Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Toshekeni na wale mlio nao kwa uwezo wenu. Msiwatamani wengineSisi je tufanye Nini!?
Andikaa hapo c wanaume wt n malimbukee wa wanawake km mleta mada ..View attachment 3156223
Kwann mkuuHuu uzi umenifanya ni bubujikwe na machozi nikimkumbuka ndugu yangu Fred vunja bei
Bro,Moja ya vitu vya kijinga kabisa mwanaume anaweza kufanya, ni kutumia pesa ili kumvutia mwanamke.
Mke wa jamaa alikusanya mabegi asepe Cha ajabu akahamia chumba kingine coz jamaa alikua tayari kumwacha aende!Moja ya vitu vya kijinga kabisa mwanaume anaweza kufanya, ni kutumia pesa ili kumvutia mwanamke.View attachment 3156175Matumizi yako ni kiherehere kitakachosahaulika dakika chache baada ya senti zako kukauka. Badala ya kufanya upuuzi huo ni bora utumie kila senti unayoingiza, kuvutia pesa nyingine upande wako.
Kama unatumia pesa kwa mwanamke, tumia kwa furaha yako lakini siyo kutafuta akuone wa maana. Chenye maana ni pesa siyo wewe bro, zikiisha wewe ni barugenge tu.