Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Lazima kuna watu wengine walioshiriki kwenye mchakato huuHuu mkataba ni kati ya MO na Simba mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima kuna watu wengine walioshiriki kwenye mchakato huuHuu mkataba ni kati ya MO na Simba mkuu
Tupe thamani kamili za hizo 51%Yaani kuna kitu nasikitika ni kama either mnafanya kupotosha au kutokujua, thamani ya simba sio B20. Bilioni ishirini ni thamani ya hisa 49. Ko kujua thamani simba unatakiwa ujue hisa 51% ni tsh ngapi. Tusifanye propaganda nyepesi
hawawezi kukuelewa utopolo hata utumie lugha ya malaika,Thamani ya 20B ilikuwa miaka minne nyuma kwa sasani zaidi ya 90B. Aliye changia kupandisha ni MO na amekuwa akitoa 5 B kila mwaka
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
20 Bil ni fedha za mtaji wa uwekezaji.
Inamaana kila mwaka wanachama watakuwa wanapata gawio la faida. Mo atapata gawio la 49% na wanachama watalamba 51%
Kwakuwa hakuna limit ya muda wa uwekezaji inamaana Mo na Familia yake watanufaika zaidi.
Jambo zuri ni timu itakuwa na elements za kitajiri.
hata kama una elimu ya kuunga unga jitahidi uwe unatafakari kwanza, 20B ni thamani 49% plus 51% za wanachama.Mikia mmeibiwa, mnachekelea......yaani Simba inathamani ndogo kiasi hicho? Yaani 20B kwa maisha yote? Kumbukeni siyo miaka kadhaa, anywei ngoja tuwaache Mwamedi fc
Kama mo anatoa bl 5 kwa mwaka ,ela zingine zinaenda wap ,mfano za azam sporpesa ,jez ina maana hii simba haiingiz ktu ad mo kila mwaka atoe karbu bl 5,wanapokua wanaongea vikao vyao hawavikilii kama hiz taarifa wanawapa watu wengine wataoj zaidWewe kwa uendeshaji wa klabu unavyouona, Simba inatengeneza faida kwa Mwaka?
Umemsikia Mudi kuwa Miaka minne kaweka 21B, Je Simba imerudisha hizo hela na kuleta faida?
Unafahamu maana ya mkataba kweli?Kwahiyo thamani ya klabu ya simba bado ni bilioni 20?
Mimi nafikiri thamani ya klabu imepanda tayari, na je, ni nani aliyefanya tathmini ya klabu ya simba na kusema ni hiyo bilioni 20
Pesa za wadhamini mpaka sasa sidhani kama zinatosha kuiendesha simbaKama mo anatoa bl 5 kwa mwaka ,ela zingine zinaenda wap ,mfano za azam sporpesa ,jez ina maana hii simba haiingiz ktu ad mo kila mwaka atoe karbu bl 5,wanapokua wanaongea vikao vyao hawavikilii kama hiz taarifa wanawapa watu wengine wataoj zaid
Haina shidaUnajua kua iyo 20 Haina kikomo, ndio mtaji wa MO kwa miaka yote.
Kwaiyo ni kusema simba kwa mwaka ina bajet karbu 7bl,maana pesa za udhamin ukizinganya na mapato mengne zinaweza kufka 2blPesa za wadhamini mpaka sasa sidhani kama zinatosha kuiendesha simba
We unaingiaje mkataba na Azma ambao wanatoa pesa sawa na utopolo?hata kwa fimbo za uchi hatuwezi kukubali, ukubwa wasimba ulingane na udhamin wa utopolo hao Azam waendelee kuwadhamin nyinyi leta mpungu wa kutosha mezan ,Simba ipo club bingwa ,iko Africa super lig mitandaon INA wafuasi wa kutosha then ulete pesa za mbonga hawa Azam wawekeze huko huko utopolon ndo kunawafaa na mnaendanaYaani MO kaokota dodo Simba, Kwasasa Kama kaweka 20b Ina maana waki iingia mkataba na Azam au mdhamini yoyote ana haki ya kugawana kinacho ingia na Klabu ya Simba. Ndio maana aligomea mkataba wa Azam ili avute muda kwakua alikua hajaweka mzigo 20 b ingekua ngumu yeye kugawana faida ya udhamin wa Azam na Klabu ya Simba.
Maana wenye akili wange piga kelele.
We unaingiaje mkataba na Azma ambao wanatoa pesa sawa na utopolo?hata kwa fimbo za uchi hatuwezi kukubali, ukubwa wasimba ulingane na udhamin wa utopolo hao Azam waendelee kuwadhamin nyinyi leta mpungu wa kutosha mezan ,Simba ipo club bingwa ,iko Africa super lig mitandaon INA wafuasi wa kutosha then ulete pesa za mbonga hawa Azam wawekeze huko huko utopolon ndo kunawafaa na mnaendana
Ata kama hawatak ila iyo njia wanayoitumia sizan kama azam atakubal40B ya Azam kwa Miaka 10 au
20B za mWAMEDI kwa maisha yote.
Ipi ya Mboga mkuu ?
Tatizo uto akili mnaweke kwenye kinyeo izo b40 hiziwekwi kwa mkupuo kila mwaka kunakiasi mtakua mnapata ila huku simba Izo B20 zinaweka kwa mkupuo utofauti uko hapo tatizo mnashadadia vitu bila kujua ,,,,na kwenye huo mkata wa Azam uto mtakua mpata 400M kama sijakosea kwa mwezi kwa kipind cha miaka 1040B ya Azam kwa Miaka 10 au
20B za mWAMEDI kwa maisha yote.
Ipi ya Mboga mkuu ?
Nukuongezee kitu pia,,,40B ya Azam kwa Miaka 10 au
20B za mWAMEDI kwa maisha yote.
Ipi ya Mboga mkuu ?
Zipo njia nzur za kutumia ambazo viongoz wa simba na azam wakikaa chin watafka muafaka mzur ila hiz za kuanza kuwakejel wenzao au kusema hatulingan sio nzur ni kama vile kuna kibr na zalau ata kama azam alikua na nia ya kuongeza ela wasitumie njia hiz za mitandaon hao viongoz wa simbaWe unaingiaje mkataba na Azma ambao wanatoa pesa sawa na utopolo?hata kwa fimbo za uchi hatuwezi kukubali, ukubwa wasimba ulingane na udhamin wa utopolo hao Azam waendelee kuwadhamin nyinyi leta mpungu wa kutosha mezan ,Simba ipo club bingwa ,iko Africa super lig mitandaon INA wafuasi wa kutosha then ulete pesa za mbonga hawa Azam wawekeze huko huko utopolon ndo kunawafaa na mnaendana
Ndio maana huwa napambana niagane na umasikini. Umasikini mbaya sana coz unafikiri mtu kama mo anaingia mkataba wa kijinga bila ya kujua kunasiku atakufa na baada ya kufa nani ataendeleza gurudumuHivi huu mkataba unasemaje siku MO akifa?