maghambo619
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,537
- 1,360
Vilabu vyetu kujiendesha vyenyewe hatuwezi, wacha wenye pesa watuongozeMiaka nne ya ubingwa alitumia bil karibia 24
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vilabu vyetu kujiendesha vyenyewe hatuwezi, wacha wenye pesa watuongozeMiaka nne ya ubingwa alitumia bil karibia 24
Uwazi wa mapato na matumizi ya klabu kitu ambacho Yanga ndo walikifanyia mabadiliko kwenye katiba yao ili kuendana na mabadiliko ya klabu, pale simba ukaguzi wa hesabu zao unahitajikaSimba wanahitaji ukaguzi Maalumu ndani ya club yao maana mahesabu yao hayapo sawa.
Imagine yanga ilikuwa inatembeza bakuli lakini ukaguzi wake wa mapato na matumizi mwaka huu uko vizuri wamebaki mpaka na chanji.
Simba kuna tatizo
We unakuhusu nini huo ukaguzi wa hesabuUwazi wa mapato na matumizi ya klabu kitu ambacho Yanga ndo walikifanyia mabadiliko kwenye katiba yao ili kuendana na mabadiliko ya klabu, pale simba ukaguzi wa hesabu zao unahitajika
Simba wanahitaji ukaguzi Maalumu ndani ya club yao maana mahesabu yao hayapo sawa.
Imagine yanga ilikuwa inatembeza bakuli lakini ukaguzi wake wa mapato na matumizi mwaka huu uko vizuri wamebaki mpaka na chanji.
Simba kuna tatizo
Uwazi wa mapato na matumizi ya klabu kitu ambacho Yanga ndo walikifanyia mabadiliko kwenye katiba yao ili kuendana na mabadiliko ya klabu, pale simba ukaguzi wa hesabu zao unahitajika
HahahaWe unakuhusu nini huo ukaguzi wa hesabu
Nyie si mpo kwenye mfumo wa uendeshaji wa kisasa, na mfumo huo upo kwenye katiba yenu unahitaji ukaguzi wa hesabu za klabu na kuwekwa wazi, haiwezekani inatuambia eti ukapata hasara kila siku na hupati faidaWewe utopolo utakusaidia nini huo ukaguz wa simba
Kumbuka hayo mafanikio ya klabu sio ya milele na kuna kipindi utaanza kufanya vibaya na wakati huo mtaanza kulaumiana mambo kadha wa kadha, tayar kipindi hicho mtakuwa mmchelewa na kutambua mmeibiwa sanaHao yanga na ukaguzi wao wa ndani wamepata mafanikio gan?
Mlipiga kelele mo aweke mzigo haya kaweka mnaleta porojo nyingne
Kuna msemo unasema huwezi kumfurahisha mwanadamu
Halafu hizo Bilion 21 alizokuwa anazitumia sio uwekezaji hilo atambue, alichokuwa anakifanya ni ufadhili tu, na kwenye mkataba ulisainiwa ni Bilion 20 ndo thamani ya klabu na sio Bilion 40Kwahiyo thamanu ya simba ni billion 41?
Mh bado nitakuwa wa mwisho kuamini hili.
Jamaa anaakili sanaYaani MO kaokota dodo Simba, Kwasasa Kama kaweka 20b Ina maana waki iingia mkataba na Azam au mdhamini yoyote ana haki ya kugawana kinacho ingia na Klabu ya Simba.
Ndio maana aligomea mkataba wa Azam ili avute muda kwakua alikua hajaweka mzigo 20 b ingekua ngumu yeye kugawana faida ya udhamin wa Azam na Klabu ya Simba.
Maana wenye akili wange piga kelele.
Washabiki wa simba siku zote wanataka makombe hawajali timu anamiliki nani, sasa yanga timu inamilikiwa na wananchi halafu makombe hawapatiMchakato wa mabadiliko Simba umekamilika- Mo - "Time ya Ushindani (FCC) imeshatupa ruhusa, hivyo mchakato wa mabadiliko ya Simba umekamilika, tumepewa vipengele vichache vya kufanyia kazi kama kutoa fedha," - Mohammed Dewji.
====
MWENYEKITI wa Bodi ya wakurugenzi ya Simba, Mohamed Dewji "Mo Dewji' leo Ijumaa Julai 30, 2021 amekabidhi kitita cha Sh20 Bilion za uwekezaji wa Simba.
Amesema hanunui hisa asilimia 49 kwa pesa hiyo bali 43 Bilioni.
"Mpaka sasa nimeshalipa Simba zaidi ya Sh21 Bilioni, ukiachana na pesa nyingine za ziada za maandalizi ya msimu, usajili na nyinginezo ninazotoa”
"Mimi nimetoa jasho na machozi kwenye Simba, nimetoa muda mwingi kwa ajili ya Simba, nimepoteza fursa nyingi kwenye biashara zangu kwa ajili ya Simba."
"Sisi tumewekeza na hawezi kutokea mtu akatupa hela ya udhamini, sawa sawa na wenzangu, hili sitakubali. "
"Hakuna mtu mkubwa kuliko Simba, hii timu tumeikuta na tutaiacha, hata mimi nimeikuta."
Lakini kuna watu wanasema Mohammed Dewji hana pesa, leo hii nakabidhi cheki ya Sh 20 Bilioni," amesema.
Alitania kwamba kama akisema pesa hiyo Bilioni 20 tayari ameshaipa Simba na wamemalizana kwenye zile Bilioni 21. Mohammed Dewji amekabidhi kitita cha Sh 20 Bilion za uwekezaji wa Simba.
View attachment 1873903
=========
Ni wakati sasa wa Simba kugomea Bilioni 20 za Mo na kutaka Thamani ya Klabu iongezwe au kama kuna mwenye Mzigo zaidi Aje.
Anaonekana wzi anagomea wadhamini wengine, kiuhalisia thamani ya simba imepanda. Kama Yanga TV tu ni zaidi ya hizo Bilioni 20 tena kwa miaka kumi vipi kuhusu Brand ya Simba?
Kwa maelezo yake Bil 21 ametumia kwa miaka 4 , mbona hasemi faida aliyopata? . Kama ametumia kwa miaka 4 bil 21 , maana yake hizi 20 zitaisha baada ya Miaka 4 tena!.. Then whats next ataendelea kutoa hisani ya fedha zake? au ataanza kula matunda ya uwekezaji wake?
Anasema ahanunui hisa kwa 20B bali ni 43B, Ipo kwenye mkataba?. Je hizo alizokuwa anatoa kumbe alikuwa anazihesabu. Je zijazo atatoa au atawaambia watumie hizo 20B alizowapa?
Kwa nini Valuation ya Hisa imefanywa kiholela, Na kwa nini hakuna wawekezaji wengine waliojitokeza kupambana kwenye kupata hiyo Dili ya uwekezaji?
Ni strategy za kibiashara ambazo zitaiwezesha Simba kujiendesha na kutengeneza faida toka hizo B20 SABABU hata Mo mwenyewe anaonekana KUPOTEZA PESA katika huo udhamini kwa madai yake.
Kumbuka huu ni mchakato wa Mabadiliko ya uendeshaji wa timu, siyo mchakato wa kumpa Mo Timu. Hii Press ni ya kibabe sana. Inaonekana Simba OG ni kama wamenyongea na wanaendeshwa tu.
KWENYE MAJUKWAA NA USHABIKI SIMBA ISHANGILIE USHINDI KUWAJIBU YANGA KWA HILI
KIBIASHARA NA KIMKAKATI SIMBA IMEPIGWA KWEUPE.
Ifikirie Mwaka 2035 Bado familia ya Mo itakuwa inaimiliki hii klabu kwa 49% hata kama Mo atakuwa hayupo hai. Hizo 20B zitakuwa zimeyeyuka kitambo sana. Naiona Simba na Mo Family wakiburuzana kortini baadaye.
Itakuwa kesi ya: Tuachieni Timu yetu Vs Turudishieni Pesa zetu 49%
Hivi ni uwezo wenu mdogo wa kupambanua mambo au? 20B ni 49% nyau weweThamani ya klabu ya simba ni Bilioni 20. Ngoja tusubiri thamani ya klabu ya Yanga itakuwa ni kiasi gani?
Kabla hujataka kujua yote hayo inabidi ujue ni nani aliyepandisha thamani ya simba kwa kipindi hiki cha miaka mi4Kwahiyo thamani ya klabu ya simba bado ni bilioni 20?
Mimi nafikiri thamani ya klabu imepanda tayari, na je, ni nani aliyefanya tathmini ya klabu ya simba na kusema ni hiyo bilioni 20
Legeza misuli ya Kichwa ww, hiyo 49% ya hisa kwa bilioni 20 ukitaka kujua ni ndogo sana, basi subiri mchakato wa mabadiliko wa wananchi ndo kuna kila kituHivi ni uwezo wenu mdogo wa kupambanua mambo au? 20B ni 49% nyau wewe
Nani kaipandisha hiyo thamani? Tuanzie hapo kwanzaMimi nilifikiri thamani ya klabu imepanda, tangu kipindi kile bado ni hiyohiyo?
Klabu inajipandisha yenyewe thamani mkuu, Ushawahi kujiuliza kwann alipoichukua African lyon na pesa zake zote ila alishindwa kuipandisha thamani hiyo timu hahhahaah mbumbumbu katika ubora wenuNani kaipandisha hiyo thamani? Tuanzie hapo kwanza
Ukijibiwa hili nishtue mkuuKwahiyo kwa miaka hii mi4 simba itakuwa na pesa nyingi sana Kwenye akiba, maana hawakuwa wanafanya matumizi yeyote hela zote zililipwa na MO.
Hiyo ni life time contractHivi mkataba ni kwa muda gani?