Machawa walidai Samuya kafunguwa NCHI!
Leo wa Ulaya, Scandinavia, Canada na USA wanatukataa na kusitisha ushirikiano na misaada!
Samuya KAFUNGA NCHI!
Machawa wabobezi kina Lucas mwashamba MACHOZI YA FURAHA YANAWATOKA, MACHOZI YANABUBUJIKA KINOMA!
Wewe kilaza, Kwanini unaruka neno wazamiaji, na magumashi?
Huo ugaidi ni lini mtanzania alifanya ugaidi US
Mpaka sasa kuna watanzania 300 wanawindwa na 25 tayari wako chini ya ICE, kuna hata mmoja amekamatwa na ugaidi au utawala mbaya?
Hao kenge wote ni wazamiaji wasiokuwa na sheria
We kweli kilaza kwq hiyo sababu hizo zimefanyika marekan tu yaan rushwa ugaid wa kuua watu wengi wasio na hatia utawala usioridhisha zipo sababu za wahamiaji au wagen ndan ya us pia zipo sababu ndan ya nch husik iliyokatazwa