Moja ya kosa kubwa nililowahi fanya alibaba nakuomba usithubutu next time

Hao jamaa sijui kama Wana Mungu hakuna watu dhurma kama wachina
 
Unahitaji kuwa makini,

Na kusoma reviews zake.
Ila zidi kutafuta sellers tofaut
Umakini kwenye mtandao ni mdogo sasa utawafanyaje wakikutapeli kusema ukweli nasita kulipia japo niliagiza sample wakaniletea lakini bado siamini maana wanataka nilipie ndio waupeleke kwa agent wa meli hadi Leo sijafanya malipo
 
Usifanye malipo direct kwao lipia Alibaba pesa isiwafikie waujaipalanupokee mzigo wako na ukague kama uko salama ndonuruhisi Alibaba awape pesa, after confirm delivery with no fault
 
Nifumbue macho kidogo nalipiaje kwa Alibaba maana walinitumia payment link yao nikalipia sample
 
Link inatumwa kwenye app kwenye order uliotengenezewa bonueza pay now chagua njia za malipo za Alibaba humo humo kwenye app lipia ila ikikutoa nje ya app kwenda KWENYE site zingine au seller akikuambia njoo Whatsapp usifanye hivyo
 
Nimekupata mkuu
 
Sorry hivi ni mfumo gani upo salama zaidi kulipia kupitia simu yangu au kwenda bank moja kwa moja kwenye account zao
 
inategemea na limitations ya pesa unayotakiwa kuweka hasa kwa njia za simu.

Njia yoyote ni nzuri ilimradi iwe pale Alibaba

Kwa sababu bank zote sahivi unapokea pesa Yako kutoka nje muhimu ni transaction fees.

Mfano nmb , crdb , fnb, absa n.kwanapokea kwahiyo ukilipia angalia njia rahisi kwako kupokea au kurudishavfedha kama mzigo haitakuwa Bora.

Tumia virtual card ya voda
 
Ok sawa mkuu
 
Unatoaje milion 15 kununua bidhaa Kwa kutazama kwenye picha
Yaani unatumiwa picha ya machine wewe unatuma pesa, na unatumiwa fake
unayoina kwenye picha tu bila kuikumagua na ki test..
Huo ni ujuaji na ushamba wako.
Acha utapeliwe
Mbona kama umekunywa maji ya katerero...
Umemuelewa kweli mtoa mada...
Mnyambwa...?.
 
Utaratibu wa Alibaba upo wazi sana. Hata hilo la malipo limeelezewa vizuri kuwa kwa malipo yote kupitia platform walizopendekeza (Alipay, visa, máster card, TT).

Halafu kuhusu kuagiza lazima kuangalia reputation ya muuzaji, sales zake kwa mwaka na umpe supplier every information kuhusu mzigo na mkubaliane.

Sijawahi kupata changamoto Alibaba
 
HONGERA
 
Umakini kwenye mtandao ni mdogo sasa utawafanyaje wakikutapeli kusema ukweli nasita kulipia japo niliagiza sample wakaniletea lakini bado siamini maana wanataka nilipie ndio waupeleke kwa agent wa meli hadi Leo sijafanya malipo
Labda usiwe makini tu. Platform ya Alibaba inakutanisha wauzaji na wanunuzi kwenye biashara ya mabilioni dollar, haiwezi kuruhusu utapeli wa vishilingi vyetu.

Cha msingi kuwa makini kwa maelekezo ya masharti ya ununuzi na ulipaji. Kumbuka supplier hawezi kuchukua pesa yako bila idhini ya Alibaba.

Kwa kuongezea tu, Alibaba yupo kwenye soko la hisa la NYS Marekani. Ingekuwa kuna uhuni huo, Marekani wangeshawalima faini mlima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…