Usichanganye harusi na misiba, harusi imekuwa ni kero sana kwa baadhi ya watu. Unafika nyumbani unakuta kadi, yaani hata mtu huna mawasiliano naye yoyote yale. Baada ya hapo inakuwa ni kero kubwa, unakuwa kama anakudai, na hata hukuwahi kutoa ahadi ya kuchangia, kiufupi inakera sana.Issue watu wa aina hiyo ni wabinafsi huwezi waona hata kwenye kuchangia harusi au misiba ya wengine.
Hivyo hujua wazi wakiwa na harusi zao hakuna watakaowachangia.Hivyo kujificha kwenye hilo chaka la harusii za watu wachache sijui.sita nk wanajua network kwenye za kuchangiana harusi wao hawamo hivyo wanakuwa hawana network kwenye eneo hilo.Waweza kuwa na network kwenye maeneo mengine lakini sio hilo
Kuna harusi tulichangia, siku ya harusi, kamati ya harusi wanawapa wazazi zawadi ya Tsh milioni nne. Yaani michango yetu inagawiwa tena kwa wazazi, kuanzia hapo niliona ni ushenzi kabisa.