cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utaishi kwa tabuu aseeh. Kila kitu kwako ni complications.Endeleeni kupiga Maboya. Hata mimi nawaunga mkono. Pigeni mbuzi hizo
Woiiiih
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utaishi kwa tabuu aseeh. Kila kitu kwako ni complications.Endeleeni kupiga Maboya. Hata mimi nawaunga mkono. Pigeni mbuzi hizo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah!!!Nawaunga mkono wanawake wanaokula nauli ila mwanamke anayetumia nauli ya mwanaume mwingine kuenda kwa mwanaume mwingine huyo ni mpumbavu
Kama umeshindwa kuenda kwa huyo mtoto wa mwanamke mwenzio aliyekutumia hiyo nauli ni heri uile tu kuliko kuendea kwa mwanaume mwingine
Na mianaume ya hivi inayopenda vitonga kula hela za wanaume wenzao kupitia mademu zao nayo inatakiwa ichapwe viboko hadharani na idhalilishwe tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utaishi kwa tabuu aseeh. Kila kitu kwako ni complications.
Woiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeKalia hapohapo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleee
NAKAZIAMwanamke yeyote anayetumia kigezo cha kukupima kama unampenda kwa Kukutaka fedha au umhudumie ujue huyo ni tapeli, hakupendi, na anachotaka ni kukupasua
Are women some kind products!!!? Ooh wow.Mimi nataka K, lazima nihakikishe mzigo unanifikia kwa kugharamia usafiri wa 'package'...
Mbona tunaagiza vitu online na nauli tunalipia tunakuna pumbu kusubiria delivery..!??
Achana na wale wanaume Washamba ambao wanatuma nauli alafu nauli hizohizo wanawake wanazitumia kwenda kwa wanaume wanaowapenda.
Masenge hayoNi sawa na wale Mabwege yanayohudumia wake au Wanawake zao alafu bado hayapewi heshima, na tendo wanapimiwa au wanaomba. Wanaume hawapo hivyo.
NAKAZIAKwa MTU aliyejua mapenzí ukubwani upo sahihi ila wale malegend na watoto wa mjini hiyo kitu haipo.
Kwahiyo kwenye kutuma nauri wanabeti piaVijana wamezoea kubeti hawatakuelewa.
Apo ni kubeti tu na kuviziana , demu anabeti kama utatuma aingie mitini na wewe unabeti utume huku unasikilizia kama atakuja.Kwahiyo kwenye kutuma nauri wanabeti pia
nakaziaUkimtumia mwanamke nauli asipokuja ndani ya siku tano. Fanya juu chini weka mtego wa siri ageuzwe kilema wa mikono na ikibidi auwawe kabisa.
TOKOMEZA WIZI, HAWA NI WEZI KAMA PANYA ROAD
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Lazima uliwe nauli wewe si lijinga. Na mimi nawasisitiza kina dada endeleeni kuwachangamsha ubongo wanaume wasiojitambua na wasiojiamini.
Wewe umemtongoza Binti au mwanamke labda kwenye Daladala, au mtandaoni,au umekutana naye mtaani au Kanisani au popote. Ni sawa kabisa. Wewe ni mwanaume lazima utongoze.
Katika mawasiliano ya hapa na pale, ukiwa unamseti Mwanamke kwenye angle unayoitaka ajae. Naye pia anakuseti kwenye Log10 yake ujae akupasue. Hivyo ni mchezo fulani wa kuzidiana akili na mbinu.
Kila mmoja akimvizia mwenzake.
Mwanamke yeyote anayetumia kigezo cha kukupima kama unampenda kwa Kukutaka fedha au umhudumie ujue huyo ni tapeli, hakupendi, na anachotaka ni kukupasua.
Elewa kuwa Mwanamke anayekupenda hakosi NAULI ya kuja kukuona mpenzi wake. Mwanamke hawezi kukosa nauli kwa Mwanaume anayempenda au mtoto wake aliyemzaa. Na Mzazi wake.
Sisi Watibeli tunatongoza Mwanamke na anakuja kwa nauli yake. Kama hataki tunapita kushoto. Hatulazimishi na hatutaki kulazimishwa.
Uzoefu wangu katika Mahusiano unaonyesha wazi kuwa Mwanamke akikupenda lazima ajitoe kwako kama wewe utakavyojitoa.
Achana na wale wanaume Washamba ambao wanatuma nauli alafu nauli hizohizo wanawake wanazitumia kwenda kwa wanaume wanaowapenda.
Mwanaume yoyote mjinga huona kujiumiza ndio uanaume wakati ni ubwege. Huwezi ukajiumiza kwa mtu ambaye hakupendi au kujiumiza kijinga ukasema huo ndio uanaume. Uanaume sio kuwa Bwege au Lofa.
Uanaume sio kujidharau na kukubali mtu mwingine akudharau.
Ni sawa na wale Mabwege yanayohudumia wake au Wanawake zao alafu bado hayapewi heshima, na tendo wanapimiwa au wanaomba. Wanaume hawapo hivyo.
Mwanaume lazima ujue kuwa jasho lako pia lazima liheshimiwe. Mtu anayedharau jasho lako amekudharau.
Kijana ukianza mahusiano usitume nauli, huko ni kutojitambua na kutojiamini.
Ni bora hiyo nauli utafute Kahaba au mwanamke mcheza vikoba hapo mtaa wa tatu umpe uende ukamalizane naye kama shida ni uzinzi, ngono.
Kama shida ni Mahusiano ya kweli, usitume Nauli. Mwache Aje kwa pesa yake mwenyewe. Naye lazima ajitoe kwaajili yako.
Acha nipumzike sasa.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Wakati mwingine tunatuma tukijua wana asilimia 6% kuja, 94% hawaji, na hata wasipokuja, tunajua pengine tumesaidia single Mama na wanae kununua mchele.
Tatizo ni kukosa hela tu, sio kutuma hela..... Kama unajielewa huwezi nunua mwili wa mwanamke kwa nauli, naelewa unaweza usinielewe.
Hatari sana. Huu mchezo ni WA paka na panyaApo ni kubeti tu na kuviziana , demu anabeti kama utatuma aingie mitini na wewe unabeti utume huku unasikilizia kama atakuja.
hahah its true.Waache!
Alafu kuna mijinga ikipigwa matukio inajfanya inahasira za kijinga😂😂 yaani kama Wendawazimu hivi. Ukiyasikia yanavyoongea ni kama nati zimelegea. Ooh! Nimetumia gharama kubwa sijui nimelipa blahblahblah!
Alafu Mpumbavu hanaga aibu. Hataki kama kujieleza hivyo ni kujidhalilisha kuwa yalikuwa majinga yenyewe yanaona yalikuwa yanawajibika😄