Moja ya operation za kijinga sana kuwahi kufanywa na CHADEMA ni hii wanaita CHADEMA Digital

Kwa ushetani wanaofanyiwa huna macho, ya kuona je nayo masikio huna, au nawe sehemu ya muhimili wa uovu🤔
 
CDM sikilieni hapo hapo !
 
Waliopewa jukumu la uenezi wa chama kijani nao walishafeli zamaani, Sasa una Nini kilicho saliamoo.
Unajua kuinyoshea vidole ccm kutatuchelewesha zaidi mchawi wa wapinzani ni wapinzani wenyewe maana ccm haina jukumu la kujenga upinzani!
 
Nisawa kama nawewe waliichukua akili Yako punde ulipofika pale kwenye geti lenu😃.
 
Ubongo wako ni mdogo sana kuelewa hii move!
 
Usipanic twende taratibu kwani ni jukumu la ccm kujenga au kuimarisha upinzani!?

Kipimo cha ukubwa au udogo wa ubongo sio haya maneno yako bali ni matokeo na ufanisi wa hii operation
 
Haina jukumu la kuuimarisha ila kuuhujumu Kwa lengo la kuutokomeza bila kujali rasilimali zinazotumika iwe kwa halali au haramu sio?
 
Kila chama cha siasa kinapambana kushika madaraka ila kiyatumie kutawala nchi kwa hiyo vyama vyote ni mahasimu
 
Usipanic twende taratibu kwani ni jukumu la ccm kujenga au kuimarisha upinzani!?

Kipimo cha ukubwa au udogo wa ubongo sio haya maneno yako bali ni matokeo na ufanisi wa hii operation
Ishu sio ya CCM kuimarisha upinzani..ishu ni kufuata katiba iliyopo na kuruhusu haki ya kikatiba ya kila chama kufanya shuguli zake kisiasa na kuachia watu waamue wanataka waongozwe na nani... lakin sina wasiwasi, kwasababu mama yenu anapenda misaada muda si mrefu atasikiliza wafadhili wanataka nini na mtajikuta mmekubali katiba mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…