Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Ni kile kitendo cha kutokea mwanamke na kumwambia nakupenda, nimejaribu zaidi ya mwaka lakini nikubali tu kutongoza imenishinda aisee. Jumlishia pesa yenyewe ya kuunga unga! Naweza kumpenda msichana mpaka nalia lakini kumwambia nimeshindwa daa pole yangu kwa kweli.