Mbona signecha yako inaongea kitu tofauti?
Ampaye nguvu hatakuwepo kwenye uzinzi wake, ndio maana anaogopa
Ha Ha Ha Tuition hiyo!Umekariri kutongoza ni kumwambia mwanamke nakupenda
kutongoza hata kumtazama tu na kutabasam inatosha
hata kumsalimia tu na kumuuliza kitu nayo ni kutongoza....
Wenzio hawasemi tena nakupenda....ni kusalimia tu na kuongea chochote kilichopo hapo
hata mpira au diamond na wema au watangaza nia wa ccm....
halafu taratibu unajisogeza
Sikumbuki mara ya mwisho kutongoza 'officially'...
Kutongoza sio lazima kumwambia nakupenda...
Feelings zinawaweka karibu...
Hata sijawahi kutongoza serious/official mzaha mzaha najikuta nilishamega kitambo hata wife nilipataga kiutani utani alikuwa rafiki yangu tu