Mohammed Dewji: Mchakato wa mabadiliko Simba umekamilika, aweka bilioni 20

Mohammed Dewji: Mchakato wa mabadiliko Simba umekamilika, aweka bilioni 20

Thamani ya klabu imepandishwa na nini?
Ukichukua
Total fans base+simba brand+Miundombinu ya simba+Rasilimali alizonazo na mengine mengine mengi hiyo inapelekea klabu kuwa na thamani ya hiyo pesa anayojinadi kuiweka Mo dewji
 
Yaani kuna kitu nasikitika ni kama either mnafanya kupotosha au kutokujua, thamani ya simba sio B20. Bilioni ishirini ni thamani ya hisa 49. Ko kujua thamani simba unatakiwa ujue hisa 51% ni tsh ngapi. Tusifanye propaganda nyepesi
 
Yaani MO kaokota dodo Simba, Kwasasa Kama kaweka 20b Ina maana waki iingia mkataba na Azam au mdhamini yoyote ana haki ya kugawana kinacho ingia na Klabu ya Simba. Ndio maana aligomea mkataba wa Azam ili avute muda kwakua alikua hajaweka mzigo 20 b ingekua ngumu yeye kugawana faida ya udhamin wa Azam na Klabu ya Simba.
Maana wenye akili wange piga kelele.

Mutabadilisha kila Maneno lakini mwaka huu hakuna rangi mutaacha kuona πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Umeona wapi kua mfumo wa uwekezaji wa hisa Watu wanagawana Mtaji badala ya Faida? Kwahiyo Azama akiweka hela haziingii kama mtaji wa Timu ili zizalishe wagawane faida bali wanagawana huo mtaji au? Uto bhana!
 
Kwahiyo thamani ya klabu ya simba bado ni bilioni 20?
Mimi nafikiri thamani ya klabu imepanda tayari, na je, ni nani aliyefanya tathmini ya klabu ya simba na kusema ni hiyo bilioni 20

Kwani huu mchakato umeanza mwaka huu? Au hujui kuwa huu mchakazo wa uwekezaji ulipoanza Simba haikuwa hii ya sasahivi? Hela iliyotolewa ni kwa yale makubaliano ya Awali ambayo walikwisha kukubaliana.
 
Yaani kuna kitu nasikitika ni kama either mnafanya kupotosha au kutokujua, thamani ya simba sio B20. Bilioni ishirini ni thamani ya hisa 49. Ko kujua thamani simba unatakiwa ujue hisa 51% ni tsh ngapi. Tusifanye propaganda nyepesi
Hata hizo bilioni 20 ni ndogo kwa hisa za 49%,Mkitaka kulijua hilo subirini mchakato wa yanga utakapo kamilika ndo utajua hujui
 
Kwani huu mchakato umeanza mwaka huu? Au hujui kuwa huu mchakazo wa uwekezaji ulipoanza Simba haikuwa hii ya sasahivi? Hela iliyotolewa ni kwa yale makubaliano ya Awali ambayo walikwisha kukubaliana.
MO amewahi kuziweka bilioni 20 mapema kwasababu tulikuwa na mpango wa kuchukua Bilion 20 za Azam tuje kuinunua simba kwanza, bahati yake kawahi kabla
 
Tajiri hakunjiwi NDITA.....
Tajiri hanuniwi......

Mo Dewji ametujibu wengi....🀣🀣

#DaimaMbeleNyumaMwiko
 
Yaani kuna kitu nasikitika ni kama either mnafanya kupotosha au kutokujua, thamani ya simba sio B20. Bilioni ishirini ni thamani ya hisa 49. Ko kujua thamani simba unatakiwa ujue hisa 51% ni tsh ngapi. Tusifanye propaganda nyepesi
Thamani ya simba ni kama 41B
 
Back
Top Bottom