Watu tumetofautiana hivi Kuna watu wanatamani kuwa na Maisha Kama ya introvert mbona Kama haingii akilini
Binafsi Kama ningelikuwa na uwezo wa kuchagua niwe Nani ningechagua kuwa extrovert labda pengine ningekuwaga na mademu wengi na nisingeumizwa na mapenzi Kama ilivyo Sasa
Binafsi ni introvert na hii hali ya kuwa introvert sio tatizo kwani nishaizoea tatizo ni kwenye kupata mademu
Mademu wanapenda kushobokewa na hiyo kitu ndo siwezi
Mapenzi ndo kitu kinachoninyima Raha kwa nje naonekana Niko sawa lakini kuyakosa mapenzi inaniumiza mnoo