Natumia nmb swiftcode kwa wire transferulifanikiwaje kufanyiwa refund, hapo ndio pana point kuu na hujasema
Mimi nataka niagize bati za migongo mipana gauge 26 hawataniletea mayebo kweli?Huenda ikawa coincidence tu lakini ni ni muhimu kuwa makini ni sana watu wanaingia kununua vitu bila kujua kuwa supplier anavyo kwenye stock au Hana au ni dalali au non technical anaefungasha tu limzigo na iukuletea kisha kikikushinda anawasumbua wale jamaa wakupe majibu ya msaada unaona hayuko seriously
Sio wote waliopo mule Wana maduka na biashara wengine ni winga tu.
Unaweza ukachat na supplier kuhusu bidhaa falani akaona unauhitaji sana. Akajaribu kukupa discount ukaingia kingi ndugu zako wachina wanaenda kutengenezewa hicho unachotaka kwenye vi workshop alafu unaletewa na video kinafanya kazi ngoja kikufikie ndo utalia na kusaga meno.
Machine ya millioni 6 na ushee ikafika ata manually book hakuna, unaanza kuuliza seller vipi naanzia wapi ana kudirect kwa technical team hapo hata hayajui kingereza ni kichina tu , wewe translate kwenye app kisha fuata ushawahi nunua machine alafu setup ya inakuchukua mwezi na nusus na bado Ngoma droooooo, Nilikata rufaa kucraim lakini seller alionekana kupendelewa na hapo nimeapaniki kila ushaidi naotuma unapingwa kwa sababu ile ile kwamba upload evidence inayoonesha ulifata maelekezo yote mana seller na KASEMA Ali assign team ya kukusaidia hapo unachanganyikiwa team inakusaidia kwa kurudia rudia maelekezo ambayo tayari umefanya inabidi urekodi ulivyoanza MPAKA ullipo kwama dispute team inaniambia hii ni complicated case kwa sababu machine ni technical hivyo hawawezi mfosi seller alifund pesa.
Alafu unakumbila kuwa huyu seller nilipokipa pesa haukutuma mzigo kesho yake zilipita siku kama 15 au 20 ndo naona message mzigo umefika kwa agent after 20 days of payment *****.
So mzigo naleta kwa meli na hapo coincidence ikatokea meli ya kusubiri kama wiki moja kifupi nilipokea mzigo baada ya miezi miwili na kama wiki ukiongeza zile siku za kuclear na foward.
nikogundua Alibaba wanafever muuzaji wakaishia kunipa gift card ya nusu bei mimi nikasema.nakomaa nanyie mafala aiseh nilitaabika sana japo pesa ilirudi ila nilikonda ghafla kama mtu alieoa na kumpa mimba binti bila kujiandaa
Unapoagiza kitu kule zingatia sana kuchunguza seller wengi hawajui wanavyoviuza na kwa sababu wanabebwa huna unalojua unaweza kosa haKi yako.
Unaweza Kuta manually na kuifuta yote kwenye baadhi ya machine lakini machine ikakwama hapo ndo utajua hujui .
Kuna vitu hatakama unajua kuvioperate lakini unaambiwa hii ni complicated case hivyo wanadhindwa kumfosi seller a refund sababu watakuwa wanachukulia ni normal failure mpaka uwe strong kweli kweli kwenye kujieleza.
Bidhaa zingine za kawaida hazina shida kwenye refund ila hapa kwenye machine ndo maana watu WANAENDAGA CHINA DIRECT.
ILA UKIWA HUNA PESA NI NGUMU
HIVYO JITAHIZD KAMA UMEWEZA KUPATA MILIONI 15 NA KUENDELEA JARIBU KWENDA DIRECT KUNUNUA HIZO MACHINE UZIKAGUE HAPO HAPO.
Liko hapa naliangaliaga kwa machozi na damu.
Sijui kama nimeeleweka modi edit Uzi si mwandishi nzuri.
Mpya, tupe elimuNatumia nmb swiftcode kwa wire transfer
Agiza kiwandani straight, tafuta connection ya hapoMimi nataka niagize bati za migongo mipana gauge 26 hawataniletea mayebo kweli?
Hapana ukiwa na ushahidi wa kutosha kuwashawishi kama Mali mbovu seller akitakankuirudisha anaghatimia kwangu nilimwambia kwenye barua yangu seller ndo atafute namna ya kupitia Tanzania sababu mimi nilikomaa na malipo yote hakuna hata sent alitoa kwanzia bei ya bidhaa, shipping kutoka alipo mpaka kwa agent, na kutoka china mapka Mahali nilipo kwa hiyo nilimwambia kama seller anataka nirudishe Mali mbovu mwishoni mwanbarua atagharimia Niko tayari kushirikiana naye ila sitoi hata mia.Umeongea kwa uchungu. Pole sana.
Ulifanikkwaje kurudisha pesa? Na je mali yao wataichukua?
Na unaambiwa hijafata maelekezo ya degree Yako ya udsm ya mechanical engineeringDuuh! Kweli ni hatarii sasa. Umakini unahitajika sana.. japo unaeza kuwa makini sana still ukapigwa😀
Fafanua kidogo mkuu kiwanda gani?Agiza kiwandani straight, tafuta connection ya hapo
Mzee unajua unapogiza machine yenye potential ufike ufunge faster upigwe pesa alafu inakuwa tabu unadhani hata speak ya kurekebisha utapata wapi tofauti na kwa aliyekuuzia china makarakana mengi na machine ya kulipia lipia tofauti ukienda Japan na marekani Kuna brand kubwa zaachine hata speak ukihitaji supplier wengi Sasa china mtu katoka kijijini na kamtajinanafungua kiwanda njaa brand yake ikifa walionunia machine wote WANAKUFA kwa moto sababu mwenye speak hajulikaniUmekua refunded lakini hali Yako ndo hiyo taabani, je wangetia nditi ingekuaje?
Tunapenda kuiga kujua jua vitu kama akina chief mkwawa ndo sababu😀😀Kwanini u risk ivo?
Hata sikuelewi mkuu hawa hawa akina ___ wameweka sheria zao wanakuambia wao hawahusiki na mzigo zaidi ya kuona kilichomo nankukibeba MAPAKA kukufikia hata kama ni bom itajulika pale bandariniKazi rahisi sana ungewapa kazi ma agent wako waikague mashine wafanye testing ndo walipe pesa kwa huyo mchina kisha wapakie wasafirishe
Hivi vitu siwezi kuweka hapa havina umuhimu wewe soma mada fanyika kazi, machine ipo WAZI ofsini niweke hapa watu wanitambue?, mimi mtu wa no reform no election nikapigwe kama sativa hata ukija pm usitegeme nitakujibuJina ya mashine?
Japo PICHA ya mashine?
KAZI ni kipimo cha utu
WatuUnatoaje milion 15 kununua bidhaa Kwa kutazama kwenye picha
Yaani unatumiwa picha ya machine wewe unatuma pesa, na unatumiwa fake
unayoina kwenye picha tu bila kuikumagua na ki test..
Huo ni ujuaji na ushamba wako.
Acha utapeliwe
Kila mtu na upumbavu wakeMbona watu wananunua magari ya milion Hadi 200 Kwa kuangalia picha befoward
Watu
Kwani hujuichakato wa kuwa refunded nenda aliababkanunue bidhaa kisha ukipata kama defective press refund weka evidence zako kama ni machine haioperate onyenysha pia onyesha ulivyoseto na kadhalika.Tungependa kufahamu mchakato mzima hadi ukawa refunded, vinginevyo hii ni hadithi tu ya kutunga