Mohammed Dewji ajiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya simba, amteua Salim Abdallah (Try Again) kuchukua nafasi yake

Kwa sasa Kaimu Mwenyekiti ni Said Abdallah Muhene A.K.A Try Again ambaye alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Simba
Yaani mtu ana 49% shares ambazo wala hatuna uhakika kama amelipia, halafu bado anakuwa na nguvu za kumteua Mwenyekiti, let alone CEO!!

Ama kweli wajinga ndo waliwao....

Sema aache fix bhana!!! Yaani "atoe" 20B halafu aache nafasi ya uenyekiti kwa Non-MO?!

Mi nabisha...

Halafu nimekumbuka...

From nowhere, Mudi akamteua mdogo wake Fatema kuwa Mlezi wa Simba Queen...

Ndani ya muda mfupi, tunaambiwa Fatema anafanikisha Simba Queen kupatiwa basi dogo na Africareer!

Miezi kadhaa baadae, anafanya mambo makubwa zaidi kwa kufanikisha deal la mabasi makubwa matatu pale Simba!!

Siku kadhaa baadae, Mudi anaachia ngazi Uenyekiti na kumteua makamu wake kuwa ndie mwenyekiti!!

Eti ndugu mabibi na mabwana, hivi kuna mtu mwenye shaka shaka juu ya uwezo mkubwa wa Fatema Dewji ambae ndani ya muda mfupi tu amefanikisha mkataba wa 800M sio kwa Simba Queen anayoilea tu bali kwa Simba YOTE!!!

Tuifanye sub ya Barbara kwenda kwenye bodi, halafu Fatema awe CEO, au Barbara abaki pale pale alipo, na baadae Fatema tumpeleke akaongoze bodi baada ya kupata mafanikio makubwa pale Simba Queen?!

Lakini inawezekana vipi tumwache Mudi aende kirahisi rahisi hivi?!
Au tuanzishe Mo Simba Investments ambayo CEO awe Mudi?
 
yani ni hivi anzeni kupanga foleni kwenda kumpigia magoti. ikiwezekana mpangiane na zamu za kumfulia na kumdekia ili awaonee huruma [emoji23]
Mimi sibembelezi ntu Simba ita survive tu tangu 1936
 
Luc ni kocha alifundisha yanga hapa karibuni.

Wakati anaondoka alisema mashabiki wa yanga ni kama mbwa au Nyani, wanabweka bweka tu na kuzomea.....hawana uelewa wowote juu ya mpira.
Huku Rage nae, aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba akisema "Mashabiki wa Simba Mbumbumbu"
 
Shida ya mwanamke anafikiria kutumia hisia zitokazo moyoni badala ya akili itokayo bongoni!!
Je simba mliwahi kupata mafanikio makubwa kabla kama mliyoyapata kipindi mo dewji amewekeza!?
Ukiweza kujibu hili swali utaelewa nn namaanisha.
Team imewahi kufika mbali mbele yeye acheni kumpa uungu huyo
 
Hivi umesikiliza vizuri anasema nini kabla hujaropoka??

Kweli Luc Eymael hakukosea kabisa

Kupitia hili la Mo ndiyo nimethibitisha aliyosema Manara,Mashabiki wa Utopolo ukiondoa JK na Sunday Manara wengine wote hawana akili[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sio kwamba anawekeza simba bila kuwa na maslahi. Kabla ya MO simba ilikuwepo na baada yake itakuepo.

Hakuna anayemchukia hata kwa anayoyafanya ila na yeye atambue simba ina mashabiki na wapenzi ambao hawezi kuwakwepa.

Kama hataki maneno aanzishe team mpya kabisaaaaa iwe mali yake binafsi

Maana kama anakereka atashindwa kuistawisha team na zaidi ataididimiza.... Angondoka kabisa ili wenye nia waingie na kufanya kazi na Simba

Umeelewa lakini sababu zilizopelekea kuachia ngazi nafasi hiyo.Au tu umeona heading ukarukia kucomment[emoji3][emoji3]
 
Kumbuka lkn anahisa 49% ambayo thamani yake Bilion 20 alipozinunua kama akihitaji kuziuza na KUONDOKA haita kuwa tena BILION 20 kutokana na timu kupanda thamani.

NA KUHAKIKISHIA HAKUNA TAJIRI YEYOTE HAPA TANZANIA AMBAYE ANAWEZA KUNUNUA HIZO HISA ZAKE NA KUHAKIKISHIA 1000000000% HAKUNA...

MTU AMBAYE ANAWEZA KUNUNUA LAABDA BAKHARESA LKN SHERIA HAITA MRUHUSU KUWA NA UMILIKI WA TIMU MBILI.

SABABU YA PILI NI MO (Metl) NI ONE OF BUSINESS COMPATITOR WA AZAM GROUP PLUS Husda ya UARAB AWEZI NUNUA HIZO HISA SABABU LAZIMA ALIPE CASH BILLION OF SHILLINGS MAANA HAITAKUWA TENA 20B.

Wale GSM NI walanguzi sio wafanya biashara Mwanzo walikuwa HOME SHOPPING CENTRE leo wanaitwa GSM baada ya miaka 5 wanaweza itwa TMK hawako consistence ktk kubuild BRAND NAME.

MO anamapungufu yake kama BINAADAMU yeyote lkn ukwel lazima usemwe THIS GUY ameleta mapinduzi ya FOOTBALL completely sio tu SIMBA NA YANGA BALI KATIKA LEAGUE NZIMA YA TANZANIA [emoji1241] angalia hamasa iliyopo leo za vilabu vya mpira ndio utajua kwamba ameleta mwamko mkubwa kabla ya hapo watu walisha GIVE UP maswala ya MPIRA hapa TANZANIA wali baki tu ushabiki tu lkn hawana morali kabisa kutokana na hali halisi iliyo kuwapo awali .
 
Umeelewa lakini sababu zilizopelekea kuachia ngazi nafasi hiyo.Au tu umeona heading ukarukia kucomment
emoji3.png
emoji3.png

Nilikuwekea na hii. Hukuiona???
Thubutuu Atoke aache aache pesa😅😅😅😅

Keshaandaa mazingira na sasa kaacha watu wake huyu Moo

View attachment 1956962

Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni
 
Sio kwamba anawekeza simba bila kuwa na maslahi. Kabla ya MO simba ilikuwepo na baada yake itakuepo.

Hakuna anayemchukia hata kwa anayoyafanya ila na yeye atambue simba ina mashabiki na wapenzi ambao hawezi kuwakwepa.

Kama hataki maneno aanzishe team mpya kabisaaaaa iwe mali yake binafsi

Maana kama anakereka atashindwa kuistawisha team na zaidi ataididimiza.... Angondoka kabisa ili wenye nia waingie na kufanya kazi na Simba

Umeelewa lakini sababu zilizopelekea kuachia ngazi nafasi hiyo.Au tu umeona heading ukarukia kucomment[emoji3][emoji3]
 
Kumbuka lkn anahisa 49% ambayo thamani yake Bilion 20 alipozinunua kama akihitaji kuziuza na KUONDOKA haita kuwa tena BILION 20 kutokana na timu kupanda thamani.

NA KUHAKIKISHIA HAKUNA TAJIRI YEYOTE HAPA TANZANIA AMBAYE ANAWEZA KUNUNUA HIZO HISA ZAKE NA KUHAKIKISHIA 1000000000% HAKUNA...

MTU AMBAYE ANAWEZA KUNUNUA LAABDA BAKHARESA LKN SHERIA HAITA MRUHUSU KUWA NA UMILIKI WA TIMU MBILI.

SABABU YA PILI NI MO (Metl) NI ONE OF BUSINESS COMPATITOR WA AZAM GROUP PLUS Husda ya UARAB AWEZI NUNUA HIZO HISA SABABU LAZIMA ALIPE CASH BILLION OF SHILLINGS MAANA HAITAKUWA TENA 20B.

Wale GSM NI walanguzi sio wafanya biashara Mwanzo walikuwa HOME SHOPPING CENTRE leo wanaitwa GSM baada ya miaka 5 wanaweza itwa TMK hawako consistence ktk kubuild BRAND NAME.

MO anamapungufu yake kama BINAADAMU yeyote lkn ukwel lazima usemwe THIS GUY ameleta mapinduzi ya FOOTBALL completely sio tu SIMBA NA YANGA BALI KATIKA LEAGUE NZIMA YA TANZANIA [emoji1241] angalia hamasa iliyopo leo za vilabu vya mpira ndio utajua kwamba ameleta mwamko mkubwa kabla ya hapo watu walisha GIVE UP maswala ya MPIRA hapa TANZANIA wali baki tu ushabiki tu lkn hawana morali kabisa kutokana na hali halisi iliyo kuwapo awali .
Tatizo waswahili hasa utopolo ni watu wa chuki sana
 
Back
Top Bottom