Nijibu kwanza kaka kuhusu jamshidi afu tuendelee ndugu yangu
Hakukaa siku moja naomba unipe jibu sahii kaka!!!Alikaa mda gani afu mimi nitakutajia dhulma zilizofanyika wakati wa uongozi wake kakaMbona unakimbia swali kijanja au unataka thread yako iwe na post nyingi
Nimekuambia hata kama alikaa siku moja nitajie alimuuwa nani au kumdhulumu nani mali yake , au nani alimtia kilema wakati wa uchaguzi ?
Hakukaa siku moja naomba unipe jibu sahii kaka!!!Alikaa mda gani afu mimi nitakutajia dhulma zilizofanyika wakati wa uongozi wake kaka
Sijakimbia swali mimi ukinijibu swali langu kuhusu jamshid tutaendelea kakaUmelikimbia swali hili huko nyuma
Sasa niambie wale waliompindua Nyerere unawaunga mkono au unawaunga mkono wale wazungu waliomweka kibaraka wao Nyerere madarakani ??
Hujanipa jibu kaka!!!Nimekuuliza jamshid alikaa kwenye throne mda gani kaka???Mbona unakimbia swali kijanja au unataka thread yako iwe na post nyingi
Nimekuambia hata kama alikaa siku moja nitajie alimuuwa nani au kumdhulumu nani mali yake , au nani alimtia kilema wakati wa uchaguzi ?
Sijakimbia swali mimi ukinijibu swali langu kuhusu jamshid tutaendelea kaka
Hakukaa siku moja nijibu kaka na mimi nitakujibu maswali yako yooteMbona unakimbia swali kijanja au unataka thread yako iwe na post nyingi
Nimekuambia hata kama alikaa siku moja nitajie alimuuwa nani au kumdhulumu nani mali yake , au nani alimtia kilema wakati wa uchaguzi ?
Hakukaa siku moja nijibu kaka na mimi nitakujibu maswali yako yoote
Hujaniambia lakini alikaa mda gani sababu hakukaa siku moja!!!Nijibu kaka tuendeleeJifunze kiswahili soma tena
Mbona unakimbia swali kijanja au unataka thread yako iwe na post nyingi
Nimekuambia hata kama alikaa siku moja nitajie alimuuwa nani au kumdhulumu nani mali yake , au nani alimtia kilema wakati wa uchaguzi ?
Hujaniambia lakini alikaa mda gani sababu hakukaa siku moja!!!Nijibu kaka tuendelee
Ukinijibu alikaa mda gani na mimi nitakuelezea dhuluma za uongozi wake kama kibaraka wa waingereza!!Nijibu kaka alikaa mda gani????Jifunze kiswahili, soma tena
Mbona unakimbia swali kijanja au unataka thread yako iwe na post nyingi
Nimekuambia hata kama alikaa siku moja nitajie alimuuwa nani au kumdhulumu nani mali yake , au nani alimtia kilema wakati wa uchaguzi ?
Ukinijibu alikaa mda gani na mimi nitakuelezea dhuluma za uongozi wake kama kibaraka wa waingereza!!Nijibu kaka alikaa mda gani????
Hakukaa siku moja nijibu kaka na mimi nitakujibu maswali yako yoote
Kaka kama huwezi kunijibu tufunge mjadala!!!!Allah awe nawe ndugu yanguJifunze kiswahili, soma tena
Mbona unakimbia swali kijanja au unataka thread yako iwe na post nyingi
Nimekuambia hata kama alikaa siku moja nitajie alimuuwa nani au kumdhulumu nani mali yake , au nani alimtia kilema wakati wa uchaguzi ?
Kaka kama huwezi kunijibu tufunge mjadala!!!!Allah awe nawe ndugu yangu
Kaka kama huwezi kunijibu tufunge mjadala!!!!Allah awe nawe ndugu yangu
Kaka issue ni kwamba babu zetu walikua na hali gani mbele ya walowezi wa kireno,kiarabu,kihindi na kizungu kwa karne nyingi!!!!Na pili babu zetu kwahiyo walitudanganya kua walowezi wa kiarabu hawakua wabaguzi kwa karne nyingi????????!!!Acha unafiki acha udini kua mkweli kama msomi kaka afu nijibu na unielimishe pia msomiUnajua nyie mnachanganya mambo. Hizo ni propaganda za waliopindua kujastify mapinduzi. Lakini ukae ukijua Sultan hakua na nguvu Zanzibar na iliopinduliwa ilikua ni serekali iliochaguliwa kidemokrasia chini ya Waziri Mkuu Shamte ambae alikua ni muafrika sio muarabu. Halafu hao waarabu mnasema makatili mliweza vipi kuwapindua bila upinzani wowote,
Nijibu alikaa mda gani kaka??Jifunze kiswahili soma tena
Mbona unakimbia swali kijanja au unataka thread yako iwe na post nyingi
Nimekuambia hata kama alikaa siku moja nitajie alimuuwa nani au kumdhulumu nani mali yake , au nani alimtia kilema wakati wa uchaguzi ?
Kaka issue ni kwamba babu zetu walikua na hali gani mbele ya walowezi wa kireno,kiarabu,kihindi na kizungu kwa karne nyingi!!!!Na pili babu zetu kwahiyo walitudanganya kua walowezi wa kiarabu hawakua wabaguzi kwa karne nyingi????????!!!Acha unafiki acha udini kua mkweli kama msomi kaka afu nijibu na unielimishe pia msomi