Moja ya kosa kubwa nililowahi fanya alibaba nakuomba usithubutu next time

Mimi nataka niagize bati za migongo mipana gauge 26 hawataniletea mayebo kweli?
 
Umeongea kwa uchungu. Pole sana.

Ulifanikkwaje kurudisha pesa? Na je mali yao wataichukua?
Hapana ukiwa na ushahidi wa kutosha kuwashawishi kama Mali mbovu seller akitakankuirudisha anaghatimia kwangu nilimwambia kwenye barua yangu seller ndo atafute namna ya kupitia Tanzania sababu mimi nilikomaa na malipo yote hakuna hata sent alitoa kwanzia bei ya bidhaa, shipping kutoka alipo mpaka kwa agent, na kutoka china mapka Mahali nilipo kwa hiyo nilimwambia kama seller anataka nirudishe Mali mbovu mwishoni mwanbarua atagharimia Niko tayari kushirikiana naye ila sitoi hata mia.


Mzee bongo tulikosa expoter MAPAKA Leo sijui kwani courier Wana import tu
 
Umekua refunded lakini hali Yako ndo hiyo taabani, je wangetia nditi ingekuaje?
Mzee unajua unapogiza machine yenye potential ufike ufunge faster upigwe pesa alafu inakuwa tabu unadhani hata speak ya kurekebisha utapata wapi tofauti na kwa aliyekuuzia china makarakana mengi na machine ya kulipia lipia tofauti ukienda Japan na marekani Kuna brand kubwa zaachine hata speak ukihitaji supplier wengi Sasa china mtu katoka kijijini na kamtajinanafungua kiwanda njaa brand yake ikifa walionunia machine wote WANAKUFA kwa moto sababu mwenye speak hajulikani
 
Kazi rahisi sana ungewapa kazi ma agent wako waikague mashine wafanye testing ndo walipe pesa kwa huyo mchina kisha wapakie wasafirishe
Hata sikuelewi mkuu hawa hawa akina ___ wameweka sheria zao wanakuambia wao hawahusiki na mzigo zaidi ya kuona kilichomo nankukibeba MAPAKA kukufikia hata kama ni bom itajulika pale bandarini
 
Mbona watu wananunua magari ya milion Hadi 200 Kwa kuangalia picha befoward
Unatoaje milion 15 kununua bidhaa Kwa kutazama kwenye picha
Yaani unatumiwa picha ya machine wewe unatuma pesa, na unatumiwa fake
unayoina kwenye picha tu bila kuikumagua na ki test..
Huo ni ujuaji na ushamba wako.
Acha utapeliwe
Watu
 
Tungependa kufahamu mchakato mzima hadi ukawa refunded, vinginevyo hii ni hadithi tu ya kutunga
Kwani hujuichakato wa kuwa refunded nenda aliababkanunue bidhaa kisha ukipata kama defective press refund weka evidence zako kama ni machine haioperate onyenysha pia onyesha ulivyoseto na kadhalika.


Nakushauri unaponinia kitu chochote record unbox ya kwanza mpaka machine unapofanya kazi ndo ufute lasivyo uwezo pata refund Kuna watu wakisha nunua vitu wakavipata basi hata receipt za release wanafuta kwenye simu hapo utakuja kulia
 
Huo ni ukweli Alibaba imejaa mawinga wa viwanda.

Ila kwenye swala la kusubiri siku 20 hiyo sio ajabu. Mchina hatengenezi kitu kama bado hajapata mnunuzi wake.

Ndio maana hata bosi wa ma bus ya mwendo kasi amelisema hilo kwamba ma bus wameagiza china ila ndio kwanza wameanza kuyatengeneza baada ya kupokea hela.

Binafsi naagiza sana vitu china via alibaba na hata website zingine. Kote huko ukishalipia bidhaa ndio wanaanza kuitengeneza hivyo ni mwendo wa kusubiri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…