Moja ya harusi bora kabisa hii

Moja ya harusi bora kabisa hii

Mnaweza kujikana? Tatizo lililopo...Mob pressure...nyie wanaume mnapenda sana hizi harusi, lakin mnashindwa kuwa na misimamo. Mkishawaambia mashangazi zenu na wajomba wenu wakapinga basi na msimamo unadissolve.

Sawa mara nyingi wanawake tunakuwa vikwazo lakin sio spouse tu, hadi huko kwenu mkisema hili mnapingwa. Ila kufanya such things lazima ujikane na uwe tayar kugombana na ndugu zako wengi.
 
Ila kufanya such things lazima ujikane na uwe tayar kugombana na ndugu zako wengi

Hapo kwenye ndg ni kama ulikuwepo lawama kama zote hadi kufikia kutamkiana maneno magumu ugomvi km mtu umenyima kupumua- ndoa ni ya wawili ndg ni kitu kidogo sana katika maisha ya ndoa
 
Moja ya harusi bora kabisa hiiView attachment 2949950
Watu wa hivi huwa hawataki mambo mengi kabisa, mara nyingi huwa sisi wanaume ndio tuna aamua iwe hivi.
View attachment 2949951View attachment 2949952

Nyingine ile mkimaliza kufunga ndoa shughuli zina endelea kama siku zingine tu za kawaida pale nyumbani.
Tafuta hela na network .Pesa na network ndizo huamua harusi iweje lofa na asiye na network arusi yake yaweza kuwa ya kilofa

Tafuta hela au na uwe na network ya wenye hela
 
Hizo ni harusi za jamii yenye akili sana
Sio kweli ni ya watu wapumbavu wabinafsi na wasiokuwa watu wa watu iwe majirani ,ndugu,marafiki,wanaofanya nao kazi au biashara nk

Ndoa kama hixo ni watu ambao hata ndugu hawataki wanajioza wenyewe.Wakati kawaida jamii ndio inatakiwa ikuoze .Watu wanaofurika ndio waozaji ukiona wachache jua hao sio wati wa watu kaa nao mbali ni watu wa maisha self-contained hao.
 
Mara ya mwisho kupima afya hospital ilikuwa lini ? Hasa ya akili ?
 
Back
Top Bottom