Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhusu kuweka silaha chini hata mimi sikubaliani nalo. Mimi nilikuwa nazungumzia kumpiga "jambazi" risasi ya kichwa. Katika sehemu za mwili wa binadamu, kichwa ni target ngumu sana. Hata wataalamu wa silaha huwa wanasema hivyo. Halafu kumbuka kuwa situation kama hiyo huwa ni tense sana, na kichwa cha jambazi kiko karibu na cha mateka. Ni risk kubwa sana kujaribu kumpiga jambazi risasi ya kichwa.Nijibu haya maswali mawili
1. Kwanini uamini maneno anayosema jambazi kuwa ni ya kweli?
2. Kwanini ufikirie jambazi atamuua mateka huku akijua kabisa kufanya hivyo ni kupoteza maisha yake pia?
Mguu na kichwa ipi ni target ngumu?Kuhusu kuweka silaha chini hata mimi sikubaliani nalo. Mimi nilikuwa nazungumzia kumpiga "jambazi" risasi ya kichwa. Katika sehemu za mwili wa binadamu, kichwa ni target ngumu sana. Hata wataalamu wa silaha huwa wanasema hivyo. Halafu kumbuka kuwa situation kama hiyo huwa ni tense sana, na kichwa cha jambazi kiko karibu na cha mateka. Ni risk kubwa sana kujaribu kumpiga jambazi risasi ya kichwa.
Zote ngumu, na kama unataka adui awe neutralized, risasi ya mguu haitakiwi. Ndio maana unapofundishwa shabaha unaambiwa ili shot yako iwe effective unatakiwa ulenge "center mass", hili ni eneo la kuanzia tumboni kwenda juu mpaka kifuani.Mguu na kichwa ipi ni target ngumu?
Sasa kwa polisi aliyekuwa trained hicho ni kitu chepesi sanaZote ngumu, na kama unataka adui awe neutralized, risasi ya mguu haitakiwi. Ndio maana unapofundishwa shabaha unaambiwa ili shot yako iwe effective unatakiwa ulenge "center mass", hili ni eneo la kuanzia tumboni kwenda juu mpaka kifuani.
Jambazi katumia mateka ili atoweke, mateka ndio mtu muhimu kwake.Kweli mkuu hii hai make sense kwa sababu ukiweka silaha chini it's obviously jambazi ana ku shoot. Hapo ni km umempa ushindi jambazi.
Silaha inatakiwa unaweka chini km ulikua kwenye target ya jambazi. Lakini kwenye mazingira hayo ni kwamba jambazi ndo yupo chini ya target
Huyo alikuwa sniper mkuu, sio polisi wote wanaweza kufanya hivyo. Halafu situation hiyo ni tofauti na hostage taking.Sasa kwa polisi aliyekuwa trained hicho ni kitu chepesi sana
Kuna video ya miaka ya nyuma inaonesha polisi akipiga risasi bastola ya mhalifu ambaye alizuia barabara
Angalia hiyo bastola ilivyopigwa bila mhalifu kudhulika, kisha fikiria kati ya bastola na kichwa kipi ni easy kwenye target
This makes senseOnly kwenye movies in reality it's crazy idea to think a bad guy would have a mercy on you
ushatengeneza filamu ngapi mpaka sasa ambazo zipo netflix ? ukinijibu nitarudi, ila kumbuka ujuajuji ni aina ya UJINGA.Mazungumzo mafupi kati ya Jambazi aliyeshilia mateka na Starling anayetaka kumuokoa mateka
Jambazi: "Weka silaha yako chini, ukisogea hatua moja namuua huyu"
Starling: "Sawa nimekubali naweka silaha chini"
View attachment 2661387
Jambazi ambaye kamuwekea silaha kichwani mateka na kumuamuru starling ambaye kamnyooshea silaha kuwa aweke silaha chini vinginevyo mateka atauwawa, halafu starling anatii amri ya Jambazi.
Hii scene iko mbali sana na uhalisia.
Katika hali ya uhalisia kwa kama situation hiyo silaha ndio kitu muhimu. Ukipoteza silaha umekubali kupoteza maisha ya mateka na yako mwenyewe.
Directors wanaweza kukuletea hii scene katika namna nyingi, wanaweza kukuletea scene inayomuonesha Polisi dhidi ya mwalifu aliyeshikilia mateka.
Halafu baadae huyo polisi unamuona anaenda kutii amri ya jambazi kwa kusalimisha silaha yake chini kwakitisho cha kuuliwa huyo mateka iwapo ataendelea kumnyooshea jambazi silaha.
Kwenye mafunzo ya upolisi unafunzwa kuwa usikubali kusalimisha silaha yako, kwasababu ukifanya hivyo nafasi ya wewe kupona inashuka na kuwa zero.
Lakini kingine ni kuwa Starling tayari alikuwa amemuweka kwenye target Jambazi tayari alikuwa yupo kwenye perfect angle ya kuweza ku shoot.
Sasa Directors wanatuaminisha kwamba ule muda ambao Starling anavuta trigger kumshoot Jambazi kutakuwa na nafasi ambayo Jambazi naye ataipata ya kumshoot mateka baada ya kupigwa risasi na Starling kitu ambacho hakiwezi kuwa realistic.
Yap ni sniper ila lengo lilikuwa kuonesha nafasi ya polisi kuweza kupata clear shot kwa jambazi ambaye amekaribiana naye.Huyo alikuwa sniper mkuu, sio polisi wote wanaweza kufanya hivyo. Halafu situation hiyo ni tofauti na hostage taking.
Ukiweka silaha chini unakuwa umekata ticketi ya kifo chakoThis makes sense
Somebody aliyeamua kufanya ubaya inabidi umtreat hivyohivyo alivyojitambulisha hadi labda uthibitishe vinginevyo.
Mtu ni jambazi, katoka kupora na kuua hapo nyuma mbele kateka mtu halafu tayari unamuamini kuwa ana roho nzuri hata hataki kuua tena😳😳.
Bora uende naye kijambazi tu mshutiane mkikosana basi, huo ndio muendelezo na sio ujio.
Hao wanaokupinga kuhusu shabaha, bhana ni kweli kulenga ni kazi lakini huo nao ni ujinga kiasi fulani. Unamiliki silaha na unanyoosha silaha halafu uwezo wa kuitumia ziro kabisa si upumbavu huo, hufanyagi hata mazoezi sifuri ya silaha!!. Na kama sio ziro una 60% or more chance utamlenga we shoot tu ndio jitihada kuelekea uelekeo wa ushindi. Na ina matter.
Swala la kutengeneza filamu hapa linaingiaje?ushatengeneza filamu ngapi mpaka sasa ambazo zipo netflix ? ukinijibu nitarudi, ila kumbuka ujuajuji ni aina ya UJINGA.
Hili ni tukio la 1998 Cua VenezuelaMara nyingi Mateka hushikiliwa pindi adui anapoona mambo yanaenda ovyo na anahitaji kuchoropoka
Mara nyingi adui anakua hana nia ya kuua mateka kwa muda huo ila kumtumia kama shield
Mtakaji akiwa kajificha vizuri nyuma ya huo aliyemshikilia chances za kushoot maeneo vital hupungua, hivyo kuna uwezekano ukishoot ukamkosa au ukapiga sehemu ambazo hazimfanyi kupoteza nguvu au kufa. Hivyo inategemea mtekaji kajiweka vipi nyuma ya huyo mateka.Na zipo zingine unakuta jambazi kamuwekea kisu shingoni mateka halafu starling ana bastola na anaambiwa aweke silaha chini afu ana tii