Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kufanya such things lazima ujikane na uwe tayar kugombana na ndugu zako wengiMnaweza kujikana? Tatizo lililopo...Mob pressure...nyie wanaume mnapenda sana hizi harusi, lakin mnashindwa kuwa na misimamo. Mkishawaambia mashangazi zenu na wajomba wenu wakapinga basi na msimamo unadissolve.
Sawa mara nyingi wanawake tunakuwa vikwazo lakin sio spouse tu, hadi huko kwenu mkisema hili mnapingwa. Ila kufanya such things lazima ujikane na uwe tayar kugombana na ndugu zako wengi.
Tafuta hela na network .Pesa na network ndizo huamua harusi iweje lofa na asiye na network arusi yake yaweza kuwa ya kilofaMoja ya harusi bora kabisa hiiView attachment 2949950
Watu wa hivi huwa hawataki mambo mengi kabisa, mara nyingi huwa sisi wanaume ndio tuna aamua iwe hivi.
View attachment 2949951View attachment 2949952
Nyingine ile mkimaliza kufunga ndoa shughuli zina endelea kama siku zingine tu za kawaida pale nyumbani.
Pepo la umaskini.hilo.likemee hali hiyo isije jirudia kwenye kizazi chakoYangu ilikuwa hivyo watu jumla tulikuwa 12 napo ilikuwa 6 hao wengine ni wahudumu wa kanisa na mpiga picha full stop
Umaskini wangu unakutesaje? Punguza shoboPepo la umaskini.hilo.likemee hali hiyo isije jirudia kwenye kizazi chako
Sio kweli ni ya watu wapumbavu wabinafsi na wasiokuwa watu wa watu iwe majirani ,ndugu,marafiki,wanaofanya nao kazi au biashara nkHizo ni harusi za jamii yenye akili sana
Wewe una hela nyingi sana ?Tafuta hela na network .Pesa na network ndizo huamua harusi iweje lofa na asiye na network arusi yake yaweza kuwa ya kilofa
Tafuta hela au na uwe na network ya wenye hela
Shadow7 ,Tresor Mandala ,Fake P ... Winnone ... Vincenzo Jr mje mshuhudie ufungaji ndoa usio na mbwembwe
Unapenda ya hivi?Shadow7 ,Tresor Mandala ,Fake P ... Winnone ... Vincenzo Jr mje mshuhudie ufungaji ndoa usio na mbwembwe
Safi sana,Yangu ilikuwa hivyo watu jumla tulikuwa 12 napo ilikuwa 6 hao wengine ni wahudumu wa kanisa na mpiga picha full stop
Mara ya mwisho kupima afya hospital ilikuwa lini ? Hasa ya akili ?Sio kweli ni ya watu wapumbavu wabinafsi na wasiokuwa watu wa watu iwe majirani ,ndugu,marafiki,wanaofanya nao kazi au biashara nk
Ndoa kama hixo ni watu ambao hata ndugu hawataki wanajioza wenyewe.Wakati kawaida jamii ndio inatakiwa ikuoze .Watu wanaofurika ndio waozaji ukiona wachache jua hao sio wati wa watu kaa nao mbali ni watu wa maisha self-contained hao.
Iko vzr, kama yangu tu miaka 12 iliyopitaShadow7 ,Tresor Mandala ,Fake P ... Winnone ... Vincenzo Jr mje mshuhudie ufungaji ndoa usio na mbwembwe
NdioWewe una hela nyingi sana ?