Moja Ya Kosa Wanaume Wengi Hufanya Wakiwa Na Mwanamke

Moja Ya Kosa Wanaume Wengi Hufanya Wakiwa Na Mwanamke

Infinite_Kiumeni

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2023
Posts
382
Reaction score
687
Shida ya kuishi na mwanamke ndo huanzia hapa.

Shida ya kumpata mwanamke ndo huanzia hapa.

Hupelekea mtu kusema mwanamke haeleweki. Hupelekea kutoelewana. Sababu anakua hana jibu kamili kutoka kwa mwanamke.

Kosa hilo ni:

Kumtafsiri mwanamke kwa maneno yake zaidi ya vitendo vyake.
Kumsikiliza maneno yake badala ya kuangalia vitendo vyake.
Maneno yake ni ili apate cha kujitetea baadae.
Maneno yake ni ya kumfanya ajilinde ye mwenyewe.
Maneno yake ni kwa ajili ya kukukatisha tamaa/ kukupima.
Maneno yake ni ya kumfanya ailinde heshima yake kwenye jamii.

Mwanamke wako anaweza kukuambia hataki kufanya mapenzi nawe. Lakini bado anakukumbatia au bado anakubusu au bado anajiweka karibu nawe au bado anakubali umshike na umtomase. Vitendo vyake vinasema anataka kitu lakini maneno yake anasema hataki.

Mwanamke anaweza akakuambia amekumisi lakini hana muda mkutane. Kila ukitaka kupanga naye anakuambia hana muda ila amekumisi. Na anazidi kukutafuta.

Kitendo chake cha kuendelea kukutafuta ina maana anataka mkutane. Cha kufanya wewe ni umsaidie apange ratiba yake kwa kumuuliza kinachomzuia/ nini kinampa wasiwasi.

Mwanamke anaweza kukuambia hana mpango na mapenzi kwa sasa. Lakini vitendo vyake ni kukufatilia na kutaka ukaribu na wewe. Kwa hapo maana yake anakutaka lakini usimharakishe kwenye mapenzi, anataka muende taratibu.

Mwanamke anakuambia anakupenda/ anakutaka/ amekumisi. Lakini ukimuambia mkutane hataki. Kitendo chake apo ni hataki ukaribu nawe.

Lakini ujue maneno ya mwanamke ndani yake pia yana kitu. Kadri unavyozidi kwenda naye kiakili ndivyo inakua rahisi kuelewa maneno yake. Mwanamke hasemi kitu moja kwa moja bali atakizungusha, hivyo ujue pia kuangalia maana ya maneno yake. Ila kama humuelewi, cha kwanza anza kuangalia vitendo vyake.
 
Back
Top Bottom