Mohammed Dewji: Mchakato wa mabadiliko Simba umekamilika, aweka bilioni 20

Mimi nilifikiri thamani ya klabu imepanda, tangu kipindi kile bado ni hiyohiyo?
Waliosaini mkataba mwanzo ndio waliingizwa chaka, lakini pia tukumbuke naye ni sehemu ya kuipandisha thamani ya klabu kwa mafanikio Simba SC iliyoyapata hasa klabu bingwa Afrika kulingana na uwekezaji wake alioufanya, ashukuriwe pia.
 
HIVI YEYE ANAPATAJE FAIDA....??.
IMG-20210730-WA0014.jpg
 
Kwahiyo thamani ya klabu ya simba bado ni bilioni 20?
Mimi nafikiri thamani ya klabu imepanda tayari, na je, ni nani aliyefanya tathmini ya klabu ya simba na kusema ni hiyo bilioni 20
Thamani ya klabu imepandishwa na nini?
 
Waliosaini mkataba mwanzo ndio waliingizwa chaka, lakini pia tukumbuke naye ni sehemu ya kuipandisha thamani ya klabu kwa mafanikio Simba SC iliyoyapata hasa klabu bingwa Afrika kulingana na uwekezaji wake alioufanya, ashukuriwe pia.
Simba ni kubwa kuliko Mo dewji na yy hilo kalisema leo, hivyo basi Ushawahi kujiuliza yeye anapataje Faida pale simba, wakati kila siku analalamika amewekeza pesa nyingi mpk sasa.
 
Kwahiyo kwa miaka hii mi4 simba itakuwa na pesa nyingi sana Kwenye akiba, maana hawakuwa wanafanya matumizi yeyote hela zote zililipwa na MO.
 
Back
Top Bottom