Moja ya kosa kubwa nililowahi fanya alibaba nakuomba usithubutu next time

Moja ya kosa kubwa nililowahi fanya alibaba nakuomba usithubutu next time

Unatoaje milion 15 kununua bidhaa Kwa kutazama kwenye picha
Yaani unatumiwa picha ya machine wewe unatuma pesa, na unatumiwa fake
unayoina kwenye picha tu bila kuikumagua na ki test..
Huo ni ujuaji na ushamba wako.
Acha utapeliwe
Kwa dunia ya sasa hii sio hoja mkuu. Maana watu wanaagiza gari, mashine mpaka M70/80 kwa picha tu na specs.
 
Hatari sana hiyo Ngoma kwa Mimi ambaye sijasoma ingenishinda
 
Mkuu sifahamu,
Ila nilikua namaanisha kua sababu unahitaji bidhaa, unaweza wasiliana moja kwa moja kiwandani au kupitia Authorized dealers.

Hiyo ni kwa usalama wa fedha zako.
Mfano kama wapi hao authorized dealer? Unajua watu wanaagiza mtandaoni wenyewe sababu hawataki gharama kubwa hao jamaa wanataka pande na hapowezio Hana hiyo budget

Ukoshatumia kampuni iliyoko.na office hapa na china tayari mzigoninakiwa ghali kwa sababu hawawezi fanya kazi bire
 
Hata sikuelewi mkuu hawa hawa akina ___ wameweka sheria zao wanakuambia wao hawahusiki na mzigo zaidi ya kuona kilichomo nankukibeba MAPAKA kukufikia hata kama ni bom itajulika pale bandarini
Hiyo huduma ya ukaguzi unalipia sio kwamba ni bure na halafu kama ma agent hawafanyi hiyo kazi ya kukagua wapo watu wengine wanafanya hiyo kazi

Hivyo wakati mwingine ukitaka kuagiza kitu cha pesa ndefu unaweza ukafanya hivyo ili upate kitu chenye uhakika
 
Ahsante kwa hili sikujua chochote yeye aliwapa.watu wake waliomtengenezea kazi ya kunithibitishiankiwaachine inaganyankazi sikuwa na wasi ilivyofika ndo nikawa kama nimeonghafla bila kuwa na kazi alafu mke ana mimba weyeyeye
 
Tunajifunza kutokana na makosa cha muhimu ni pesa yako imerudi
 
Mfano kama wapi hao authorized dealer?
Nakupa mfano ila haihusiani

AliExpress kuna page rasmi ya Xiaomi products vivyo hivyo na Alibaba

AliExpress kuna page rasmi ya Oneplus series vivyo hivyo na Alibaba

Ebay wana page rasmi za kampuni husika.

Kwanini tenda iende kwa winga wakati official dealer yupo?
 
auseh.

Wale jamaa wajuaji wanaofikiri kuwa verified member Alibaba ndo kujitosheteza mmeidha ni swala muda tu muhimu kuwa mjanja ila hawa motivation wanaodanganya utube sio rule zote za kweli .

Wewe JIULIZE mimi nilikuta good reputation na star kibao lakini sijuweza kurudi kumwandikia seller mabaya yake sababu Nilikiwa na msongo mkubwa hata KUACHA negative star sijafanya Sasa assume mtu mwingine anakuta positive star tu kumbe Kuna watu waliumizwa na hawakurudi hata kuzungumzia imekula kwake
 
Unahitaji kuwa makini,

Na kusoma reviews zake.
Ila zidi kutafuta sellers tofaut
Mkuu wangu review sio kitu Kuna watu wameumozwa na hawakuweka review zao just imagine uangukie kwa mtuma amabaye ana review nzuri tu kumbe Kunaafamba watu walikutana nayo na hawakurudi hata kutoa negative feedback sababu ya hasira..

Mi mashauri watu waagize lakini walipe kwa Alibaba na wanapopoke mzigo warekodi to la unboxing MAPAKA mafanikoo ukikumbana na shida una tumia isjaodo wote na unaruhusi.ku upload hadi file lenye size ya gb kule waangakie ushaidi
 
Back
Top Bottom