Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Kuwa introvert ni asili ya mtu.
Kama unataka ubadirishe mwenendo wako, Ni either upunguze mazoea na watu au kuji control kuongea sana ila kujifanya kuwa mkimya utandaa tatizo la afya ya akili lakini zaidi kuasili mahusiano yako maana watu hawajakuzoea hivyo.
Kuwa Introvert sio sifa na pia sio solution