Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Moja ya vitu vya kijinga kabisa mwanaume anaweza kufanya, ni kutumia pesa ili kumvutia mwanamke.
Matumizi yako ni kiherehere kitakachosahaulika dakika chache baada ya senti zako kukauka. Badala ya kufanya upuuzi huo ni bora utumie kila senti unayoingiza, kuvutia pesa nyingine upande wako.Kama unatumia pesa kwa mwanamke, tumia kwa furaha yako lakini siyo kutafuta akuone wa maana. Chenye maana ni pesa siyo wewe bro, zikiisha wewe ni barugenge tu.