Moja ya harusi bora kabisa hii

Moja ya harusi bora kabisa hii

Hizo ni harusi za jamii yenye akili sana

Harusi ya majizo mmiliki wa EFM na Lulu ilikuwa kama hizo. Jiulize Je lulu na majizo hawana watu wa kuwachangisha ?, ama hawana network ?

Harusi ya Millard Ayo ilikuwa kama hizo, je millard Ayo hana watu wa kuwachangisha ?

Jibu ni hapana. Bali ni ushahidi wa wazi kwamba ni mfano wa vijana wenye akili kubwa Tanzania

Akili zao ndizo zimewafanya watajirike wakiwa wadogo
Hebu ngoja, Millard Ayo alifunga ndoa lini?
 
Mnaweza kujikana? Tatizo lililopo...Mob pressure...nyie wanaume mnapenda sana hizi harusi, lakin mnashindwa kuwa na misimamo. Mkishawaambia mashangazi zenu na wajomba wenu wakapinga basi na msimamo unadissolve.

Sawa mara nyingi wanawake tunakuwa vikwazo lakin sio spouse tu, hadi huko kwenu mkisema hili mnapingwa. Ila kufanya such things lazima ujikane na uwe tayar kugombana na ndugu zako wengi.
But shughuli huwa wanawake ndio wanaotaka sana sio wanaume. Mara nyingi wanaume wanajua hapa kuna mzigo wa gharama ila wanawake wanataka ile shughuli wafurahie.
 
Sio kweli ni ya watu wapumbavu wabinafsi na wasiokuwa watu wa watu iwe majirani ,ndugu,marafiki,wanaofanya nao kazi au biashara nk

Ndoa kama hixo ni watu ambao hata ndugu hawataki wanajioza wenyewe.Wakati kawaida jamii ndio inatakiwa ikuoze .Watu wanaofurika ndio waozaji ukiona wachache jua hao sio wati wa watu kaa nao mbali ni watu wa maisha self-contained hao.
Ndio ni ya watu wawili, siku hizi macho ya wengi yanaharibu ndoa za watu. Unafunga ndoa watu wanabet lini mtaachana, utasikia "hawa kwa jinsi alivyo yule mwanamke na mdomo wake hawatamaliza miaka 3".

Kimsingi watu siku hizi husuda zimekuwa nyingi sana aisee.
 
Mnaweza kujikana? Tatizo lililopo...Mob pressure...nyie wanaume mnapenda sana hizi harusi, lakin mnashindwa kuwa na misimamo. Mkishawaambia mashangazi zenu na wajomba wenu wakapinga basi na msimamo unadissolve.

Sawa mara nyingi wanawake tunakuwa vikwazo lakin sio spouse tu, hadi huko kwenu mkisema hili mnapingwa. Ila kufanya such things lazima ujikane na uwe tayar kugombana na ndugu zako wengi.
Kufanya nini, kufanya sherehe simple kama hivyo ama ?!
 
But shughuli huwa wanawake ndio wanaotaka sana sio wanaume. Mara nyingi wanaume wanajua hapa kuna mzigo wa gharama ila wanawake wanataka ile shughuli wafurahie.
Na ndo maana nasemaje braza, ukisema wanawake basi jumuisha wanawake wa upande wa kiumeni na wa kikeni plus huyo mke mtarajiwa. Hapa anaweza kulaumiwa mtarajiwa tu huku ukisahau huko kwenu pia kuna wanawake wanaotaka shughuli hasa kina mama. Anakuwa anaona amechangia watoto wa wenzake kwann yeye wa kwake asichangiwe na yeye ajishebedue mtaa wa pili ujue.

Ya kwangu ni mfano hai. Bwana mkubwa aliamua tufanye ya staili hii na mimi nikasema fresh. Lakin upande wao mpaka leo kuna watu wamemuekea kinyongo huku wengne wakihisi nimemshika akili...kisa hakufanya kitu kikubwa. Ni vile tu jamaa ana msimamo. Nisiongee sana...
 
Mimi napenda sana hii kwenye harusi kama mwanaume nina shughulikia hili ila vipi kuhusu sendoff ambayo ni mwanamke ndiyo ana shughulikia anaweza fanya hivi na yeye hiyo siku ?!
Naomba nijibu hapa...sendoff ni shughuli ya wazazi wa mwanamke. Wao ndo wanaamua watamuaga binti yao kwa style gani. So kile kitakachoamuliwa ni mzazi kaamua. Sasakwa sabbu ya usasa na mabinti wanaoagwa wanajiweza anakuwa anaamua yeye afanyeje ndo mara designer annacollectionz, mara mckatokisha, etc.... Lakin laiti kwamba ingekuwa ni wazazi wenyewe basi mambo yangekuaga muswano, ni familia chache sana zingemudu sherehe kubwa. Nweiz maisha ni mafupi sana so kila anayeamua lake na afanye tu.....
 
Mimi mwanaume naweza amua sherehe simple kama hivyo ila kama mwanamke anataka mambo makubwa aisee sasa haita pendeza, maana Sendoff mambo mengi sherehe kubwa alafu harusi simple kama hivyo, wabongo wata anza maneno tuu, aah upande wa mume wame tuangusha sana tunajuta kumpeleka mtoto wetu kule, wabahili sana mara wachoyo wale sherehe hivi je tukienda salimia watatupa hata maji kweli ?! Nafikiri sherehe simple kama hizi ni nyie wote muamue kuanzia Sendoff mpaka harusi ila shida Wanawake nyie ndiyo hamuelewi mnataka mashindano all the time.
 
Back
Top Bottom