi uliletwa na nani?Jana iliwekwa post hum JF kwa tetes kwamba kameondoka. Lakn mods wakaifungia haikufunguka kabisa. Labda wameenda wote
Yaani tangu Rage aseme mashabiki wa Simba mbumbumbu, basi Braza Mudi anapenda sana kutembelea hiyo kauli....Mohammed Dewji amesema kikao walichokaa Septemba 21, 2021 kuwa asiendelee kuwa Mwenyekiti wa Simba Sc kutokana na safari zake za kibiashara kuwa nyingi
Sawa asante mkuu ndo nimeelewaLuc ni kocha alifundisha yanga hapa karibuni.
Wakati anaondoka alisema mashabiki wa yanga ni kama mbwa au Nyani, wanabweka bweka tu na kuzomea.....hawana uelewa wowote juu ya mpira.
Imetambulika kwako au kwa watu wote?Simba imetambulika sana kipindi kipi kat ya msimu ule na huu!?
Aisee kwa hii comment sijui una umri gani! Simba imetambulika kimataifa zaidi wakati wa mwamedi!! My ribs....We jamaa unajiskia unachoongea kweli??
Simba ya miaka hiyo ilikua inajulikana kvp kimataifa kama sasa!!?
Unafananisha jina la simba kimataifa kwasasa na zamani!?
Kwaheri ππ
Mm Ni Simba lkn Simba walifanya makosa hisa zote 49 kumpa Mo pekee, wangekuwa km wawekezaji wawili au watatuSio kwamba anawekeza simba bila kuwa na maslahi. Kabla ya MO simba ilikuwepo na baada yake itakuepo.
Hakuna anayemchukia hata kwa anayoyafanya ila na yeye atambue simba ina mashabiki na wapenzi ambao hawezi kuwakwepa.
Kama hataki maneno aanzishe team mpya kabisaaaaa iwe mali yake binafsi
Maana kama anakereka atashindwa kuistawisha team na zaidi ataididimiza.... Angondoka kabisa ili wenye nia waingie na kufanya kazi na Simba
Simba inaelekea pabayaaaaMohammed Dewji amesema kikao walichokaa Septemba 21, 2021 kuwa asiendelee kuwa Mwenyekiti wa Simba Sc kutokana na safari zake za kibiashara kuwa nyingi
Hata hivyo amesema anaendelea kuwa mwekezaji katika klabu ya SImba huku akiahidi kushirikiana vizuri na viongozi watakaoendelea kuwepo
Kwa sasa Kaimu Mwenyekiti ni Said Abdallah Muhene A.K.A Try Again ambaye alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Simba
Ni kweli, ila bado mapema kwa mo na kwa simba wenyeweMm Ni Simba lkn Simba walifanya makosa hisa zote 49 kumpa Mo pekee, wangekuwa km wawekezaji wawili au watatu
We kweli Ni mpumbavu. Kwahiyo unafikiri bepari km Mo ameenda pale Simba kuuza sura. Kuna Bepari anawekeza hela yke mahali hamna faida.bora atoke maana yupo kibiashara simba
Doh inavyoonekana hata darasan ktk mtihan ulikua husomi maswali ukayaelewa.Aisee kwa hii comment sijui una umri gani! Simba imetambulika kimataifa zaidi wakati wa mwamedi!! My ribs....