Mohammed Dewji: Mchakato wa mabadiliko Simba umekamilika, aweka bilioni 20

Mohammed Dewji: Mchakato wa mabadiliko Simba umekamilika, aweka bilioni 20

Wamepigwa tena, Mo bana janja sana, miaka yote kumbe ikuwa hajaweka ile 20b, halafu mahesabu yako wapi tuamini wameweka 21b, wajinga ndiyo waliwao
 
Nukuongezee kitu pia,,,

Yaani kuna kitu nasikitika ni kama either mnafanya kupotosha au kutokujua, thamani ya simba sio B20. Bilioni ishirini ni thamani ya hisa 49. Ko kujua thamani simba unatakiwa ujue hisa 51% ni tsh ngapi. Tusifanye propaganda nyepesi

Hesabu Nyepesi.. Hisa ni vipande ambavyo vina thamani sawa.

49%= 20B
51%= ?
?= (51X20)/49 = 20.8 B

Kwa hiyo thamani ya Simba Sc ni 40.8 B??????? .... Serious
Soma: Klabu ya Yanga imeingia Mkataba wa miaka 10 na Azam Media wa haki za matangazo za Klabu kupitia Yanga TV wenye thamani ya Bilioni 41.64

Thamani ya MKATABA WA KUNUNUA Simba maisha inapitwa na thamani ya Mkataba wa Yanga TV (Miaka kumi)
 
ebu tunaomba TAKUKURU wafanye ukaguzi wa hizo bil21 anazo sema ametumia kwa ajili ya simba kwa miaka4, for sure sehem kubwa ya hizo noti zilitumika kuhonga marefa na kununua tim pinzan kwa nia mbaya kabisaa!
 
Mkataba wa haki za matangazo wa ya usilinganishe na mkataba wa hisa za umiliki za simba.
Mkataba wa haki za matangazo ulinganishe na mkataba wa haki za matangazo wa simba ukipatikana.

Na hisa za simba zitalinganishwa na za yanga wakimaliza mchakato
 
ebu tunaomba TAKUKURU wafanye ukaguzi wa hizo bil21 anazo sema ametumia kwa ajili ya simba kwa miaka4, for sure sehem kubwa ya hizo noti zilitumika kuhonga marefa na kununua tim pinzan kwa nia mbaya kabisaa!
Unaumia ukiwa wapi?
 
Unatoa mada halafu tayari umeshaonesha upo upande gani,yaani serikali na wanasimba unawaona wajinga waliofikia mwafaka,wewe unapinga na kuona bilioni 20 ni ndogo!!sawa kuna wadhamini wengine sijui azam etal walioenda yanga wakatoa bil 34,wametoa cash?wabongo sisi hatuna shukrani.

Mazingira ya uwekezaji afrika hususani Tanzania sio rahisi kihivyo kwa hiyo mtu anaposema anaweka hela kwa mapenzi yake tuweke imani na tumuelewe,hizi team tulikuwa nazo miaka nenda miaka rudi tumefika wapi,haya basi tufanye mwekezaji anapata faida kuna ubaya hapo kama kuna win-win situation?
 
Ninachofikiria kwa uelewa wangu mdogo,

Pesa inayowekwa na wawekezaji wa pande zote mbili,faida yake inarudi katika biashara zao kupitia fan base ya timu husika.

Kwa miaka minne aliotumia Mo kwa 21b sio rahisi zitumike tu bila kumpa faida ambayo inatokana na club direct ila bidhaa zake sokon zimepanda thaman na utumikaji miongoni mwa wananchi hasa mashabiki wa simba..

Vivyo hivo kwa Yanga,ni dhahir GSM anapata sana faida sasa iv ktk biashara zake kupitia mashabiki wa Yanga,ila pesa anazotumia usifikir zitajilipa kupitia timu coz kwa Tanzania timu kuingiza faida directly kwa sasa bado sana

Hawa wote ni wafanyabiashara wanapiga hesabu za mbali kiuwekezaji ktk timu kwa manufaa ya biashara zao..wanaona mbali sana,na wengi mnalijua hilo.
 
Mo kawapiga Simba pakubwa....
watu hawajui trend ya dunia ilivyo kwa sasa,
matajiri wengi wanaanza kuja kuwekeza timu za Africa.......
Mo kawahi mapema na ki B20
 
Yaani kuna kitu nasikitika ni kama either mnafanya kupotosha au kutokujua, thamani ya simba sio B20. Bilioni ishirini ni thamani ya hisa 49. Ko kujua thamani simba unatakiwa ujue hisa 51% ni tsh ngapi. Tusifanye propaganda nyepesi
Ajabu ni kwamba wanaoumia MO kutoa hzo B20 ni utopolo wala siyo mashabiki wa Simba
 
Hesabu Nyepesi.. Hisa ni vipande ambavyo vina thamani sawa.

49%= 20B
51%= ?
?= (51X20)/49 = 20.8 B

Kwa hiyo thamani ya Simba Sc ni 40.8 B??????? .... Serious
Soma: Klabu ya Yanga imeingia Mkataba wa miaka 10 na Azam Media wa haki za matangazo za Klabu kupitia Yanga TV wenye thamani ya Bilioni 41.64

Thamani ya MKATABA WA KUNUNUA Simba maisha inapitwa na thamani ya Mkataba wa Yanga TV (Miaka kumi)
We nae unakichwa kigum hao GSM watachukua hisa yanga unajua watazinunua kwa shingap?? Mchakato wa simba umeanza kufanyiwa kazi miaka4 iliyo pita ambayo hata FCC wenyewe walikua wanamtaka Mo aweke 19.6b ndio makubaliano we umekuja kuona mafanikio ya simba sasa ivi then ndo unahoji ukubwa wa simba kwamba thaman Yake sio hiyo iyo miaka 4 unajua Simba nilikua kwenye hal gan? Ndan ya miaka 4 ametumi kiasi cha 21b plus na hiyo 20b aliyo weka ,,,wewe unaona simba imekua kubwa hivi karb basi unahisi miaka ya nyuma ilikua hivo mchakato umeenza mda that y FCC wametoa hisa ya thaman hiyo
 
Uzuri mwamedi keshasema kuwa kwa miaka 4 kawakopesha bilioni 21 so hizo ishirini alizotoa leo ni kwamba anajilipa kwanza 20 halafu atawadai bilioni 1.

Amesema hanunui hisa asilimia 49 kwa pesa hiyo bali 43 Bilioni.

"Mpaka sasa nimeshalipa Simba zaidi ya Sh21 Bilioni, ukiachana na pesa nyingine za ziada za maandalizi ya msimu, usajili na nyinginezo ninazotoa”

Mikia acheni umbumbumbu, hamkuelewa aliposema kuwa hisa zake mlizompa 49% ni 43B maana yake ni hizo 20 alizotoa plus 21 ambazo ameshatumia kuendesha klabu.

Kifupi ni kuwa mmeshamuuzia timu kwa Bilioni 41
 
Wewe kwa uendeshaji wa klabu unavyouona, Simba inatengeneza faida kwa Mwaka?

Umemsikia Mudi kuwa Miaka minne kaweka 21B, Je Simba imerudisha hizo hela na kuleta faida?
Biashara zote huanza kwa matumizi kwanza, faida hupatikana baadae.
Baada ya muda mfupi wataanza kula matunda.

Si unaona Al Ahly wanamnunua Luis kwa Bilion 4, wakimuuza na Kagere, Ajib na Chama pamoja na fedha za wadhamini tayari ela isharudi.
 
Tena wanaumia sana,aliyewawekea mwiko nyuma yao akautoe unawaumiza.
.
IMG_20210726_225507.jpg
 
Simba ni kubwa kuliko Mo dewji na yy hilo kalisema leo, hivyo basi Ushawahi kujiuliza yeye anapataje Faida pale simba, wakati kila siku analalamika amewekeza pesa nyingi mpk sasa.
Simba wanahitaji ukaguzi Maalumu ndani ya club yao maana mahesabu yao hayapo sawa.

Imagine yanga ilikuwa inatembeza bakuli lakini ukaguzi wake wa mapato na matumizi mwaka huu uko vizuri wamebaki mpaka na chanji.

Simba kuna tatizo
 
Yaani kuna kitu nasikitika ni kama either mnafanya kupotosha au kutokujua, thamani ya simba sio B20. Bilioni ishirini ni thamani ya hisa 49. Ko kujua thamani simba unatakiwa ujue hisa 51% ni tsh ngapi. Tusifanye propaganda nyepesi
Kwahiyo thamani ya simba ni billion 41?

Mh bado nitakuwa wa mwisho kuamini hili.
 
Back
Top Bottom