Yaani mtu ana 49% shares ambazo wala hatuna uhakika kama amelipia, halafu bado anakuwa na nguvu za kumteua Mwenyekiti, let alone CEO!!Kwa sasa Kaimu Mwenyekiti ni Said Abdallah Muhene A.K.A Try Again ambaye alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Simba
Ama kweli wajinga ndo waliwao....
Sema aache fix bhana!!! Yaani "atoe" 20B halafu aache nafasi ya uenyekiti kwa Non-MO?!
Mi nabisha...
Halafu nimekumbuka...
From nowhere, Mudi akamteua mdogo wake Fatema kuwa Mlezi wa Simba Queen...
Ndani ya muda mfupi, tunaambiwa Fatema anafanikisha Simba Queen kupatiwa basi dogo na Africareer!
Miezi kadhaa baadae, anafanya mambo makubwa zaidi kwa kufanikisha deal la mabasi makubwa matatu pale Simba!!
Siku kadhaa baadae, Mudi anaachia ngazi Uenyekiti na kumteua makamu wake kuwa ndie mwenyekiti!!
Eti ndugu mabibi na mabwana, hivi kuna mtu mwenye shaka shaka juu ya uwezo mkubwa wa Fatema Dewji ambae ndani ya muda mfupi tu amefanikisha mkataba wa 800M sio kwa Simba Queen anayoilea tu bali kwa Simba YOTE!!!
Tuifanye sub ya Barbara kwenda kwenye bodi, halafu Fatema awe CEO, au Barbara abaki pale pale alipo, na baadae Fatema tumpeleke akaongoze bodi baada ya kupata mafanikio makubwa pale Simba Queen?!
Lakini inawezekana vipi tumwache Mudi aende kirahisi rahisi hivi?!
Au tuanzishe Mo Simba Investments ambayo CEO awe Mudi?