Moja ya vitu ambavyo directors wa action movies wanafeli

Nijibu haya maswali mawili

1. Kwanini uamini maneno anayosema jambazi kuwa ni ya kweli?

2. Kwanini ufikirie jambazi atamuua mateka huku akijua kabisa kufanya hivyo ni kupoteza maisha yake pia?
Kuhusu kuweka silaha chini hata mimi sikubaliani nalo. Mimi nilikuwa nazungumzia kumpiga "jambazi" risasi ya kichwa. Katika sehemu za mwili wa binadamu, kichwa ni target ngumu sana. Hata wataalamu wa silaha huwa wanasema hivyo. Halafu kumbuka kuwa situation kama hiyo huwa ni tense sana, na kichwa cha jambazi kiko karibu na cha mateka. Ni risk kubwa sana kujaribu kumpiga jambazi risasi ya kichwa.
 
Mguu na kichwa ipi ni target ngumu?
 
Kweli mkuu hii hai make sense kwa sababu ukiweka silaha chini it's obviously jambazi ana ku shoot. Hapo ni km umempa ushindi jambazi.

Silaha inatakiwa unaweka chini km ulikua kwenye target ya jambazi. Lakini kwenye mazingira hayo ni kwamba jambazi ndo yupo chini ya target
 
Mguu na kichwa ipi ni target ngumu?
Zote ngumu, na kama unataka adui awe neutralized, risasi ya mguu haitakiwi. Ndio maana unapofundishwa shabaha unaambiwa ili shot yako iwe effective unatakiwa ulenge "center mass", hili ni eneo la kuanzia tumboni kwenda juu mpaka kifuani.
 
Zote ngumu, na kama unataka adui awe neutralized, risasi ya mguu haitakiwi. Ndio maana unapofundishwa shabaha unaambiwa ili shot yako iwe effective unatakiwa ulenge "center mass", hili ni eneo la kuanzia tumboni kwenda juu mpaka kifuani.
Sasa kwa polisi aliyekuwa trained hicho ni kitu chepesi sana

Kuna video ya miaka ya nyuma inaonesha polisi akipiga risasi bastola ya mhalifu ambaye alizuia barabara

Angalia hiyo bastola ilivyopigwa bila mhalifu kudhulika, kisha fikiria kati ya bastola na kichwa kipi ni easy kwenye target

 
Jambazi katumia mateka ili atoweke, mateka ndio mtu muhimu kwake.

Hivyo hawezi kumdhuru kwa namna yeyote kwasababu anajua pindi akifanya hivyo basi kitachofuata hapo ni kifo chake.

Lakini ukitua silaha chini anaweza kukuua kwasababu anajua tu ule muda atakuacha hai lazima utaomba backup umtafutie na pindi ukimpata ndio adhabu yake inapokuwa kubwa.

Kws hiyo lazima atakuua, na huyu mateka atakuwa ameshuhudia mauaji ya polisi hivyo ni shahidi namba moja, hivyo hawezi kuachwa.
 
Huyo alikuwa sniper mkuu, sio polisi wote wanaweza kufanya hivyo. Halafu situation hiyo ni tofauti na hostage taking.
 
Only kwenye movies in reality it's crazy idea to think a bad guy would have a mercy on you
This makes sense

Somebody aliyeamua kufanya ubaya inabidi umtreat hivyohivyo alivyojitambulisha hadi labda uthibitishe vinginevyo.

Mtu ni jambazi, katoka kupora na kuua hapo nyuma mbele kateka mtu halafu tayari unamuamini kuwa ana roho nzuri hata hataki kuua tena😳😳.

Bora uende naye kijambazi tu mshutiane mkikosana basi, huo ndio muendelezo na sio ujio.

Hao wanaokupinga kuhusu shabaha, bhana ni kweli kulenga ni kazi lakini huo nao ni ujinga kiasi fulani. Unamiliki silaha na unanyoosha silaha halafu uwezo wa kuitumia ziro kabisa si upumbavu huo, hufanyagi hata mazoezi sifuri ya silaha!!. Na kama sio ziro una 60% or more chance utamlenga we shoot tu ndio jitihada kuelekea uelekeo wa ushindi. Na ina matter.
 
ushatengeneza filamu ngapi mpaka sasa ambazo zipo netflix ? ukinijibu nitarudi, ila kumbuka ujuajuji ni aina ya UJINGA.
 
Mara nyingi Mateka hushikiliwa pindi adui anapoona mambo yanaenda ovyo na anahitaji kuchoropoka
Mara nyingi adui anakua hana nia ya kuua mateka kwa muda huo ila kumtumia kama shield
 
Huyo alikuwa sniper mkuu, sio polisi wote wanaweza kufanya hivyo. Halafu situation hiyo ni tofauti na hostage taking.
Yap ni sniper ila lengo lilikuwa kuonesha nafasi ya polisi kuweza kupata clear shot kwa jambazi ambaye amekaribiana naye.

Jambazi ambaye amemuweka mateka raia katika distance ndogo kutoka alipo Polisi, inakuwa inampa urahisi sana Polisi kupata clear head shot kuliko angekuwa mbali.

Kwenye training kama Police aliweza kuweka risasi hapa basi kulenga kichwa haiwezi kuwa kazi kwake
 
Ukiweka silaha chini unakuwa umekata ticketi ya kifo chako
 
ushatengeneza filamu ngapi mpaka sasa ambazo zipo netflix ? ukinijibu nitarudi, ila kumbuka ujuajuji ni aina ya UJINGA.
Swala la kutengeneza filamu hapa linaingiaje?

Kwamba kuona scene kuwa sio realistic kwa mtu kupiga risasi mara 20 kwa Glock 19 bila ku load ni mpaka uwe director?
 
Mara nyingi Mateka hushikiliwa pindi adui anapoona mambo yanaenda ovyo na anahitaji kuchoropoka
Mara nyingi adui anakua hana nia ya kuua mateka kwa muda huo ila kumtumia kama shield
Hili ni tukio la 1998 Cua Venezuela

Jambazi alikuwa anafanya robbery kwenye kiwanda cha mikate, baada ya misheni yake kwenda ndivyo sivyo akajikuta yupo sehemu mbaya.

Hapo tayari alikuwa amejeruhi watu kadhaa kwa risasi na hapo akawa anataka Polisi wampishe aondoke vinginevyo huyo mateka atauawa.

Yalikuwa ni mazungumzo yakiyochukua zaidi ya masaa 6 mpaka pale sniper alipoamua kumpiga risasi ya kichwa
Your browser is not able to display this video.
 
Labda Mkuu kitu ambacho hujaelewa ni Kuwa Aliyeteka anakuwa na ni demand zake ndio maana kateka hivyo hawezi kumuua mpaka matakwa yake yatimizwe

Ndio maana polisi au hao ma stering wa kwenye movie huwa wanakubali kwanza matakwa yao pia inasaidia kuvuta muda..
 
Sio kila jambazi ni muuaji and vice versa... ikitokea amedhuru mtu ni either self defense au victim wa huo uporaji ni mbishi kias kwamba atawapotezea mda ambao utawaweka hao majambazi matatani ... But Muuaji yeye hajali nini wala nini yeye ukikaa mbele yake lazima akumalize coz they don't give a f*ck ... Watu hawa wawili kwenye upande wa kuweka mtu kama kinga ya kutorokea huwa na dhamira tofauti, Mmoja yupo radhi aende jela lakin sio kuua askari maana anajua balaa lake, Na huyo mwengine yeye hajali ni either afe yeye, ufe wew au mfe wote bt mostly ufe wewe ... No matter upo kwenye situation yeyote na mmoja kati ya hao wawaili, Usithubutu kuweka silaha yako chini coz hiyo ndo ticket yako ya mwisho
 
Na zipo zingine unakuta jambazi kamuwekea kisu shingoni mateka halafu starling ana bastola na anaambiwa aweke silaha chini afu ana tii
Mtakaji akiwa kajificha vizuri nyuma ya huo aliyemshikilia chances za kushoot maeneo vital hupungua, hivyo kuna uwezekano ukishoot ukamkosa au ukapiga sehemu ambazo hazimfanyi kupoteza nguvu au kufa. Hivyo inategemea mtekaji kajiweka vipi nyuma ya huyo mateka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…