Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Wewe muhuni kaka kumbe hata jamshidi hujui alikaa mda gani kaka???Umelikimbia swali hili huko nyuma
Sasa niambie wale waafrika waliompindua Nyerere unawaunga mkono au unawaunga mkono wale wazungu wakoloni waliomweka kibaraka wao Nyerere madarakani ??
FactHii ishu ya zanzibar inaonekana kuna upotoshaji mwingi unaendelea.
Kuna waislam wanaopotosha kumtetea mwalabu
Kuna watanganyika wanapotosha kuitetea tanganyika
Kuna wazanzibari wanapotosha kuipondea Tanganyika
Sasa sijui ukweli uko wapi
Tuanzie nyuma kaka!!!!Unayoyaona leo kuna mwanzo wake!!!!Tuanzie nyuma kaka tusianzie katikatiWacha mababu mbona hivi sasa husemi hali tulizo nazo kuuliwa , kunajisiwa kubambikiziwa makesi kutiwa vilema kila baada miaka 5 kisa tu kuwapigia kura upinzani ??
Wewe muhuni kaka kumbe hata jamshidi hujui alikaa mda gani kaka???
Tuanzie nyuma kaka!!!!Unayoyaona leo kuna mwanzo wake!!!!Tuanzie nyuma kaka tusianzie katikati
Kaka gavana umenikimbia kaka!!!Jamshid alikaa mda gani kwenye throne kaka???Wacha mababu mbona husemi hali tulizo nazo chini ya hawa wajiitao mabantu yaani kuuliwa , kunajisiwa kubambikiziwa makesi kutiwa vilema kila baada miaka 5 kisa tu kuwapigia kura upinzani ??
Kaka gavana umenikimbia kaka!!!Jamshid alikaa mda gani kwenye throne kaka???
Kaka gavana umenikimbia kaka!!!Jamshid alikaa mda gani kwenye throne kaka???
Nitakujibu baada ya wewe kuniambia jamshid alikaa mda gani na mimi nikutajie dhuluma zake afu tuhamie kwa nyerere kaka!!!!Hakuna shidaUmelikimbia swali hili huko nyuma
Sasa niambie wale waafrika waliompindua Nyerere unawaunga mkono au unawaunga mkono wale wazungu wakoloni waliomweka kibaraka wao Nyerere madarakani ??
Na wewe umelikimbia swali langu kabla ya lako kakaUmelikimbia swali hili huko nyuma
Sasa niambie wale waafrika waliompindua Nyerere unawaunga mkono au unawaunga mkono wale wazungu wakoloni waliomweka kibaraka wao Nyerere madarakani ??
Nitakujibu baada ya wewe kuniambia jamshid alikaa mda gani na mimi nikutajie dhuluma zake afu tuhamie kwa nyerere kaka!!!!Hakuna shida
Na wewe umelikimbia swali langu kabla ya lako kaka
Huwezi kukataa historia yako ya nyuma eti kisa uishi!!!Labda uwe kichaa wa akili na masikini wa fikra kakaKwani huko nyuma ndiko unakoishi ?? Si ndio tuko kwenye hizo tawala unazosifia za kibantu na kiafrika
Kumbe hujui alikaa mda gani kaka kwenye throne!!!Mimi sijui wewe mtaalamu wa historia tuambie jemshid alimchukulia nani mali yake , alimuuwa nani wakati wa uchaguzi , alimnajisi nani ??
Nijibu kwanza afu tutaendelea ndugu yangu!!!!Au hujuinilianza mimi kukuuliza au dini yako ya kiafrika inaruhusu kusema uongo ??
Umelikimbia swali hili huko nyuma
Sasa niambie wale waafrika waliompindua Nyerere unawaunga mkono au unawaunga mkono wale wazungu wakoloni waliomweka kibaraka wao Nyerere madarakani ??
Huwezi kukataa historia yako ya nyuma eti kisa uishi!!!Labda uwe kichaa wa akili na masikini wa fikra kaka
Kama hujui basi tufunge mjadala kakaMimi sijui wewe mtaalamu wa historia tuambie jemshid alimchukulia nani mali yake , alimuuwa nani wakati wa uchaguzi , alimnajisi nani ??
Nijibu kwanza alikaa mda gani kakaMbona unakimbia kujibu swali hili
Jemshid alimuuwa nani ? nalichukuwa mali ya nanai ?+ aliununua meli ipi mtumba pesa akaziiba ?+ alijenga makasri mangapi ?
kumbe huna kujua historia yoyote unataka ubishi tu , sawa na twende tu mpaka keshoKama hujui basi tufunge mjadala kaka
miaka 100 au vipi ??Nijibu kwanza alikaa mda gani kaka
Kaka gavana ngoja mimi nikuache naenda zanzbar mda huu!!!Nikutakie siku njema ndugu yanguMbona unakimbia kujibu swali hili
Jemshid alimuuwa nani ? nalichukuwa mali ya nanai ?+ aliununua meli ipi mtumba pesa akaziiba ?+ alijenga makasri mangapi ?